FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Kifo cha Ha muji kwangu ilikuwa pigo mno baada ya kumpoteza Sagalhyeon,na Yeol salta.
Wewe ulivyotazama kifo cha nani kiliugusa kwa undani zaidi moyo wa mfalme?!
Hay ndiyo maono yangu walipokufa mfalme aliumia sana.
1. Princess[ Dam Ju]
2. Damang [ Prince )
3. Queen( mama yake)
4. Ha muji[ Military Advisor ]
5. Sagal hyeon[ Emperor's Bodyguard ]
6. Yeon salta( General )
Hakuumia sana mfalme alipokufa
Hii Drama Niliicheki Kitambo Kidogo Ila Bado Naikumbuka Vyema. Kuna Vifo Vingi Ambavyo Viligusa Mioyo. Kuna Kifo Kimoja Hapo Kimesahaulika Cha General Mzee, General Komu.Mimi naona kifo kilichomgusa zaidi kuliko vyote ni Dammang kaka yake pamoja na Ha Muji. Kama nipo sahihi vifo hivi ndio nilimuona akitokwa na machozi...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisa tumemsahau Camander Komu mzalendo wa kweli katika Taifa lake mtu ambaye alikuwa anaijali Gogryeo kuliko hata familia yake, Nakumbuka alipokuwa anakwenda kupigana na Murong Choi huku akiwa na hali mbaya Kiafya,Nadhani Chanzo cha kifo Murong Choi ilikuwa ni kupigana na Camander Komu ama mmiliki wa Ngome ya Yodoseong.Hii Drama Niliicheki Kitambo Kidogo Ila Bado Naikumbuka Vyema. Kuna Vifo Vingi Ambavyo Viligusa Mioyo. Kuna Kifo Kimoja Hapo Kimesahaulika Cha General Mzee, General Komu.
Kifo Cha Huyu Mzee Kilinisikitisha Sana Ukizingatia Ndiye Alikuwa Generali Mbobevu Wa Vita Na Ndiye Aliyewalea Akina Damdeok Wakiwa Wadogo Ikiwemo Kuwafundisha Mbinu Nyingi Tu Za Kijeshi Na Mapigano.
Mchango Wake Hauwezi Kusaulika Katika Maisha Ya Damdeok Kwa Ujumla Na Hata Alipokufa, Alikufa Kifo Cha kishujaa Sana Wakati Anaitetea Ngome Isiyoingilika (Impregnable Fortress) Yodongseong. Alikuwa Loyal Sana Kwa Taifa La Goguryeo Na Alipigana Vita Nyingi Sana Kiasi Cha Kuathiri Afya Yake.
ㅋㅋㅋㅋㅋ ㅋㅋㅋㅋㅋ
nimependa mwanzoni walipokuwa sokoni akiambatana na mfanyakazi wake alimuuliza unadhani fedha zinazaliwa wapi?
dogo akajibu benki kuu, kutoka kwa matajiri na sekta nyenginezo za kifedha.
kwa kutumia lafudhi ya Gongju akamjibu
wazalishaji wakubwa wa fedha ni hao walalahoi unaowazarau, kadri wanavyofanya kazi kwa amani na furaha inayotokana na mzunguko mkubwa wa kifedha ndipo matajiri nao wanapata fedha ya kuendeshea biashara zao.
ile hotuba siku aliyotambulisha kwenye mkutano wa shareholders nimeipenda, [emoji120][emoji120] amekichafua vibaya sana,
nchi yetu ni masikini utanunuaje ndege zaidi 4, hivi kuna atakayeamini kama sisi ni masikini?
nimenusa harufu ya vita kubwa sana ya kimaslahi kati ya upande wa rais wa benki bwana Kang Sam-Do dhidi ya wale wanaotaka kumn'goa madarakani, kama namuona proffessor wetu assad No Dae-Ho atakavyokinukisha.
bado elimu ya utumiaji wa huduma za kibenki ni ndogo sana kwa wananchi, wengi wao wanaotumia benki ni wale waajiriwa au wafanya biashara wakubwa na kwa kiasi kikubwa hutumia huduma za kibenki kwa dhumuni la kutoa mishahara yao ya kila mwezi, ukiangalia drama hii kwa umakini utagundua hata wale wauza mboga mboga sokoni wana saving account.
duniani imekuwa ni rahisi sana kwa masikini kuwatajirisha matajiri kuliko matajiri kuwatajirisha masikini, kama kuna baadhi ya nchi kiwango cha matajiri ni kikubw kuliko kiwango cha umasikini lakini bado masikini wameendelea kuwepo vipi kwa huku kwetu?
