Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

My best soundtracks ever.. from Korea..
View attachment 1021825

c246872ac568db456df0cf3d1b02954f.jpg
Hii Ya Chini Dah!
 
Memories of the alhambra hii movie ni nzuri ila sasa usiikurupukie ukiwa umetoka kuangalia movies za romance na zenye mwanga wa kuvutia utajutia MB zako. Angalia ukiwa very bored huna MB za ziada hasa za kuperuzi peruzi mitandaoni. Movie inahitaji umakini sana ili kuielewa na ukiielewa tamu balaa
 
mbona unanilazimisha nianguke chini kama wazee wa bungeni waliposikia alarm ya furaha dada yangu mpendwa?
hivi ile 10 years challenge haihusiani na korean drama?

hizo drama ndefu kama katiba ya Congo zilizotengenezwa miaka 10 iliopita muachie yule ahjumma mtarajiwa mwengine anayepambana na king gwanggaeto drama muda huu.
hahahahahahahaaaaaaa.​
mtafute kwanza baba mtarajiwa uangalie project yake mpya na kama utakutana na makosa basi umsahihishe ili azidi kusonga mbele.
shauri yako ukifanya masihara wapinzani wako watakusomesha namba kama za AL AHLY ya Mtwara.

huyo mwanamke anaitwa lee min jung : mke halali wa lee byung hun, mmoja kati ya wanawake wavumilivu kwenye ndoa, usiniulize kwa nini
huyo mwanamme anaitwa jo sang wook : mume halali wa cha ye ryun na khantwe kwa ndoa ya ndoto.

kiss scene kama kawaida na wote wana watoto, aminas una la kusema muarabu wewe wa misri?
  1. Fates & Furies – QuickDrama – Watch Full Episodes Free HD on QuickDrama
  2. Fates & Furies at Dramanice
  3. https://kissasian.es/Drama/Fates-amp-Furies-2018/
View attachment 1015174

Mungu akulaani [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwaya Khantwe angalia zako hiyo drama ni nzuri mnooooo!
Watu tumeangalia mpaka Jang Geum ya mwaka 2003/4 itakuwa hiyo ya mwaka 2011?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Picha hazionekani mkuu shida nini zaidi ya hii picha moja tu.
Ok try this for dramacool .
Kama ilivyokuwa kwenye hiyo dramanice huku pia ipo Ad ya sec. 15 ikimalizika Play and enjoy ila kama unataka kupakuwa ukitumia UC browser ndo solution nzuri zaidi ya Crome
Screenshot_2019-02-15-12-22-21.jpg
 
Hii Princess Jamyung Inasikitisha sana dooh! kweli Haya mataifa tuliyonayo tusione yamesimama tu na kuchukulia poa lkn hatujui ni kiasi gani watu waliteseka na wengine kuwa sadaka ili ujenzi wa Taifa ukamilike.
 
Memories of the alhambra hii movie ni nzuri ila sasa usiikurupukie ukiwa umetoka kuangalia movies za romance na zenye mwanga wa kuvutia utajutia MB zako. Angalia ukiwa very bored huna MB za ziada hasa za kuperuzi peruzi mitandaoni. Movie inahitaji umakini sana ili kuielewa na ukiielewa tamu balaa
Mie nilikuwa nataka kuiangalia ila comments za watu kwenye Asianwiki zikanivunja moyo ila sikubali nitaijaribu kuitizama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akulaani [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwaya Khantwe angalia zako hiyo drama ni nzuri mnooooo!
Watu tumeangalia mpaka Jang Geum ya mwaka 2003/4 itakuwa hiyo ya mwaka 2011?

