Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kila la kheri kwenye ulimwengu wa augmented reality (AR) gaming device.
hii message kwani hukuielewa?
ni mwendo wa games mwanzo mwisho

Sikutilia maanani, jana usiku imenizingua na leo pia.
Waikiki mliposema ni comedy sikuhangaika nayo maana napenda drama serious, sasa jana baada ya kumaliza drama serious nikataka kupumzisha akili kidogo na hiyo Waikiki ila ndio hivyo imezingua na yenyewe.

Yi San ni nzuri, ila hainipi pressure ya kuendelea kuiangalia kama ilivyokuwa kwenye Dong Yi. Najikongoja nayo taratibu huku nikiwaza niangalie drama gani kati ya Sambong au Terms of Endearment.
Unanishauri nianze na ipi hapo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
jung do jeon utakapoianza hutaondoka kwenye internet, nikupe stori uyo actor aliyeigiza uhusika wa jung do jeon kwa sasa ameamua kupumzika baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa celebrity waliowahi kufanya vitendo vya kinyanyasaji kwa wanawake tofauti.
kupitia kampeni ya me too nchini korea
 
  1. comrade, seoul 1945 : vita ya korea
Hii series si ina sikitisha pia kwa mara ya kwanza niliitazama
drama zinazozungumzia taifa la joseon zipo nyingi sana dada yangu kwa makadirio zinafika 100, kwa kuwa hatujibii mtihani wa fasihi nyengine nyingi sijaziangalia.

  1. jung do jeon + six flying dragons🙁kuanzishwa kwa joseon kuanzia mfalme taejo hadi taejong) the greet seer sikuifuatilia kwa sababu haipo kiuhalisia wa matukio. Ni sawa na kuangalia king gwaggaeto drama baadae ukafuatilia the legend drama japokuwa zote zimemzungumzia go damdeok.
  2. the great king sejong + tree with deep roots + jang yeong sil drama:(ukiiangalia sejong the great drama basi utakuwa umeshajirahisishia kila kitu, utayafahamu maisha yake taejong na utawala wake, maisha ya sejong, maisha ya jang young sil na ushirikiano wake mkubwa na sejong katika kuifanya joseon kuwa ni nchi ya sayansi, harakati za sejong kuanzisha herufi za korea(hangul) na mengine mengi sana) + (Jang yeong sil umesema umeshaiangalia, + tree with deep roots ndani yake kuna kikundi fulani kinaitwa milbon kama nipo sahihi ambao walitaka kulipiza kisasi cha mauaji ya sambong, pia imezungumzia harakati za sejong kuanzisha hangul letter) Cha kuvutia aliyeigiza uhusika wa mfalme sejong na taejo ndani ya sejong drama ndio hao hao waliyoigiza uhusika wa sejong na taejong ndani ya jang yeong sil drama.
  3. the princess man drama: romeo and juliett kutoka korea, love story kati ya mtoto wa mfalme na kijana ambaye baba yake alihukumiwa kwa usaliti
  4. queen for seven days drama : malikia aliyekaa madarakani kwa siku saba, sijui kama itakuvutia kwa sababu ni love story kwa kiwango kikubwa inayombatana na uchoyo wa madaraka, wivu kati ya ndugu wawili.
  5. ukiangalia jingbirok + admiral yi soon shin utakuwa ushamfahamu seonjo na vita ya imjin, zipo nyengine lakini ndio hivyo hatujibii mtihani wa fasihi
  6. heo jun drama: maisha ya daktari wa mfalme seonjo na familia yake nzima aliyeitwa heo jun, mtaalamu wa tiba aliyebobea nyakati hizo.
  7. the crowned clown, goddess of fire, the kings face, hong gil dong (maisha ya gwanghae ambayo pia utayapata kwenye no 5 na no 6) hii jung yi goddess of fire inazungumzia maisha ya mwandada fulani aliekuwa ni genius kwa utengenezaji wa vyombo vya kigae huku kwetu tunaita kaure, cha ajabu wenzetu wametengeneza miaka karne ya 16 ila sisi mpaka leo tunashindwa.
  8. dong yi, yi san, haechi, jang ok jung, jackpot (maisha ya mfalme sukjong, mfalme yi san, yeong jo), ongezea warrior baek dong soo, secret door
  9. joseon gun man, mr sunshine :nyakati za mwisho wa utawala wa joseon kabla ya kutawaliwa rasmi na japan.
  10. comrade, seoul 1945 : vita ya korea
Legend of Four gods niliitazama kati ya 2011/2012 na niliishia sehemu kati ya 3-4 kifupi siikumbuki pengine nilikuwa sijawa muhenga, kwani Historia yake ni ya Gogryeo?! Labda unipe japo muhtaksari ikoje, Three with Deep root niliitazama miaka hiyo 2013 japo sikumbuki inaelezea nini na niliishia sehemu ya 8-9,
The Comrade niliitazama zamani bahati nzuri niliirudia 2015 daah! Inatia huruma ile vita haikuwa mchezo.
 
