Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kwa mtazamo wangu the kings dream drama ipo reality zaidi ukilinganisha na queen seondeok.
"The female king failed to rule the country, therefore women should stop ruling"
bidam
alifikia hatua ya kupewa nyadhifa kubwa sana na malikia seondeok nyakati za mwisho za uhai wake lakini jamaa akataka kumpindua malikia seondeok.
kampeni yake ya kumpindua queen seondeok ilidumu kwa takribani siku kumi ndipo jamaa akafia mikononi mwa kim yusin
  • nadharia 1: inasemekana queen seondeok alifariki siku chache kabla ya bidam na waasi wenzake hawajadhibitiwa
  • nadharia 2: inasemekana queen seondeok alifariki siku mbili baada ya uasi kuanza.
  • Queen Jindeok ndiye aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa bidam na wenzake 30 pamoja na vizazi vyao
Nilibahatika kusoma pia hiki kijisehemu cha historia. Story ya Kim Chunchu na Yushin ilifurahisha sana ila kwenye drama haijaonyeshwa. Btw naomba kujua hili jina la Seondeok lilitokeaje maana mle ndani hadi anakufa alikuwa Deokman hivyo hivyo
 
umenipa kazi ngumu sana
  1. jumong
  2. dong yi
  3. flower in prison
  4. .................
4. I'm not a Robot
5. Hospital Ship
6. God of war
7. Empress Ki
8. East of Eden
9. Bad thief, Good thief
10. The Banker
11. The Great Queen Seon Duk
12. Gu Family Book
13. Gye Baek
14. .....................
 
  1. "If you capture the hearts of the people, the people obey you. But if you fail to win their hearts, they will indeed betray you".
  2. "We Can't Crack a Rock with an Egg,
  3. Yet It Is the Wind that Breaks Trees and the Waves that Carve Rocks."
  4. If you want to change the world, gain power first. If it could change because of you, this wouldn't be a turbulent age.”
  5. “Someone who thinks he can get a piece of a dumpling won't try to steal the plate.
Sambong amenikosha na msemo wake wa a good for nothing.
 
Hahahaa mbona kazeeka hivyo?

Wewe hapo unaangalia drama aliyoigiza miaka 10 iliyopita wakati akiwa na miaka 28, lazima uone kazeeka.
Ila kwangu mimi namuona yuko fresh sana, Bidam is phucking hot [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe hapo unaangalia drama aliyoigiza miaka 10 iliyopita wakati akiwa na miaka 28, lazima uone kazeeka.
Ila kwangu mimi namuona yuko fresh sana, Bidam is phucking hot [emoji23][emoji23][emoji23]
Ten years of challenge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.jumong
2.bridal mask
3 . slave hunter
4 . Iljimae
5. Gu family book
6. Arrow on the bow string
7. Warrior don su
8. 6 flying dragon
9. hiden root
10. Night of watch man
11. Shine or go crazy
12. Faith
13. Ruler
14. Gumiho
15.baikije
16. Crown Prince
17. Grand Prince
17. Empress ki
18. Bainite
19. Wharang
20. Black ninja
21. Moon lovers

Nyingine ntaandika baadae hizo zote nimeziona mwanzo hadi mwisho bila kuruka episode hata moja

Mmmh, hebu tutajie ulizoona
 
umenipa kazi ngumu sana
  1. jumong
  2. dong yi
  3. flower in prison
  4. .................
Mambo Ni Mengi Sana Aise! Tokea Jewel In The Palace Mpaka Jumong Mpaka Queen Seon-Deok Mpaka Empress Ki Na Mpaka Hapa Walipofikia Nadhani MBC Wanastahili Sifa Kutokana Na Projects Zao Kali Sana Za 'Sageuks'.

Hiyo Flower In Prison Ni Drama Ya Ukweli Sana Ingawa Nadhani Imekuwa 'Underrated' Kwa Kiasi Fulani. Story Yake Kuna Baadhi Ya Sehemu Inashabihiana Kwa Kiasi Fulani Na Dong Yi, Hasa Pale Bi Ok-Nyeo Alipokuwa 'Akizurula' Na Mfalme Katika Masoko Na Migahawa Mbalimbali Ndani Ya Mji Bila Kujua Kuwa Ni Mfalme.
 
Ya kimjini dear.
Moja kati ya vitu ninavyopendea ktk drama za Kikorea ni fashion.
Sasa hii mpya ndio napata burudani isiyo kifani.

Hivi Damushin yule jamaa mwenye bob hair ulimuonaje na nguo zake zile?
Hii drama imejua kunichekesha haki!
nimependa kila kitu kinachomuhusu jang ryong mule ndani, vile anapokutana na song sac mbavu zangu hujisikia furaha.
nimeangalia profile yake nimeshangaa kukuta jamaa ameshiriki project moja tu.
niliwahi kuuliza humu ndani inakuwaje wababe wa korea wanavaa suti na mashati ya rangi nyingi kama kinyonga?
halafu shati aliyofaa pichani haina tofauti na ya sinbunim (hae il)
1079609
 
Nilibahatika kusoma pia hiki kijisehemu cha historia. Story ya Kim Chunchu na Yushin ilifurahisha sana ila kwenye drama haijaonyeshwa. Btw naomba kujua hili jina la Seondeok lilitokeaje maana mle ndani hadi anakufa alikuwa Deokman hivyo hivyo
kwa uoni wangu nadhani ni majina ya heshima waliokuwa wakipewa watawala, baadhi ya nyakati walipewa majina kutokana na matukio waliokuwa wakiyafanya nyakati za utawala wao.
 
