Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Msaada jamani namna ya kupata full theme song ya "Descendants of the Sun"

Sent from The Black Forest
 
Screenshot_2019-02-10-01-08-15.png

Hatimaye nimeimaliza Joseon Gunman(초전 종잠이). Nimejifunza Vingi mfano Jambo Jema lahitaji subira ili likamilike bila sadaka.
Nimefurahishwa na thamthilia hii. Kiukweli jamaa hajawahi kukosea tangu nilipomuona kwa Mara ya kwanza kwenye Arrang and Magistrate, Il Jimae, Time btn Dog and Wolf na Scarlet heart .
 
Damushin au

roy kim

Leo Sijuh Uko Upande Gani!?

Naona BTS Inajiongezea Army Tu!
Naona America Wanaitawala Sasa Mpaka Grammys.

Njoo Uniambie Yule Babu Yao Nami Nimpeleke Rubi!
 
3 days nailewa sana sijaona nyengine katika drama za aina hii,hakuna scene inayonifurahisha kama ile scene rais anakimbia barabarani kuokoa maisha yake[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili iliyitumika kuandaa hi muvi noma sana..Yaani rafiki wote wa muheshimiwa wanamuwinda wamuue!!
Ila na rais nae alikua ana akili kidogo. Alivyowatoka pale bwawani anavua samaki sikuamini

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Damushin au

roy kim

Leo Sijuh Uko Upande Gani!?

Naona BTS Inajiongezea Army Tu!
Naona America Wanaitawala Sasa Mpaka Grammys.

Njoo Uniambie Yule Babu Yao Nami Nimpeleke Rubi!
Habari wakuu! Naomba msaada website gani ambayo ntapata series nzuri kwa mtindo wa 240p version au hata MP4 yaani less MB let say chini ya 100MB au hata ikikaribia 150MB sio mbaya maana nakutana na ma 1080p ambayo ina ma GB mengi pia kwangu sioni umuhimu wake maana tu hata nikipata version ya 240p naona clear kabisa kwenye simu naomba msaada kwa hili Tafadhari.

Damushin
Da'Vinci
 
Mwanzo nilikuwa na Tazama Super HD lkn baadaye Dramacool na Dramanice wakaleta solution ambayo unaweza kutazama episode ya dk 57- 70 kwa MB 118- 190 ukiingia dramacool utaona hizo solution
 
Mwanzo nilikuwa na Tazama Super HD lkn baadaye Dramacool na Dramanice wakaleta solution ambayo unaweza kutazama episode ya dk 57- 70 kwa MB 118- 190 ukiingia dramacool utaona hizo solution
Asanteh mkuu ila sijafanikisha hilo bado.
 
Back
Top Bottom