Wakorea wa Kaskazini wanaongea ile Lugha yao ya Asili kabisa japo misamiati yao wanakopa kutoka kwenye Lugha ya Urusi, Korea Kusini hawa wanaumagharibi sana Lugha yao wametia maneno mengi ya Kizungu na wanauzungu sana!.
Juzi nilikuwa Natazama makala AlJazeera Reunite Korean families, kwakweli walikuwa wanapata tabu kuelewana hasa vijana ila wazee haikuwa tabu,daah! Nikasema uhusiano pia unaasilimia kubwa katika kudumisha Lugha.
 
Nimeiona Chief
Damdeok nimemkubali sana hasa kwa kupendelea kwake kusikiliza maoni ya washauri wake tofauti na wafalme wengine ambao wako kama ‘jiwe’ letu.

Hakuna shaka Ha Muji ndio alikuwa genius kuliko hao wengine wote sababu mipango yake asilimia kubwa ilifanikiwa. Director amefanya kazi nzuri sana kumteua mhusika wa Ha Muji, amevaa uhusika kwa namna iliyovutia sana.
Jana machozi yamenitoka alipouawa ktk episode 89, ilikuwa episode chungu sana kwangu.

Watu ambao niliumia kwa vifo vyao ktk series hii ni Sagal Hyeon na Ha Muji.

Vilevile nimevutiwa sana na swordsmanship ya Damdeok, vile anavyorusha sword na kuidaka katikati ya mapambano alinivutia.
Mtu niliyekubali mapigo yake humo ni Sagal Hyeon, jamaa alikuwa anapigana kitaalam sana. Alinikumbusha Gukseon Munno wa kwenye Queen Seondeok.

Yi San nachechemea nayo kama unavyoenda mdogomdogo na Jang Yeong Sil, na hizo zote ambazo umeziangalia ikiwemo hiyo Jang Yeong Sil nimeshaziona zote.
Utanipiga gape ukianza kuangalia Sambong na Great Seer pekee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mama ni mtu wa kuangalia sana Emmanuel tv na Hafagilii sana series lakini tulipoanza Kuifuatilia Jumong nayeye akawa anaitazama japo si sana alikuwa anasema "Hivi huyo Jumong kila siku kanuna!" Baadae tukaja King Gwanggaetto the Great nakumbuka Baba akiwa hayupo nyumbani basi tulikuwa tunatazama naye mpaka mida mibovu alikuwa anawahi kulala nyakati ambazo baba akiwa amekuja nyumbani(Likizo) nyingine iliyomvutia zaidi ni the Promise alikuwa anakoshwa na yule mama mwenye roho ngumu( mama Saejin kama sikosei) na Dong Yi,.
 
halafu mkuu si kila muda unatakiwa uonyeshe ubabe wako mbele ya jamii, jaribu kujishusha zaidi na zaidi kwa dhumuni la kufikia lengo lako na hiyo ndio silaha walioitumia shilla.

