DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
daebak, nafikiri KBS wameona itakuwa si vizuri kwa mara ya pili mfululizowashindi wote wawili watokee kwenye family drama ndio maana wakampa kim myung min kupitia the miracle we met.Na kwa KBS Daesang Imeenda kwa Yoo Dong Geun na Kim Myung Min
Hongera Zao MaAjussi
ni maoni yangu lakini inawezekana sipo sahihi
hongera kwake mzee yoo dong geun kwa ushindi, huyu mzee ndiye alimshawishi song il kook ajaze fomu ya kujiunga na sanaa ya uigizaji.
kama sikosei yoo dong geun itakuwa ni mara yake ya tatu au ya 4 kubeba tunzo hii na kim myung min itakuwa ni mara yake ya pili.