Kuna raia mpaka leo wameshindwa kuwa na imani na huduma za kuhifadhi na kuhamisha fedha kwa njia za mitandao ya simu.
Afrika tupo nyuma sana
Hii Drama Niliicheki Kitambo Kidogo Ila Bado Naikumbuka Vyema. Kuna Vifo Vingi Ambavyo Viligusa Mioyo. Kuna Kifo Kimoja Hapo Kimesahaulika Cha General Mzee, General Komu.
Kifo Cha Huyu Mzee Kilinisikitisha Sana Ukizingatia Ndiye Alikuwa Generali Mbobevu Wa Vita Na Ndiye Aliyewalea Akina Damdeok Wakiwa Wadogo Ikiwemo Kuwafundisha Mbinu Nyingi Tu Za Kijeshi Na Mapigano.
Mchango Wake Hauwezi Kusaulika Katika Maisha Ya Damdeok Kwa Ujumla Na Hata Alipokufa, Alikufa Kifo Cha kishujaa Sana Wakati Anaitetea Ngome Isiyoingilika (Impregnable Fortress) Yodongseong. Alikuwa Loyal Sana Kwa Taifa La Goguryeo Na Alipigana Vita Nyingi Sana Kiasi Cha Kuathiri Afya Yake.
Kweli kabisa tumemsahau Camander Komu mzalendo wa kweli katika Taifa lake mtu ambaye alikuwa anaijali Gogryeo kuliko hata familia yake, Nakumbuka alipokuwa anakwenda kupigana na Murong Choi huku akiwa na hali mbaya Kiafya,Nadhani Chanzo cha kifo Murong Choi ilikuwa ni kupigana na Camander Komu ama mmiliki wa Ngome ya Yodoseong.
Wharang nzur sanaIntroverted boss nimeipenda
Hwarang the beginning nzuri sana
dah hii drama ya empress ki niliishia episode 11.Hiyo Empress Ki Ni Drama Ya Aina Yake. Ni Drama Yenye Sad Ending Na Kama Wewe Si Mpenzi Wa Sad Endings Basi Hutoifurahia.
Hii Drama Ilikuwa Controversial China Sababu Ya Baadhi Ya Mambo Ambayo Hayakuwa Na Uhalisia Ndani Yake. Inasemekana Empress Ki Alikuwa Katili Sana Na Alikuwa Na Maovu Kibao Ila Kwenye Hii Drama Amekuwa Portrayed Kama Mtu Mwema, Jasiri Na Mvumilivu Kitu Ambacho Wanahistoria Wanakataa.
Aigoooooo
Mimi nimeipenda pale inapoanza yule mzee anapolalamika juu ya lile ‘dude’ lililokuwa linamtesa hahaaaaa
Mimi nilidhani jambazi hatari au nini kumbe pig? Nilichekaaaaaaa
Absolute nilitaka kusema hivyo , tatizo linakuja unadhania neno umeliandika kama ipasavyo kumbe limeishia kichwani na vidole vina andika kivyake.Nafikiri ulitaka kusema kifo cha General Komu kilichangiwa na kupigana na Emperor Chui,
Inaonekana mnafaidi sana hizi drama za mjini, drama ya mwisho ya mjini kuitazama ilikuwa Ghost Agent na Fashion KingView attachment 1059726
hahahahahaaaa nimecheka sehemu hii wazee walipoona dalili za kugeuziwa kibao wacha wakinukishe.
View attachment 1059726
hahahahahaaaa nimecheka sehemu hii wazee walipoona dalili za kugeuziwa kibao wacha wakinukishe.
jumatano na alhamisi.Hahaaaaa vizee vinachamba hatari, sio kwa kumsema kule dada wa watu kwamba anajidai kisa katoka mjini kumbe ana stress za kukosa mkopo!