Kim Chun-Chu alikuwa ni zaidi ya mwanadiplomasia anayejua kutumia ulimi wake ipasavyo kwa dhumuni la kuyafikia malengo yake, alishaona kwa nguvu ya shilla hawakuwa na uwezo wa kusimama na goguryeo na hata Baekje hivyo solution ni bora tuwe mbwa wa Tang china kuliko kuvamiwa na ndugu zetu.

hatimaye alifanikiwa malengo yake kwa sababu baekje iliangushwa, ikafuata goguryeo baadae shilla na tang wakageukiana na hatimaye tang akachapwa kwa ushirikiano wa wanajeshi waliokuwa wa goguryeo, baekje na shilla.

shilla wakafanikiwa kuziunganisha kingdom 3 kwa mara ya kwanza kwenye historia, ndipo takribani miaka mingi kupita ikawa ni zamu ya goryeo kuziunganssha tena kingdom 3 baada ya shilla kuanguka pamoja na balhae kuchapwa na KHITAN.
Wanasema uoga ni moja ya njia ya kujihami nadhani Silla wDuniani,..a. njia hii, moja ya mafanikio ni kwamba silla ipo kwenye list ya dynasties ambazo zilidumu kwa muda mrefu Duniani.

Kama sio Impacts za Corroboration ya Shilla na Tang?!
Kwanini Dynasties kama Goryeo na Joseon zilikuwa zimehodhiwa na Ming na baade Quing dynasty?! Kipi kilifanya wawe tegemezi kwa wachina?!
 
Nilitoka kuangalia encounter nikairukia hio alhambra nilijutia MB zangu
memories of alhambra nilikuwa naifuatilia kila wiki nipate kujua mwisho wa kizaazaa cha games.
niliipenda sana ile drama lakini inahitaji utulivu unapoifuatilia.
unakufa kwenye games na kwenye maisha ya ukweli pia unafariki
hahahahahaaa balaaa.​
 
Na Mpaka Inaisha Haikutupa Uhalisia Au Kutuelewesha Nini Kilichokua Kinaendelea Kwenye Maisha Ya Game na Kawaida Hasa Kilichofanya Watu Wakifa Kwa Game Na Uku Kawaida Wanakufa!

Ni nzuri Ila Utuliee Tu Kuiangalia.
 
jung do jeon utakapoianza hutaondoka kwenye internet, nikupe stori uyo actor aliyeigiza uhusika wa jung do jeon kwa sasa ameamua kupumzika baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa celebrity waliowahi kufanya vitendo vya kinyanyasaji kwa wanawake tofauti.
kupitia kampeni ya me too nchini korea

Nimemaliza kuiangalia Banker ni motooooo. Nimeikubali sana, kumbe wafanyakazi wa bank huwa wanapitia kashkash namna ile? Nimejifunza mengi na mzee wangu katisha sana.

Hatimaye umenishawishi kuingia ktk ulevi wa ongoing, nitaishia kwenye hii tu. Labda Oppa wangu Song akirudi kwenye drama.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mama ni mtu wa kuangalia sana Emmanuel tv na Hafagilii sana series lakini tulipoanza Kuifuatilia Jumong nayeye akawa anaitazama japo si sana alikuwa anasema "Hivi huyo Jumong kila siku kanuna!" Baadae tukaja King Gwanggaetto the Great nakumbuka Baba akiwa hayupo nyumbani basi tulikuwa tunatazama naye mpaka mida mibovu alikuwa anawahi kulala nyakati ambazo baba akiwa amekuja nyumbani(Likizo) nyingine iliyomvutia zaidi ni the Promise alikuwa anakoshwa na yule mama mwenye roho ngumu( mama Saejin kama sikosei) na Dong Yi,.

Hahaaaaa sasa mama yangu yuko emotional kama mimi, tukiangalia wote hizi drama ni kulia tu kama tupo msibani, na yeye anapenda historical kama mimi.

Tulianza kuangalia wote Queen Seondeok mwaka 2013, aliipenda sana, sana.
Juzikati tumeangalia wote Empress Ki pia kaielewa sana.
Tumeangalia nyingi ila hizo naona ndio alizipenda zaidi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Juzikati tumeangalia wote Empress Ki pia kaielewa sana.
Kama kuna tamthilia nilijuta kuitazama ni hiyo Empress Ki Siipendi
Mfalme mwenyewe alikuwa hajitambui hata kidogo.
Kifupi nilikereka kuitazama.

