DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
nimeishia episode ya 8Ha! Jamni Mola Atawapigania.
Smile Has Left U Umeangalia!??
Kuna Scene Hiyo Walahi Nilitokwa Maji Machoni Mpka Nikajishangaa Yaaani Hii Drama Ni......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeishia episode ya 8Ha! Jamni Mola Atawapigania.
Smile Has Left U Umeangalia!??
Kuna Scene Hiyo Walahi Nilitokwa Maji Machoni Mpka Nikajishangaa Yaaani Hii Drama Ni......
Ingia Subscene.com utapata subtitles za drama zoteWakuu wapi nitapata english subtitle ya korea drama the player nimedownload dramania ila naona episode 10 kinachoogolewa na subtitle haziendani
Ok shukraniIngia Subscene.com utapata subtitles za drama zote
natamani the smile has left your eyes drama imalizike muda huu japo kuwa ni nzuri kiupande fulani.
aminas umeiona first teaser ya encounter (boyfriend) drama?
ndani ya cuba nakwambia mara paaap song joong ki na song hye kyo wapeana talaka
jamani jamani mtu na shemegi yake.
mungu awajaalie ndoa yao isiingiliwe na shetani mbaya.
park bo gum vs song hye kyo
Youbseyo [emoji1498][emoji3601]
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.
Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.
Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!
Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Tatizo la hiyo app episode moja inatoa vipande 3 mpaka 4 wakat sehemu zingine ni episode 1 kwenye kipande kimoja tuCha kukushauri ingia KissAsian.sh
Au chukua app ya Dramania,hawa dramanice wamekuwa wababaishaji links zao hazieleweki
Youbseyo [emoji1498]♀️
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.
Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.
Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!
Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna app inaitwa VEdit huwa natumia kufanya merging naviunganisha hivyo vipande vitatu au vinne vinakuwa episode mojaTatizo la hiyo app episode moja inatoa vipande 3 mpaka 4 wakat sehemu zingine ni episode 1 kwenye kipande kimoja tu
Kumbe tuliovurugwa na OST za kikorea tupo wengiYoubseyo [emoji1498]♀️
Wazima huku wakorea wenzangu? Niko chimbo nakula madini ya hatariiiiiii.
Last week nilimaliza Descendants of the sun drama ambayo Damushin amekuwa akiipamba mnoooooo. Niliiangalia nikiwa na high expectations lakini imekuwa sivyo,labda sababu nilikuwa nategemea makubwa sana.
Ila huenda ni vile sikuipenda couple ya Capt. Shin na Dr. Kang (japo wameoana in real life)
Mimi niliwapenda zaidi wale masoja bhana.
Ni drama nzuri anyways,na zaidi nimependa OST zake,nimedownload file zima kabisaaaaa najisikilizia kila siku mie.
Vinginevyo sasa hivi nimeshikwa na drama tamu ya Dong Yi,jamani hii drama ni motooooooo
Nani kaingalia humu?
Sijalala vizuri siku ya 3 leo! Wakorea wanajua jamani,ah....
Visa haviishi utamu, kila episode nazidi kuchanganyikiwa!
Kama mtu ambaye hajaangalia hii drama nairecomend kwa wanaopenda historical, romance pia ipo hahahaaa
Hasa ya King na Dong Yi ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Mkuu nataka kujua jinsi ya kuipata hii IDM maana nnazozipata fakeHii Descendants of the sun hata Mimi sikuona uzuri wake kiasi kwamba niliacha njiani, hebu ngoja nami nishushe Dong Yi.View attachment 924439
Hiyo hapo mkuu! IDM+ Latest version , Full version no ads. http://s1.uploadproper.com:182/d/gf...63f2wzo5h4qt3wqs73pncz/IDM+-v9.4_build_94.apkMkuu nataka kujua jinsi ya kuipata hii IDM maana nnazozipata fake
What...??? Ninaota au namna gani? Is it you??? Unnie misses you so much. Back to descendants of the sun..haha acha roho mbaya drama kali sana ile sema ndio hivyo uliiangalia ukiwa na high expectations ila vijana wamefanya vizuri sana. Kama kawaida yangu drama nikiipenda lazima nitoke na mchumba mle nilitoka na Jin Goo lol
Hii Descendants of the sun hata Mimi sikuona uzuri wake kiasi kwamba niliacha njiani, hebu ngoja nami nishushe Dong Yi.View attachment 924439
Ntashusha episode 5 kwnza, hizi ndio hua napata muelekeo kama niendele kuiangalia ama la.Sasa Dong Yi mwenyewe niliangalia mpaka episode ya 5 nikaiacha kwanza baada ya kuona character kabadilika (Dong Yi) ila nikaja kuendelea kuanzia ya 6 ndipo nilipoharibikiwa.
Kufika ya 20 hata kunywa maji naona nachelewa,nipo kwenye episode za 30’s na ndio moto umezidi kuwaka.
Kumbe tuliovurugwa na OST za kikorea tupo wengi