Sent from my iPhone using JamiiForums
hili neno akulaani lina maana gani huko upande wa pili?
kwetu sisi maana yake ni pesa au utajiri.
😛😛😛

kama maandishi yangu yalivuka mipaka nakuomba radhi ila na wewe unadhani huyu Khantwe anaweza kuangalia drama yenye episode 60 bila ya kuiba mchumba?
ngoja tumuulize amefika episode ya ngapi tokea aweke nia ya kutaka kuifuatilia queen seondeok.

umemuonaje mfalme gwanggaeto?
ahsante Mungu kwa kumuondoa go damdeok duniani akiwa bado na umri wa miaka 38, kwa balaa alilokuwa nalo kama angelifikisha miaka 60 huenda angelitembeza kipigo mpaka huku kwetu kwa waarabu koko.
pengine leo hii damushin angelikuwa ni uzao wa general komu wa goguryeo.
😀😀😀
 
Damushin au

roy kim

Leo Sijuh Uko Upande Gani!?

Naona BTS Inajiongezea Army Tu!
Naona America Wanaitawala Sasa Mpaka Grammys.

Njoo Uniambie Yule Babu Yao Nami Nimpeleke Rubi!
muda huu nipo pande zote kwa sababu nipo eneo huru linalonirihusu kutumia device zote mbili kwa wakati mmoja.
BTS wanavuna kile walichokipanda ila wasijisahau japokuwa haiwezekani kila siku wewe ndio uwe juu.
ukitengeneza project mbovu mashabiki watageuka na kuwa wapinzani wako.

nawasubiria BIGBANG warudi na ngoma zao za kufukuza mwizi kwa kelele kama al-ahly ya pemba iliofungwa juzi na simba.
hivi kuna kpop group wenye uwezo wa kusimama na BIGBANG kwenye show?
hii sheria ya kutumikia jeshi kwa lazima bora isije huku kwetu kwa sababu nitajilisha sabuni ya unga kila siku ili niharishe.
chezea vurugu za jeshini na wasimamizi wa mazoezi ndio hawa wasiojulikana 😛😛😛😛😛
wiki moja tu ya mazoezi wanakutoa mshipa wa huruma na hatimaye unakuwa upande wao.

kwa upande wa wanawake nimehamia kwa BLACKPINK (ddu ddu ddu), ya nini kujipa stress na girls generation, momo land na wengineo wakati blackpink wanagonga mpaka marekani kwa sasa.

yaani siku hizi wamarekani wamekuwa waathirika wakubwa wa muziki wa korea, ukitaka uwafurahishe wamarekani kwenye variety show yako wape mualiko kpop group.
halafu sasa lugha ya muziki haihitaji kamusi kwa ajili ya kutafuta maana ya maneno just unakwenda na mdundo kama mwehu.
 
hili neno akulaani lina maana gani huko upande wa pili?
kwetu sisi maana yake ni pesa au utajiri.
😛😛😛

kama maandishi yangu yalivuka mipaka nakuomba radhi ila na wewe unadhani huyu Khantwe anaweza kuangalia drama yenye episode 60 bila ya kuiba mchumba?
ngoja tumuulize amefika episode ya ngapi tokea aweke nia ya kutaka kuifuatilia queen seondeok.

umemuonaje mfalme gwanggaeto?
ahsante Mungu kwa kumuondoa go damdeok duniani akiwa bado na umri wa miaka 38, kwa balaa alilokuwa nalo kama angelifikisha miaka 60 huenda angelitembeza kipigo mpaka huku kwetu kwa waarabu koko.
pengine leo hii damushin angelikuwa ni uzao wa general komu wa goguryeo.
😀😀😀
Niko episode ya nne sijaona bado mchumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Now watching: Romance is a bonus book.
Naipenda quality yake

Sent using Jamii Forums mobile app
na umri wangu huu wa miaka 75 ya kuzaliwa ngoja na mimi nianze kutafuta single mother wakwangu, yanini kujitia stress na vijana wanaopenda keki ya taifa.
kila wiki shopping, dinner kwenye mgahawa wa nyota 10 kama wakorea na drama zao, weekend waalikwe chai, maulid na uradi utafikiri wao ndio ma DJ.
1550306449771.png
 
Back
Top Bottom