Kama NIngekuwa mpenzi wa Somo la Physics basi Jang yeong ingekuwa sehemu nzuri ya kujifunza, japo napata mafunzo mengi sana katika tamthilia hii ikiwepo kuziongoza hisia kama afanyavyo mfalme Sejong na Busara zake, kuwa na roho ya kusamehe maana yake moyo uachilie maumivu.
Kuna jamaa humu ndani ni mwendawazimu w Mathematics ni mpaka nakoshwa kupita maelezo. Baadae Usiku nitaingia episode ya 19/ 24.
 
Empress Ki kali bhana, au labda sababu sisi wanawake ndio tunaona fahari kwa jinsi Ki alivyoweza kusimama imara tofauti na drama nyingi ambazo wanaume ndio wanaofanya aliyoyafanya yeye.

Jang Yeong Sil niliipenda sababu tu humo kacheza kipenzi zangu Song ila sikuvutiwa nayo kivile,enjoy.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama kuna tamthilia nilijuta kuitazama ni hiyo Empress Ki Siipendi
Mfalme mwenyewe alikuwa hajitambui hata kidogo.
Kifupi nilikereka kuitazama.

Kama NIngekuwa mpenzi wa Somo la Physics basi Jang yeong ingekuwa sehemu nzuri ya kujifunza, japo napata mafunzo mengi sana katika tamthilia hii ikiwepo kuziongoza hisia kama afanyavyo mfalme Sejong na Busara zake, kuwa na roho ya kusamehe maana yake moyo uachilie maumivu.
Kuna jamaa humu ndani ni mwendawazimu w Mathematics ni mpaka nakoshwa kupita maelezo. Baadae Usiku nitaingia episode ya 19/ 24.
Hiyo Empress Ki Ni Drama Ya Aina Yake. Ni Drama Yenye Sad Ending Na Kama Wewe Si Mpenzi Wa Sad Endings Basi Hutoifurahia.

Hii Drama Ilikuwa Controversial China Sababu Ya Baadhi Ya Mambo Ambayo Hayakuwa Na Uhalisia Ndani Yake. Inasemekana Empress Ki Alikuwa Katili Sana Na Alikuwa Na Maovu Kibao Ila Kwenye Hii Drama Amekuwa Portrayed Kama Mtu Mwema, Jasiri Na Mvumilivu Kitu Ambacho Wanahistoria Wanakataa.
 
Empress Ki kali bhana, au labda sababu sisi wanawake ndio tunaona fahari kwa jinsi Ki alivyoweza kusimama imara tofauti na drama nyingi ambazo wanaume ndio wanaofanya aliyoyafanya yeye.
Unataka kuniambia Lady Ki kafanya makubwa kuliko Consort Huk bin Choi(Dong yi) ?! au Kafanya Makubwa kuliko Queen Seon doek(Daek Man) au alikuwa bright zaidi ya Princess Jamyung?! Miye naona Dae Jang um alikuwa better than Lady Ki,
😂 Lady Ki anautofauti gani na Princess Nangrang(Lahee)?!, 😀ni moja ya watu ambao walifanya Nchi zao kufall, Consort Hui(Jang ok Jeong) bila kumuwahi na yeye angekuwa Manzi ga nyanza kamaasemavyo Jk Nyerere.
 
Jana machozi yamenitoka alipouawa ktk episode 89, ilikuwa episode chungu sana kwangu.

Watu ambao niliumia kwa vifo vyao ktk series hii ni Sagal Hyeon na Ha Muji.

Vilevi
Kifo cha Ha muji kwangu ilikuwa pigo mno baada ya kumpoteza Sagalhyeon,na Yeol salta.
Wewe ulivyotazama kifo cha nani kiliugusa kwa undani zaidi moyo wa mfalme?!
Hay ndiyo maono yangu walipokufa mfalme aliumia sana.
1. Princess[ Dam Ju]
2. Damang [ Prince )
3. Queen( mama yake)
4. Ha muji[ Military Advisor ]
5. Sagal hyeon[ Emperor's Bodyguard ]
6. Yeon salta( General )
Hakuumia sana mfalme alipokufa
 
Unataka kuniambia Lady Ki kafanya makubwa kuliko Consort Huk bin Choi(Dong yi) ?! au Kafanya Makubwa kuliko Queen Seon doek(Daek Man) au alikuwa bright zaidi ya Princess Jamyung?! Miye naona Dae Jang um alikuwa better than Lady Ki,
[emoji23] Lady Ki anautofauti gani na Princess Nangrang(Lahee)?!, [emoji3]ni moja ya watu ambao walifanya Nchi zao kufall, Consort Hui(Jang ok Jeong) bila kumuwahi na yeye angekuwa Manzi ga nyanza kamaasemavyo Jk Nyerere.

