Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 897
- 1,929
Inaitwa hiyo project ya bidam, maana nataka nianze kasi baada ya mpumziko niliyokuwa nimejipa.Geeeez! Hivi kweli Damushin hujaniambia kama Kim Nam Gil ana project mpya mpaka inataka kuisha jamani? Yani na kulia kote alivyokwenda jeshini? [emoji24][emoji24][emoji24]
Sijui nimekuwaje? Hili ni kosa kubwa kukosa drama ya Bidam bae...
Tena na hivi Oppa Song anazingua itabidi nimfanyie ‘sub’ na Bidam, no way.
Ngoja nimalize The Great Seer niianze hii fasterrrr, Sambong isubiri kwanza.
Bidam first [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums
hii laana ya thread hata mimi pia inaendelea kuniandama na kila ninapojaribu kuitelekeza huwa nashindwa, baadhi ya nyakati naweza kutafuta kisingizio chochote ili nisiweze kutembelea humu ndani lakini wapiiii naishia kuchukua wiki moja hadi mbili then narudi uchawini.Halafu hii thread ina nini?! Maana nishaanza kuwa mlevi sasa, wa humu kila nipatapo nafasi lazima nizame humu.
Jamani baadae wacha nikaiendeleze sambong project, maana nikisema nitazame The Great King Sejong nitalala saa saba na nusu sababu ni ndefu mno.
dah leo umeamua kunibebesha mzigo wa lawama kwa asilimia hamsini kwa sababu nakumbuka nilishawahi kuandika stori za hii drama kwa zaidi ya mara mbili.Geeeez! Hivi kweli Damushin hujaniambia kama Kim Nam Gil ana project mpya mpaka inataka kuisha jamani? Yani na kulia kote alivyokwenda jeshini? [emoji24][emoji24][emoji24]
Sijui nimekuwaje? Hili ni kosa kubwa kukosa drama ya Bidam bae...
Tena na hivi Oppa Song anazingua itabidi nimfanyie ‘sub’ na Bidam, no way.
Ngoja nimalize The Great Seer niianze hii fasterrrr, Sambong isubiri kwanza.
Bidam first [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inaitwa hiyo project ya bidam, maana nataka nianze kasi baada ya mpumziko niliyokuwa nimejipa.
Naomba unipashe Sasa baadaye nikaupakue.
Kwahiy sasa ni mwendo wa 3
1. Sambong Project
2 the Great king Sejong project
3 na hiyo ya Bidam Rang.............
dah leo umeamua kunibebesha mzigo wa lawama kwa asilimia hamsini kwa sababu nakumbuka nilishawahi kuandika stori za hii drama kwa zaidi ya mara mbili.
labda itakuwa umeshindwa kuziona post kwa sababu ya utoro 😛😛[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️.
halafu ninaufahamu msimamo wako kuhusiana na going on drama ndio maana nimeshindwa kukulazimisha uitafute hii project.
inafanya vizuri sana kwa drama zinazoonyeshwa siku ya ijumaa, jumamosi na kwa mujibu wa takwimu wiki iliopita imeangaliwa nchini korea kwa asilimia 18.
kim nam gil amekutana na wajinga wenzake ni full vituko
Bro uko njema!Queen Seon Duk: Aisee we acha tu, yule binti alie mzalisha mtoto wa pili mke wa mfalme, binti anakipaji sijapata kuona. Binti amenifurahisha na kunikonga nyoyo yangu vile ipasavyo. Vile vituko vyake aisee nacheka mpaka basi tu.
MGC
Huyu ajussi jamani hadi leo naumia aiseehizi skendo zinazoibuliwa mara kwa mara nchini korea dhidi ya celebrities zinanifanya niogope kutoa hukumu kwa mzee wetu Assad lakini hata mimi nina imani mzee wetu ni mwenye matendo mema akiwa mbele ya camera na nyuma ya camera.
hivi uliwahi kudhani kama huyu mzee marehemu jo min ki atakuwa na tabia chafu?
kampeni ya me too ilipelekea mpaka ajitoe uhai wake
unaweza kukuta hata muandikaji wa hii comment ni shetani aliyevuka mipaka.
