Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu wapi nitapata english subtitle ya korea drama the player nimedownload dramania ila naona episode 10 kinachoogolewa na subtitle haziendani
 
Ingia Subscene.com utapata subtitles za drama zote
 
Wadau naomba Masada nipate dramatic zaukweli Nika Cheki this likizo time napenda zenye mambo mchanganyiko wa love scene na mkong'oto wa ukwel but

Zingatia naeda kichek na Rafik wangu wakike nataka isimchoshe me pia isinichoshee
 
Youbseyo [emoji1498]‍♀️
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.

Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.

Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!

Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
natamani the smile has left your eyes drama imalizike muda huu japo kuwa ni nzuri kiupande fulani.
aminas umeiona first teaser ya encounter (boyfriend) drama?
ndani ya cuba nakwambia mara paaap song joong ki na song hye kyo wapeana talaka
jamani jamani mtu na shemegi yake.
mungu awajaalie ndoa yao isiingiliwe na shetani mbaya.

park bo gum vs song hye kyo

Mimi on going drama huwa siziangalii,sitaki stress wakati completed drama zipo kibaoooo.
 
What...??? Ninaota au namna gani? Is it you??? Unnie misses you so much. Back to descendants of the sun..haha acha roho mbaya drama kali sana ile sema ndio hivyo uliiangalia ukiwa na high expectations ila vijana wamefanya vizuri sana. Kama kawaida yangu drama nikiipenda lazima nitoke na mchumba mle nilitoka na Jin Goo lol
Youbseyo [emoji1498]‍[emoji3601]
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.

Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.

Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!

Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cha kukushauri ingia KissAsian.sh
Au chukua app ya Dramania,hawa dramanice wamekuwa wababaishaji links zao hazieleweki
Tatizo la hiyo app episode moja inatoa vipande 3 mpaka 4 wakat sehemu zingine ni episode 1 kwenye kipande kimoja tu
 
Youbseyo [emoji1498]‍♀️
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.

Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.

Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!

Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]

Hii Descendants of the sun hata Mimi sikuona uzuri wake kiasi kwamba niliacha njiani, hebu ngoja nami nishushe Dong Yi.
IMG_20181107_122638.jpeg
 
Tatizo la hiyo app episode moja inatoa vipande 3 mpaka 4 wakat sehemu zingine ni episode 1 kwenye kipande kimoja tu
Kuna app inaitwa VEdit huwa natumia kufanya merging naviunganisha hivyo vipande vitatu au vinne vinakuwa episode moja
 
Youbseyo [emoji1498]‍♀️
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.

Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.

Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!

Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Kumbe tuliovurugwa na OST za kikorea tupo wengi
 
What...??? Ninaota au namna gani? Is it you??? Unnie misses you so much. Back to descendants of the sun..haha acha roho mbaya drama kali sana ile sema ndio hivyo uliiangalia ukiwa na high expectations ila vijana wamefanya vizuri sana. Kama kawaida yangu drama nikiipenda lazima nitoke na mchumba mle nilitoka na Jin Goo lol

Ni mimi mpenzi...
Miss you more Unnie darling

Jamani Unniiiiiii, Jin Goo mbona ni wangu sasa? Lol
Ni nzuri sikatai ila sio sana bwana,bora hata road number 1.
Nadhani waigizaji walikuwa vizuri kuliko story yenyewe.

Sasa Unniiiiii angalia Dong Yi bwanaaa,ila sasa ukiangalia kule utoke na Chun Soo,mimi nimeshamuwahi Ji Jin Hee (King) [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nzuriiiii,ila nakushauri kama uko busy usiiguse.
 
Hii Descendants of the sun hata Mimi sikuona uzuri wake kiasi kwamba niliacha njiani, hebu ngoja nami nishushe Dong Yi.View attachment 924439

Sasa Dong Yi mwenyewe niliangalia mpaka episode ya 5 nikaiacha kwanza baada ya kuona character kabadilika (Dong Yi) ila nikaja kuendelea kuanzia ya 6 ndipo nilipoharibikiwa.
Kufika ya 20 hata kunywa maji naona nachelewa,nipo kwenye episode za 30’s na ndio moto umezidi kuwaka.
 
Ntashusha episode 5 kwnza, hizi ndio hua napata muelekeo kama niendele kuiangalia ama la.
 
Kumbe tuliovurugwa na OST za kikorea tupo wengi

Mkuu hadi huwa najishtukia majirani watanishangaa maana kwangu ukisikia sauti ya muziki ni OST,mara chache sana nasikiliza miziki ya kawaida.

Sasa hii ni list ya OST zangu pendwa na drama zake
1. Crying again (The Heirs)
2. Same heart (Road Number 1)
3. Star and Sun (master of the mask)
4. You’ve fallen for me (Heart strings)
5. OST zote za Descendants of the sun
6. Goodbye (City Hunter)
7. Stigma (Slave Hunters)
N.k n.k
 
Back
Top Bottom