Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Na kwa KBS Daesang Imeenda kwa Yoo Dong Geun na Kim Myung Min

Hongera Zao MaAjussi
daebak, nafikiri KBS wameona itakuwa si vizuri kwa mara ya pili mfululizowashindi wote wawili watokee kwenye family drama ndio maana wakampa kim myung min kupitia the miracle we met.
ni maoni yangu lakini inawezekana sipo sahihi
1546273493266.png

hongera kwake mzee yoo dong geun kwa ushindi, huyu mzee ndiye alimshawishi song il kook ajaze fomu ya kujiunga na sanaa ya uigizaji.
kama sikosei yoo dong geun itakuwa ni mara yake ya tatu au ya 4 kubeba tunzo hii na kim myung min itakuwa ni mara yake ya pili.
1546273614329.png
 
Yaani Hii Browser Nayotumia Nikitoka Kuingia Kwengine Nikirudi Naanza Upya
Nashindwa Kuelewa Ni Simu Mbovu Ama Browser ndo Mbovuu
Nunua simu nyingine, tatizo sio Browser. Simu ndio tatizo, ni ile kwani?

MGC
 
Aigooooo
Nilikuwa nafuatilia kimyakimya hapa hizo tuzo japo sijaangalia hata drama moja kati ya zilizotoa washindi (niliangalia moja ya The last empress na kwakuwa haijaisha kule KissAsian basi nimeiacha kwanza mpaka iishe ndio niiangalie)

Baadae nitakuja kuweka list ya drama nilizoangalia hapa mwaka huu.
Currently nipo naicheki Jing Bi Rock ambayo ilikuwa suggestion ya Damushin
Umetisha sana, hii drama ndio zile mambo napenda...
Vita mwanzo mwisho, sio mchezo!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
thanks noona, ngoja niwahi kukutakia kheri ya mwaka mpya kwa saa za kwetu korea.
unajua nilifikiri zile suggestion zilikuwa ni utumbo kwako wewe kwa sababu tangu nilipoziweka sijaona hata quote(nukuu) kutoka kwako, na ugonjwa wangu mkubwa siku hizi kama mtu hajafanikiwa kunukuu comment yangu haijalishi kwa njia ya matusi, au akashindwa kunipa hata like basi najihisi nimeandika upumbavu.
kumbe ulikuwa unapitia kimya kimya
mian hae
Tanzania tunawahitaji viongozi wenye maono kama ya Ryu Seong ryong.
 
Back
Top Bottom