Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Hii Ya Chini Dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Ya Chini Dah!
Siku ya ndoa yako na Roy kim tutawapigia huu wimbo...Hii Ya Chini Dah!
mbona unanilazimisha nianguke chini kama wazee wa bungeni waliposikia alarm ya furaha dada yangu mpendwa?
hivi ile 10 years challenge haihusiani na korean drama?
hizo drama ndefu kama katiba ya Congo zilizotengenezwa miaka 10 iliopita muachie yule ahjumma mtarajiwa mwengine anayepambana na king gwanggaeto drama muda huu.
hahahahahahahaaaaaaa.mtafute kwanza baba mtarajiwa uangalie project yake mpya na kama utakutana na makosa basi umsahihishe ili azidi kusonga mbele.
shauri yako ukifanya masihara wapinzani wako watakusomesha namba kama za AL AHLY ya Mtwara.
huyo mwanamke anaitwa lee min jung : mke halali wa lee byung hun, mmoja kati ya wanawake wavumilivu kwenye ndoa, usiniulize kwa nini
huyo mwanamme anaitwa jo sang wook : mume halali wa cha ye ryun na khantwe kwa ndoa ya ndoto.
kiss scene kama kawaida na wote wana watoto, aminas una la kusema muarabu wewe wa misri?
View attachment 1015174
- Fates & Furies – QuickDrama – Watch Full Episodes Free HD on QuickDrama
- Fates & Furies at Dramanice
- https://kissasian.es/Drama/Fates-amp-Furies-2018/
Hii ni music player yangu..
View attachment 1023579View attachment 1023579Asanteh mkuu ila sijafanikisha hilo bado.
View attachment 1023579View attachment 1023579
View attachment 1023579
Hizo nilizozizungushia ndo utabofya kisha itapita ad ya sec 15 ikiishaView attachment 1023579View attachment 1023579 play and enjoyView attachment 1023579View attachment 1023583
Picha ya kwanza ni Dramacool ya 2 ni Dramanice
Ok try this for dramacool .Picha hazionekani mkuu shida nini zaidi ya hii picha moja tu.
Ina GB 1.03 MkuuOk try this for dramacool .
Kama ilivyokuwa kwenye hiyo dramanice huku pia ipo Ad ya sec. 15 ikimalizika Play and enjoy ila kama unataka kupakuwa ukitumia UC browser ndo solution nzuri zaidi ya CromeView attachment 1023624
Mie nilikuwa nataka kuiangalia ila comments za watu kwenye Asianwiki zikanivunja moyo ila sikubali nitaijaribu kuitizama.Memories of the alhambra hii movie ni nzuri ila sasa usiikurupukie ukiwa umetoka kuangalia movies za romance na zenye mwanga wa kuvutia utajutia MB zako. Angalia ukiwa very bored huna MB za ziada hasa za kuperuzi peruzi mitandaoni. Movie inahitaji umakini sana ili kuielewa na ukiielewa tamu balaa
Mie nilikuwa nataka kuiangalia ila comments za watu kwenye Asianwiki zikanivunja moyo ila sikubali nitaijaribu kuitizama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa nitaijaribu.Ni nzuri ila mpaka uwe makini kuufatilia mtiririko mzima
hili neno akulaani lina maana gani huko upande wa pili?Mungu akulaani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaya Khantwe angalia zako hiyo drama ni nzuri mnooooo!
Watu tumeangalia mpaka Jang Geum ya mwaka 2003/4 itakuwa hiyo ya mwaka 2011?
Sent from my iPhone using JamiiForums
muda huu nipo pande zote kwa sababu nipo eneo huru linalonirihusu kutumia device zote mbili kwa wakati mmoja.
Niko episode ya nne sijaona bado mchumbahili neno akulaani lina maana gani huko upande wa pili?
kwetu sisi maana yake ni pesa au utajiri.
😛😛😛
kama maandishi yangu yalivuka mipaka nakuomba radhi ila na wewe unadhani huyu Khantwe anaweza kuangalia drama yenye episode 60 bila ya kuiba mchumba?
ngoja tumuulize amefika episode ya ngapi tokea aweke nia ya kutaka kuifuatilia queen seondeok.
umemuonaje mfalme gwanggaeto?
ahsante Mungu kwa kumuondoa go damdeok duniani akiwa bado na umri wa miaka 38, kwa balaa alilokuwa nalo kama angelifikisha miaka 60 huenda angelitembeza kipigo mpaka huku kwetu kwa waarabu koko.
pengine leo hii damushin angelikuwa ni uzao wa general komu wa goguryeo.
😀😀😀
na umri wangu huu wa miaka 75 ya kuzaliwa ngoja na mimi nianze kutafuta single mother wakwangu, yanini kujitia stress na vijana wanaopenda keki ya taifa.