Kila mtu ana namna anayoguswa na drama, mimi naweza kukuambia (ndio uhalisia wenyewe kwangu) Jumong ni kali zaidi ya historical drama zote hata ikiwemo hiyo King Gwanggaeto.
Sidhani kama na wewe una maoni sawa na mimi, na siwezi kupingana na wewe.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kifo cha Ha muji kwangu ilikuwa pigo mno baada ya kumpoteza Sagalhyeon,na Yeol salta.
Wewe ulivyotazama kifo cha nani kiliugusa kwa undani zaidi moyo wa mfalme?!
Hay ndiyo maono yangu walipokufa mfalme aliumia sana.
1. Princess[ Dam Ju]
2. Damang [ Prince )
3. Queen( mama yake)
4. Ha muji[ Military Advisor ]
5. Sagal hyeon[ Emperor's Bodyguard ]
6. Yeon salta( General )
Hakuumia sana mfalme alipokufa

Mimi naona kifo kilichomgusa zaidi kuliko vyote ni Dammang kaka yake pamoja na Ha Muji. Kama nipo sahihi vifo hivi ndio nilimuona akitokwa na machozi...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimemaliza kuiangalia Banker ni motooooo. Nimeikubali sana, kumbe wafanyakazi wa bank huwa wanapitia kashkash namna ile? Nimejifunza mengi na mzee wangu katisha sana.

Hatimaye umenishawishi kuingia ktk ulevi wa ongoing, nitaishia kwenye hii tu. Labda Oppa wangu Song akirudi kwenye drama.

Sent from my iPhone using JamiiForums
ㅋㅋㅋㅋㅋ ㅋㅋㅋㅋㅋ
nimependa mwanzoni walipokuwa sokoni akiambatana na mfanyakazi wake alimuuliza unadhani fedha zinazaliwa wapi?
dogo akajibu benki kuu, kutoka kwa matajiri na sekta nyenginezo za kifedha.

kwa kutumia lafudhi ya Gongju akamjibu
wazalishaji wakubwa wa fedha ni hao walalahoi unaowazarau, kadri wanavyofanya kazi kwa amani na furaha inayotokana na mzunguko mkubwa wa kifedha ndipo matajiri nao wanapata fedha ya kuendeshea biashara zao.

ile hotuba siku aliyotambulisha kwenye mkutano wa shareholders nimeipenda, 🙏🙏 amekichafua vibaya sana,
nchi yetu ni masikini utanunuaje ndege zaidi 4, hivi kuna atakayeamini kama sisi ni masikini?

nimenusa harufu ya vita kubwa sana ya kimaslahi kati ya upande wa rais wa benki bwana Kang Sam-Do dhidi ya wale wanaotaka kumn'goa madarakani, kama namuona proffessor wetu assad No Dae-Ho atakavyokinukisha.

duniani imekuwa ni rahisi sana kwa masikini kuwatajirisha matajiri kuliko matajiri kuwatajirisha masikini, kama kuna baadhi ya nchi kiwango cha matajiri ni kikubw kuliko kiwango cha umasikini lakini bado masikini wameendelea kuwepo vipi kwa huku kwetu?​
bado elimu ya utumiaji wa huduma za kibenki ni ndogo sana kwa wananchi, wengi wao wanaotumia benki ni wale waajiriwa au wafanya biashara wakubwa na kwa kiasi kikubwa hutumia huduma za kibenki kwa dhumuni la kutoa mishahara yao ya kila mwezi, ukiangalia drama hii kwa umakini utagundua hata wale wauza mboga mboga sokoni wana saving account.

Kuna raia mpaka leo wameshindwa kuwa na imani na huduma za kuhifadhi na kuhamisha fedha kwa njia za mitandao ya simu.
Afrika tupo nyuma sana​
 
Back
Top Bottom