Upo sayari gani kwanza?
Nifah noona anakusabahi, umenikwaza sana hukuwa umeiona Dong Yi mpaka sasa, naipenda mnooo nilishairudia mara kadhaa huwa siichoki kabisa. Enjoy hun, love from this side.
My pretty noona...
Nimekumind kinoma,wewe kweli wa kuninyima huu uhondo wa Dong Yi mpaka nimeigundua mwenyewe? Jamani jamani hii historical drama ni nzuri mnoooooo! Sijui ilikuwaje sijaiona miaka yote hii!
AIPOLO alianza kuiangalia sijui kaishia wapi hanipi feedback hadi leo!
Haishangazi wahusika pamoja na drama yenyewe kusomba tuzo miaka ile,wameigiza haswaaaaa.
Wewe unampenda nani kule?
Love you more Noona [emoji8]
Kwa kweli nimekukosea sana itabidi nilipe fine, nampenda sana Dong Yi, King mwenyewe, mtoto wa pili wa Dong Yi, Chun soo (sp) kaka wa Dong Yi, team nzima iliyokuwa inamsupport Dong Yi ikiongozwa na yule ofisa wa polisi, Yang Dal na mwenzie walioko kny kitengo cha music. OST zilizotumika pia nazikubali sana hasa ile ya Dong yi haegenium hapa mdogo wangu Damushin ndio uwanja wake. Uko episode ya ngapi? List yako inaendana na yangu?My pretty noona...
Nimekumind kinoma,wewe kweli wa kuninyima huu uhondo wa Dong Yi mpaka nimeigundua mwenyewe? Jamani jamani hii historical drama ni nzuri mnoooooo! Sijui ilikuwaje sijaiona miaka yote hii!
AIPOLO alianza kuiangalia sijui kaishia wapi hanipi feedback hadi leo!
Haishangazi wahusika pamoja na drama yenyewe kusomba tuzo miaka ile,wameigiza haswaaaaa.
Wewe unampenda nani kule?
Love you more Noona [emoji8]
Nipo ep7, ukweli hii http://kissasian.sh/Drama/Dong-Yi nilishaiona miaka ya nyuma nadhani 2011 kama sikosei, ujue mimi ni muhenga nilisahau jina lake, hatahivyo inanibidi niirudie tena maana iko poa sana.My pretty noona...
Nimekumind kinoma,wewe kweli wa kuninyima huu uhondo wa Dong Yi mpaka nimeigundua mwenyewe? Jamani jamani hii historical drama ni nzuri mnoooooo! Sijui ilikuwaje sijaiona miaka yote hii!
AIPOLO alianza kuiangalia sijui kaishia wapi hanipi feedback hadi leo!
Haishangazi wahusika pamoja na drama yenyewe kusomba tuzo miaka ile,wameigiza haswaaaaa.
Wewe unampenda nani kule?
Love you more Noona [emoji8]
naenda kudowload hiyo dong yi my dear kama ni nzur thanks niko naangalia whats wrong with secretary kim imepooza haina amsha amsha inachosha
shukran brotherNenda mdogo wangu hautajuta. http://kissasian.sh/Drama/Dong-Yi
Kwa kweli nimekukosea sana itabidi nilipe fine, nampenda sana Dong Yi, King mwenyewe, mtoto wa pili wa Dong Yi, Chun soo (sp) kaka wa Dong Yi, team nzima iliyokuwa inamsupport Dong Yi ikiongozwa na yule ofisa wa polisi, Yang Dal na mwenzie walioko kny kitengo cha music. OST zilizotumika pia nazikubali sana hasa ile ya Dong yi haegenium hapa mdogo wangu Damushin ndio uwanja wake. Uko episode ya ngapi? List yako inaendana na yangu?
Nipo ep7, ukweli hii http://kissasian.sh/Drama/Dong-Yi nilishaiona miaka ya nyuma nadhani 2011 kama sikosei, ujue mimi ni muhenga nilisahau jina lake, hatahivyo inanibidi niirudie tena maana iko poa sana.
Ukifika ep ya 5 utaniambia.Hahaaaaa poleeee,mimi nishamaliza.
Hapa nataka niangalie Mr. Sunshine ikizingua naachana nayo.
itapendeza kama utaiangalia Mr Sunshine Drama pindi utakapomaliza kuiangalia Dong Yi drama kwa sababu pia imeandikwa na kim eun sook akishirikiana na director lee eung bok kwa mara ya tatu.Sijasema ni mbaya bhana,ni vile tu nimeona kama ni overrated. Imekuwa popular sana,imetikisa sana ila haijafanikiwa kunitikisa kihivyo.