Haha kwenye emperor of the sea alikuwa na bonge la paraaView attachment 1066403huyu mzee katika muvi zote alizocheza akanikosha zaaidi ni kwenye Emperor of the Sea, kiukweli alikuwa ananikosha jinsi alivyokuwa anajua kuchangamkia fursa, but hata kichina chake kilinikosha alivyokuwa anaongea.
Kwenye Dong Yi sikumfaidi sana sababu alikufa mapeeeema kabisa mwa Tamthilia hiyo, na haielewekialikuwa mzuri or mbaya. But hizo zilizobakia huyu mzee ni Kauzu kweli kweli.
Hivi yule jamaa aliyecheza kwenye the Great King kama Genera FengBa hivi kuna tamthilia yoyote amewahi kucheza ni mwema?!View attachment 1066403
Si wadada tu hata wakaka alikuwa anawadhalilisha, kwa maneno lakiniyes alifariki machi 9/ 2018 siku chache kabla hajatakiwa kuhudhuria kituo cha polisi kwa mahojiano.
jamaa alipokuwa professor wa chuo kikuu alikuwa anawanyanyasa wasichana kingono.
I hope mimi hukuniblock maana nitakufungulia mashtaka kama ulifanya hivyohii laana ya thread hata mimi pia inaendelea kuniandama na kila ninapojaribu kuitelekeza huwa nashindwa, baadhi ya nyakati naweza kutafuta kisingizio chochote ili nisiweze kutembelea humu ndani lakini wapiiii naishia kuchukua wiki moja hadi mbili then narudi uchawini.
baadhi ya nyakati nikiwa likizoni nakutana na notification za wadau mbali mbali hivyo basi nashindwa kuwapuuzia,
baadhi ya nyakati naandika then nafuta, comment zangu nyingi za mwanzoni nimeshazifuta.
kali zaidi kuna siku nilikwishafikia maamuzi ya kuwablock baadhi ya wadau muhimu wanaotembelea hii thread, niliamini kufanya hivyo kutaniwezesha kutokuwa na mawazo ya kutembelea humu ndani, nikatafakari nikaona yatakuwa ni maamuzi ya kipumbavu zaidi ulimwenguni.
nilichojifunza ya kwamba ili niweze kuachana rasmi na ulimwengu wa korea ni lazima nipate starehe nyengine itakayoniburudisha zaidi, bahati mbaya kwa sasa sijakutana na starehe pendwa kama hiyo.
hivyo basi mkuu endelea kuwa mlevi wa hii thread mpaka mapafu yako yaharibike au peleka malalamiko JF uzi huu usiwe pinned.
yes alikuwa anawatishia, jasusi uchwara naona umerudi kazini usiku huu.Si wadada tu hata wakaka alikuwa anawadhalilisha, kwa maneno lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
siri yangu lakini nakumbuka wewe ulikuwa namba 3.I hope mimi hukuniblock maana nitakufungulia mashtaka kama ulifanya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
yes alikuwa anawatishia, jasusi uchwara naona umerudi kazini usiku huu.
nimeanza kukuogopa
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana sio kwa kushushuka huko, wadau wa huu uzi hatublokiwi wewesiri yangu lakini nakumbuka wewe ulikuwa namba 3.
kupatwa kwa siri
umeamua kunionea dada yangu, hivi aliyekwambia uangalie drama ndefu kama ukuta wa trump nani?[emoji23][emoji23] nimemaliza The Great Queen Seondeok, umeshindwa na roho yako mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
yes alikuwa anawatishia, jasusi uchwara naona umerudi kazini usiku huu.
nimeanza kukuogopa
dah! nimeihifadhi tokea jana usiku ilipowekwa kwenye mitandao lakini sijabahatika kuiangalia mpaka muda huu, nimedhamiria niziangalie episode zote mbili kwa pamoja labda kesho usiku inshaallah.Jamani jamani hii The Banker kiboko! Episode za jana (9&10) zimenitoa jasho. Hapa nazisubiri za leo zaidi ya mfanyakazi anavyosubiri mshahara, lol.