Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
kila la kheri kwenye ulimwengu wa augmented reality (AR) gaming device.
hii message kwani hukuielewa?
ni mwendo wa games mwanzo mwisho
Sikutilia maanani, jana usiku imenizingua na leo pia.
Waikiki mliposema ni comedy sikuhangaika nayo maana napenda drama serious, sasa jana baada ya kumaliza drama serious nikataka kupumzisha akili kidogo na hiyo Waikiki ila ndio hivyo imezingua na yenyewe.
Yi San ni nzuri, ila hainipi pressure ya kuendelea kuiangalia kama ilivyokuwa kwenye Dong Yi. Najikongoja nayo taratibu huku nikiwaza niangalie drama gani kati ya Sambong au Terms of Endearment.
Unanishauri nianze na ipi hapo?
Sent from my iPhone using JamiiForums