Anyways,nakaribia kumalizana na Dong Yi kisha nianze Mr. Sunshine.
Naomba uniwekee vyuma vitatu vikali vya historical niangalie maana kiukweli navutiwa zaidi na drama za vijijini kuliko hizi za umjini-mjini.
Naomba viwe vikali kwelikweli maana nakuaminia,episode zisivuke 60 please maana Dae Joyoung niliishiaga njiani sababu ya episode nyingi na najuta maana nimeitafuta sana siipati tena.
nilifikiri niko peke yangu kumbe nina wenzangu wamejaa kapuni.Yan dr.heo jin ni drama ambayo siwez isahau na sijui Kama nitaona drama nyingine yenye hisia zakwel,, some time imenifanya nidondoshe choz,,,R.I.P bro
hahahahahaaaaaa huwezi amini nimepunguza sana ufuatiliaji wa korean ost ila bado sijaacha kufuatilia korean music.Kwa kweli nimekukosea sana itabidi nilipe fine, nampenda sana Dong Yi, King mwenyewe, mtoto wa pili wa Dong Yi, Chun soo (sp) kaka wa Dong Yi, team nzima iliyokuwa inamsupport Dong Yi ikiongozwa na yule ofisa wa polisi, Yang Dal na mwenzie walioko kny kitengo cha music. OST zilizotumika pia nazikubali sana hasa ile ya Dong yi haegenium hapa mdogo wangu Damushin ndio uwanja wake. Uko episode ya ngapi? List yako inaendana na yangu?
Jamaa noma huyu kuna ost yake moja ipo kwenye Three Days ni nomaaahahahahahaaaaaa huwezi amini nimepunguza sana ufuatiliaji wa korean ost ila bado sijaacha kufuatilia korean music.
ni mpenzi wa nyimbo za kawaida siku hizi ila ziwe za miondoko ya ballad.
lakini sikumbuki ni lini nimefuatilia muziki wa nyumbani kwetu na marekani.
huyu brother park hyo shin na ahjussi wengineo wanazidi kunitumbukiza kwenye shimo la wakorea na kutoka siwezi.
sasa kuna ahjussi mwengine anaitwa lim chang jung nimeanza kumfuatilia tokea jana yaani ananimalizia bando langu kwa ajili ya kutafuta nyimbo zake na balaa lake anapoimba kama sakata la korosho.
jamani wakorea kila unayemtazama anamshinda mwenzake wakati huku kwetu diamond ana mwaka wa 10 anaringa yeye tu.
mpaka najisikia aibu kuwafuatilia wakorea.
ujumbe wa leo jamani lakini natumai huu wimbo haumuhusu yeyote humu ndani.
Lim Chang Jung -There has never been a day I haven't loved you.
hadithi ya mapenzi ndio hadithi pekee ambayo msimuliaji anaweza kukusimulia jinsi mapenzi yao yalivyoanzia hadi yalipoishia
Yani hilo smile lake hatari mnh...naeza pata drama yake yoyote?
Mona Umejishukiza?hahahahahaaaaaa huwezi amini nimepunguza sana ufuatiliaji wa korean ost ila bado sijaacha kufuatilia korean music.
ni mpenzi wa nyimbo za kawaida siku hizi ila ziwe za miondoko ya ballad.
lakini sikumbuki ni lini nimefuatilia muziki wa nyumbani kwetu na marekani.
huyu brother park hyo shin na ahjussi wengineo wanazidi kunitumbukiza kwenye shimo la wakorea na kutoka siwezi.
sasa kuna ahjussi mwengine anaitwa lim chang jung nimeanza kumfuatilia tokea jana yaani ananimalizia bando langu kwa ajili ya kutafuta nyimbo zake na balaa lake anapoimba kama sakata la korosho.
jamani wakorea kila unayemtazama anamshinda mwenzake wakati huku kwetu diamond ana mwaka wa 10 anaringa yeye tu.
mpaka najisikia aibu kuwafuatilia wakorea.
ujumbe wa leo jamani lakini natumai huu wimbo haumuhusu yeyote humu ndani.
Lim Chang Jung -There has never been a day I haven't loved you.
hadithi ya mapenzi ndio hadithi pekee ambayo msimuliaji anaweza kukusimulia jinsi mapenzi yao yalivyoanzia hadi yalipoishia
dah kumbe wagonjwa wa hizi korean song hususan miondoko ya ballad tupo wengi mnoo.Jamaa noma huyu kuna ost yake oja ipo kwenye Three Days ni nomaaa
Nimezijaza zaidi ya 200