Sasa itaendelea lini? Kila saa nachungulia! Ndio maana sipendi haya mambo ya ongoing.
Sent from my iPhone using JamiiForums
jumatano na alhamisi.
hahahahaaaaaaa utanitoa roho yangu kwa kucheka.
Kwahiyo siku hizi Historical Drama hazipandi sana?!, Miye bado Naisaka historia vizuri halafu nijue kama narudi mjini au laa!, Ingawa Jumong ndiye aliyenikaribisha Korea miaka ile 2007/2008 nikiwa primary baadae nikaishuhudia 2009 Capital 2010 nikaishuhudia ikiwa imetiwa maneno ya kiswahili, nikaja Queen Seon deok, The Great King, ndiyo tukahamia mjini kwa mara ya kwanza. Hii ni list ya drama za mjini nilizowahi kuzitazama:jumatano na alhamisi.
hahahahaaaaaaa utanitoa roho yangu kwa kucheka.
Sawa nitajisajiri huko wacha ni mtazame kwanza Jang yeong sil halafu baadaye nije.zamani zilikuwa zinanishinda lakini tokea niingie ulimwengu wa going on nimeshakuwa muathirika zaidi ya piere na pombe, makonda na madaraka,
DRAMA SIKU NO: OF EPISODE MAUDHUI haechi drama jumatatu + jumanne 48/2 = 24 episodehistorical item drama jumatatu + jumanne 32/2 = 16 episodesuper natural waikiki season 2 jumatatu + jumanne 16 episode comedy doctor prisoner jumatano + alhamisi 16 episode medical the banker drama jumatano + alhamisi 36/2 = 18 episode finance the fiery priest drama ijumaa + jumamosi 40/2 = 20 episode action, comedy, religion kill it drama jumamosi + jumapili 16 episode action, criminal confession drama jumamosi + jumapili 16 episode law, criminal chicago typewriter drama completed 16 episode
kuna baadhi ya drama zitatumbuliwa muda si mrefu, kuna baadhi ya drama zitaingia kwenye list.
Yeah! Ni Korean Kwa Maana Ya Drama Ila Inagusa Both Countries Historically Na Pia Ni Moja Ya Drama Zilizowahi Ku-Hit Sana Nchini China.mkuu kwani ni china au korea?
Rrrryeyyydrama zinazoangazia three kingdom kwa kiasi kikubwa nimeshaziangalia na nyengine niliachana nazo kwa sababu hazikunivutia.
korea proejct nyingi wanazotengeneza miaka hii ya karibuni ni modern drama pamoja na drama za joseon dynasty.
usiku mwema kwa wote, macho yangu yameshachoka.
- prince of the legend (jumong)
- kingdom of the wind
- kings dream / dreams of emperor
- emperor of the sea/ haeshin
- dae jo yeong
- emperor wang guhn : sijaimaliza ina episode 200
- sword and flower:
- shine or go crazy
- scarlet heart ryeo
- hwarang
- queen seondeok
- faith
- gwanggaeto
- gye baek
- king geunchogo
- the king in love
- god of war
- jung do jeon
- six flying dragons
- empress cheonchu: sijaimaliza
anyeong chingus
upo sahihi, hayakuwa maamuzi sahihi kiupande fulani labda alichukua maamuzi kutokana na hasira alizokuwa nazo baada ya kumpoteza baba yake aliyeamua kukatisha uhai wake kutokana na depression. laiti kama wanadamu tungelikuwa na uwezo wa kutabiri kitakachojiri mbeleni kwa usahihi basi mke wake angelikuwa na haki ya kudai talaka kwa mume wake kwa kushindwa kwake kuzuia kifo cha mkwe wake.Hahaaaaa jana nimechekaaaaaa. Ila mke wake na Uncle Noh sio kabisa, ndio nini kudivorce na mwenzie kisa baba yake kajinyonga kwa kukosa mkopo?
Tunapoelekea nahisi kutakuwa na mapigano makali sana ya kutumia silaha, ndio lengo la kumuonesha Uncle Noh kama sniper hatari aliyeshinda medali.
Sent from my iPhone using JamiiForums