D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hii the emperor of the sea naipataje mkuuEmperor of the sea
jumong
great queen seondeok
salute.....
Hata hiyo juujuu hapana aisee nataka ninapoangalia drama niwe totally blind of what is going to happenAma kweli watu tupo tofauti! Mimi ukinisimulia ndio unanipa hamasa ya kuangalia!
Hata hivyo sijasimulia sana mbona? Nimesimulia kijuujuu tuu. Niliwahi kusimulia deep wakati hii thread inaanza nadhani.
Enjoy bhana, ni drama nzuri sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sunbae unawekaje habari ya oppa bila kunitagSong Seung Heon In Talks To Star In New tvN Drama
A source from his agency Better Ent stated on February 19, “Song Seung Heon has received a role offer for tvN’s new drama ‘The Great Show’ (literal title) and is positively looking over it.”
Song Seung Heon was offered the role of Wi Dae Han, a former member of the National Assembly. At the age of 32, Wi Dae Han entered the 19th National Assembly as a youth representative. He lost in the 20th general elections and led a failed political career ever since. While he has every quality of a star politician like quick wit, eloquence, and good looks, his hot-tempered personality always brings him down in the most decisive moments.
The Great Show” will be Song Seung Heon’s first drama in a year since OCN’s “Player” and is scheduled for broadcast during the second half of 2019.
View attachment 1026469
yes upo sahihi, mwili wa lee tae gon ulikuwa ni zawadi tosha ya kumfanya aweze kuutendea haki uhusika wa mfalme gwanggaeto.
ukiniuliza ni muigizaji gani aliyenivutia mule ndani basi jibu langu ni kim jung hwa.
drama ilikuwa na episode takribani 90 lakini cha kushangaza tumeonyeshwa upande mmoja tu wa maisha ya damdeok akiwa kama ni mtawala wa goguryeo nao ni upande wa harakati zake za kuitanua kingdom yake mpaka kuwa empereror.
je raia wa goguryeo walifaidika vipi na kampeni zake za vita zisizokwisha?
kama tunavyofahamu unaweza ukawa na himaya kubwa kama ilivyo Tanzania lakini raia wako wakakosa huduma muhimu za kila siku, cha ajabu sijawahi kukutana na historia ya gwanggaeto inayoangazia hali halisi ya maisha kwa raia wake, vita inataka
maandalizi ya ya chakula na mtoaji chakula cha jeshi ni raia wa kawaida kwa sababu ndiye mlimaji mkuu kwa msaada wa land owner.
utawala wake wa ndani ulikuwaje kwa wale ambao walikuwa na mawazo tofauti na yakwake?
ndio maana kiupande wangu SEJONG anabaki kuwa mfalme bora kwa sababu utawala wake ulielemea pande zote.
lugha ya malikia elizabeth imenisahaulisha, hivi bado huyu sunbaenim yupo kwenye list yako?
Hahaha huyu tena ndio baba yao. Acha kumuonea oppa bwana anaanzaje kuwa Juma Kapuya kwangu huyu?lugha ya malikia elizabeth imenisahaulisha, hivi bado huyu sunbaenim yupo kwenye list yako?
juma kapuya loading...........
ni stage play (theater)Uwiiiiiiii my Oppa is getting old [emoji24][emoji24][emoji24]
Hiyo ni project mpya au?
Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahahaaaaaa umegeuka kibaka na maneno yake:Hahaha huyu tena ndio baba yao. Acha kumuonea oppa bwana anaanzaje kuwa Juma Kapuya kwangu huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha na umbea wako hata ukijumlisha 20 hamfikii Juma Kapuya sema kwa sababu umeamua tu kulazimishahahahahaaaaaa umegeuka kibaka na maneno yake:
leo ya mwanzo
akiona kipigo kimezidi anabadilisha gia angani kama ndege iliokosa gari ya kusukumia.
leo ya mwisho
nahofia mahusiano yenu yatafikisha miaka 20 bila ya kutajiwa habari ya ndoa.
sasa miaka yake
40 +20 = juma kapuya
Haha of course ni mwema we unamuonaje[emoji949][emoji299][emoji304] dalili ya mvua ya mapovu ni uwepo wa miamvuli mengi.
nimalizie kwa kukutakia mahusiano mema na mtarajiwa wako, nitamuomba Mungu awe mume bora kuliko ben na babu Juma wa tabora
sijui kwa kiingilishi munawatambua kama husband materials.
Mchina ilikuwa lazima washindane yule, mafahali wawilisijui kwa kiingilishi munawatambua kama husband materials.
alishindwa na binti wa kichina ila kwako atatulia.
usisahau choi jin hyuk atakuwa dereva wako binafsi