Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

dah kumbe wagonjwa wa hizi korean song hususan miondoko ya ballad tupo wengi mnoo.
ule wimbo unaitwa good bye.
huyu ahjussi ni shidaaa halafu pia anaweza kuigiza.
View attachment 932273
Yaaah mi ndo mgonjwa sana kwenye cm yangu sina nyimbo za kibongo ni hizi tu,kuna jamaa mwingine Yang Yoseob yupo vizuri sana ana vocal la hatari
Kwa wa kike pata muda kumfuatilia Woo Eun Mi huyu ni shida nyingine kabisa.
Kim Yeon ji,Yoo Sung Eun,Song Seung Yeon,Zia,Taeyeon,Davichi,T-Ara,Gummy,Kim bo kyung,Ailee,Song ji eun,Hwanhee,.
HAO WATU SONGS ZAO HAZICHOSHI
 
mama weeeeee nimekutana na mzimu kuliko mimi.
hao unaowafuatilia wewe kwa kiasi kikubwa ni wale vibishoo kpop vilivyozaliwa miaka 30 iliopita ila mimi ni mpenzi zaidi wa legendary kama lee eun mi, lee sun hee n.k
ila hao pia nawafuatilia kiasi fulani.
kwenye mashindano ya IAM SINGER mwaka fulani nimeusahau huyu lee eun mi alishika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili alishinda the one, nafasi ya tatu alishinda mwanadada so hyang na nafasi ya nne alishinda music commander guckasten
huyu lee eun mi akiimba ni full vituko
Lee Eun Mi - I have a lover

Am I still alone
You ask, and I just laugh
I am in love
I have someone to love
You seem to worry about me
Telling me to meet someone nice
Do you know
I already have a great lover
Someone too precious I had to hide it
That man, only I can see him
He is visible only to my eyes
His name will forever be sealed in my lips
Only the tears that sometimes fill my eyes know
That that man is you
I don’t want to have him
I don’t want to be greedy
I just want to love him

You see
I’m not alone
Don’t worry
Someday I’ll introduce him to you
Can you hear what the tears filling my eyes say?
That that person is you​

haya maneno mhhhhhhhhhh
 
unaanza balaaa lako tena ahjumma wangu mtarajiwa miaka 30 ijayo,
unayemuhusu sijamuona mpaka leo kwa sababu navaa miwani ya mbao FC pindi ninapotembea.
na ikitokezea nimemuona basi nitamwekea wimbo huu unaoitwa sikupendi ulioimbwa na urban zakapa.

huu wimbo kwa wale wenye akili nyingi wanajua una maana mbili ila kwa vilaza ukimuwekea wimbo huu na tafsiri yake anaweza kukumwagia mavumba ya dagaa wa juzi kwa hasira

anyeong

Hmm! Nielekeze Nimjue Tuu...

Maana..
 
mama weeeeee nimekutana na mzimu kuliko mimi.
hao unaowafuatilia wewe kwa kiasi kikubwa ni wale vibishoo kpop vilivyozaliwa miaka 30 iliopita ila mimi ni mpenzi zaidi wa legendary kama lee eun mi, lee sun hee n.k
ila hao pia nawafuatilia kiasi fulani.
kwenye mashindano ya IAM SINGER mwaka fulani nimeusahau huyu lee eun mi alishika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili alishinda the one, nafasi ya tatu alishinda mwanadada so hyang na nafasi ya nne alishinda music commander guckasten
huyu lee eun mi akiimba ni full vituko
Lee Eun Mi - I have a lover

Am I still alone
You ask, and I just laugh
I am in love
I have someone to love
You seem to worry about me
Telling me to meet someone nice
Do you know
I already have a great lover
Someone too precious I had to hide it
That man, only I can see him
He is visible only to my eyes
His name will forever be sealed in my lips
Only the tears that sometimes fill my eyes know
That that man is you
I don’t want to have him
I don’t want to be greedy
I just want to love him

You see
I’m not alone
Don’t worry
Someday I’ll introduce him to you
Can you hear what the tears filling my eyes say?
That that person is you​

haya maneno mhhhhhhhhhh

[emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana
 
Now watching, where the star land, room no.9 Na bad papa. Kila moja nzuri sasa bad papa ji cheol ananipa Mawazo jamani ye kila drama haishiagi vizur
 
Duh mr sunshine ya kawaida sana najutia MB zangu basi tu naendelea nayo kuvizia kiss scene. Bunduki za nini sasa humo aaah
 
Nimeimaliza Mr. Sunshine,,,,,,,,,,ni nzuri zaidi yule jamaa Eugen Choi namkubali sana.

100 days My Prince na Joseon Gunman zinafuata.
 
Msaada wakuu Naombeni mnitajie series zinazohusu masuala ya kijasusi mfano IRIS.

aigoooo nimeanza kukuogopa rafiki, nimebaki najiuliza muda huu umenijuaje au jamaa ni jasusi uchwara?
hii list ni mchanganyiko wa action,spy,thriller,criminal n.k.
ila nimeshindwa kuziweka kwa njia ya link kwa sababu kwa sasa sina PC hivyo basi nakuomba radhi ahjussi.kama utakuna na typing error pia nivumilie unajua nishazoea Nokia ya tochi.
  1. iris 1,2
  2. Athena goddess of war
  3. spy myeongwol
  4. healer
  5. k2
  6. hidden identity
  7. cruel city
  8. city hunter
  9. criminal mind
  10. 3 days
  11. secret forest
  12. signal
  13. bad guys 1,2,3
  14. tunnel
  15. life on mars
  16. the player
  17. black
  18. last
  19. lawless lawyer
  20. terius behind me
  21. pied piper

simu imegoma
 
Back
Top Bottom