Sio kiume Ama!?SBS
Best Child Actor ameshinda Park Si Eun, hivi neno actor linasimama kwa jinsia zote mbili?
hongera kwake bi mdogo
View attachment 982087
Uamini Ama!??wacha weeee
kwa nini nisiamini?Uamini Ama!??
Ata kwa muonekano Heshima Anayo!kazaliwa mwaka mmoja baada ya tanganyika kupata uhuru, mke wake amezaliwa 1969.
wamefunga ndoa 1993.
unapotaja couple yenye kuheshimika nchini korea basi lazima uwataje hao watu.
unapotaja husband role model basi lazima umtaje choi soo jong.
jamaa maisha yake mpaka leo anafanya kazi za ndani.
Mi Nikiletewa Navaa!kwi kwi kwi nakwambia bibi harusi wa sasa ukimpelekea vazi hilo atalipigia deki.
na iyo suti umeionaaa?
Nikajua ujaamini!kwa nini nisiamini?
Hii drama inaweza Beba tuzo ya mwakaSBS
Congratulations Yang Se Jong on winning Excellence in Acting (Wed-Thurs Drama) for his performance in "30 but 17"
View attachment 982110
umeona eeeehhhhhh ila ngoja tuoneMpaka Apo drama Bora kwa KBS Ni My Only One!
Ubishi Huu
😝
Na wamekutana mwaka 87kazaliwa mwaka mmoja baada ya tanganyika kupata uhuru, mke wake amezaliwa 1969.
wamefunga ndoa 1993.
unapotaja couple yenye kuheshimika nchini korea basi lazima uwataje hao watu.
unapotaja husband role model basi lazima umtaje choi soo jong.
jamaa maisha yake mpaka leo anafanya kazi za ndani.
Inachukua Iyo!umeona eeeehhhhhh ila ngoja tuone
nimeona wanasema wamekutana KBS, yaani mwaka waliokutana ndio mwaka ambao tunzo za KBS ndio zinaanzishwaNa wamekutana mwaka 87
Miaka 30 yakujuana kwao
Lol! My Ahjussi Uko Wapi!?
ahjussii wako yupo ila tu pengine ndio hivyo fate.Na wamekutana mwaka 87
Miaka 30 yakujuana kwao
Lol! My Ahjussi Uko Wapi!?