Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Vita ya Baba na Mwana, General Lee Seong gye Vs Grand General Choi Young.
Hii Drama ya Sambong japo vita hazijachorwa sana lakini zipo Quality, nadhani hili linachagizwa na Characters wa humo ndani wamecheza Historical drama nyingi za Kivita.
 
acronym hii ina maana gani
nikianza kutumia kwenye maandishi yangu sitopimwa oili chafu na vijana wa mjini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani we mtu unajua kunichekesha lol kupimwa oil chafu tena. Hiyo ni 'by the way'
 
🙌🙌🙌
nimesikia wenye mji wao wameshaandaa hotuba za kumpongeza bosi wako kwa mafanikio yake ya kuleta kimbunga.
btw hivi lee min ho umeshaachana naye?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] waache wampongeze ni wakati wake. Min Ho sijamuacha nashangaa unaleta habari yake hata hujantag sunbae hii tabia umeanza lini?
[emoji119][emoji119][emoji119]
nimesikia wenye mji wao wameshaandaa hotuba za kumpongeza bosi wako kwa mafanikio yake ya kuleta kimbunga.
btw hivi lee min ho umeshaachana naye?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] waache wampongeze ni wakati wake. Min Ho sijamuacha nashangaa unaleta habari yake hata hujantag sunbae hii tabia umeanza lini?
ubongo wangu umekuwa hauna tofauti na ubongo wa kuku, ukimkataza sekunde moja asile mtama anarudi tena pale pale.
wachumba zako wengine nimeshaanza kuwasahau, na wewe una vijana dume uchwara vingi kuliko degree za mugabe
 
Acha kuniharibia CV sunbae, wachumba niao wengi wako wapi?
 
kwenye TV unamiliki watatu
mtaani unamiliki watatu
JF unamiliki watatu
ofisini unamiliki watatu
sokoni unamiliki watatu
ibadani unamiliki watatu
unapoenda kuchota maji unamiliki watatu

takwimu hizi ni kwa mujibu wa aminas
sihusiki na takwimu hizi za IMF

na log out muda huu
replay yako nitakuja kuisoma baadae, nahofia itakusanya upepo wa kimbunga muda huu.
 
Mi Namsubiri Chang Wook Wangu Tuh Kwa Hamu Hasa!

Shalobalo Karudi Mjini Wadada Sasa Apo!
 
Mi Simoo...Sijasema Unataka Niuzia Kesi Eeeh!?
Ila Ukweli Anao Wengi Mi Siku Hizi Nimeacha Tu Kumuhesabia Na Kugombania!
 
utajuana na mwenye mbuzi, mimi nimeamua kuweka ulinzi kabla ya jua halijazama
 
Nb. MUN Haina Wachezaji!?

Nina Muda Sijaangalia Mech Ya Mun Mwanzo Mwisho Jana Ndo Nimeangalia Ni Ovyo Ovyo Wachezaji Ni Dhaifu Hasa..
 
naomba ufute neno dhaifu tafadhali. tumia neno mafala yaliokubuhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…