Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

SBS
Congratulations Nam Sang Mi on receiving the Producers' Award for her performance in "Let Me Introduce Her"! Producers of SBS dramas chose the winner of this category.
1546269226405.png
 
SBS
Congratulations Song Yoon Ah on winning Top Excellence in Acting (Daily and Weekend Drama) for her performance in "Secret Mother"
1546270267260.png
 
Wapenzi wa movies

Halotel *148*66# ofa maalumu kisha usiku ofa kisha chagua cha buku unlimited bundle jirambe sita usiku mpaka kumi na mbili asubuh
 
Ile Tuzo Muhimu kwa Television Zote KBS na SBS

Daesang Awards kwa SBS Imeenda kwa Kim Sun Ah na Kam Woo sung Ni Actor and Actress Wa Should we kiss First
 
SBS DRAMA AWARDS
1546272834363.png
woyoooooo namuona Ji Sung anajiandaa kumtangaza mrithi wake, mwaka 2017 alifanikiwa kushinda tunzo ya daesang (msanii bora) na mwaka 2018 mshindi ni..........
woyoooooooo ahjussi na ahjumma
Kim Sun Ah na Kam Woo Sung ndio waigizaji bora wa mwaka kupitia drama inayoitwa should we kiss first?
daebak, daebak hongera kwao ushindi


Kim Sun Ah ahjumma anasema : kiukweli nimeshangazwa sana kwa kutangazwa mshindi wa tunzo hii, amewashukuru She
staff, writer, and her na screen partner wake Kam Woo Sung.
1546272989790.png


kam woo sung anasema:mpaka muda huu siamini kilichotokezea labda mpaka kesho asubuhi nitakapoamka, kama kawaida speech za wakorea amewashukuru watu wote wa karibu.
dah hii drama niliiangalia mpaka episode 8 nikaitupa
1546273092411.png
 
Back
Top Bottom