1.jumong
2.bridal mask
3 . slave hunter
4 . Iljimae
5. Gu family book
6. Arrow on the bow string
7. Warrior don su
8. 6 flying dragon
9. hiden root
10. Night of watch man
11. Shine or go crazy
12. Faith
13. Ruler
14. Gumiho
15.baikije
16. Crown Prince
17. Grand Prince
17. Empress ki
18. Bainite
19. Wharang
20. Black ninja
21. Moon lovers

Nyingine ntaandika baadae hizo zote nimeziona mwanzo hadi mwisho bila kuruka episode hata moja
kadri unavyoendelea kunywa ndipo unazidi kuiongezea serikali kipato kupitia kikokotoo cha kodi, usawa huu wa IMF watu kama nyinyi ndio munaotafutwa zaidi na serikali ili uchumi uweze kupanda mpaka 18% kama VAT.
 
Ooh ahsante
kwa uoni wangu nadhani ni majina ya heshima waliokuwa wakipewa watawala, baadhi ya nyakati walipewa majina kutokana na matukio waliokuwa wakiyafanya nyakati za utawala wao.

jumong = dongmyeong
damdeok = gwanggaeto
muhyul = daemusin
kim chunchu = taejo muyeol
yi do = sejong
yi bangwon = taejong
yi yeon = seonjo
yi seong gye = taejo
wang guhn = taejo
wang so = gwangjong
.................................
................................
 
Naombeni list ya series kali za kikorea zenye theme ya porini/kifalme. Ziwe za recently atleast mwaka 1 ulopita.

Hii game of thrones ni uharo mtupu nmeamua kuitupilia mbali.
 
Naombeni list ya series kali za kikorea zenye theme ya porini/kifalme. Ziwe za recently atleast mwaka 1 ulopita.

Hii game of thrones ni uharo mtupu nmeamua kuitupilia mbali.
Kweli ata mimi hizo ndiyo zangu, style ya Jumong. Wajuzi tuleteeni list ata ikiwa ya kitambo ila ziwe kali.
 
nimependa kila kitu kinachomuhusu jang ryong mule ndani, vile anapokutana na song sac mbavu zangu hujisikia furaha.
nimeangalia profile yake nimeshangaa kukuta jamaa ameshiriki project moja tu.
niliwahi kuuliza humu ndani inakuwaje wababe wa korea wanavaa suti na mashati ya rangi nyingi kama kinyonga?
halafu shati aliyofaa pichani haina tofauti na ya sinbunim (hae il)

Nilisema juzi kingine kinachonivutia ktk drama hizi za Kikorea ni fashion. Ona jamaa alivyotisha hapo, shati la ukweli halafu mkali Hae Il ndio alikuwa anatupia pigo hizo drama nzima.
Tena naona mavazi ya U-Priest yamempendeza sana Nam Gil. Kuna wakati alikuwa akivaa casual sifurahi [emoji38][emoji38]

Tofauti na Hae Il cast mwingine aliyenivutia kule ni hip hop girl Detective Seo, nakapenda mnooooo. Yani kale kasichana nimekapenda mpaka basi.
Kachangamfu, kacheshi natamani afike mbali kwenye career yake.

Lile genge la Mrussia na wenzie kwenye final episode nimechekaaaaaa! Pale walipokuwa wamejibana kwenye pango [emoji38][emoji38][emoji38]
Hii drama ni kali mno, siwezi kusubiri season 2.
 
1079979

Park Yoochun

Kutokana Na Ile 'Scandal' Yake Ya Madawa Ya Kulevya, Vipimo Kutoka Maabara Vimethibitisha Hilo Na Vimeonesha Uwepo Wa 'Kemikali' Ijulikanayo Kama 'Philopon' Katika Sampuli Ya Nywele Za Jamaa Na Hivyo Basi Imemlazimu Kutangaza Rasmi 'Kutundika Daluga' Ama Kustaafu Kutoka Katika Tasnia Ya Burudani. Atakumbukwa Katika Projects Kama Vile Rooftop Prince, Sungkyunkwan Scandal n.k.
 
Shikamoo MBC,kumbe nimetazama drama zenu nyingi bila kujua.

Moja kati ya Drama ambayo huwa sichoki kuirudiarudia ni hii hapa( Kim Suro)
Inamuelezea Kim Suro ambaye ni mwanzilishi wa Taifa la Gaya.
Pia huyu ndiye Mwanzilishi wa ukoo wa "KIM"
images.jpeg
 
1080142
R3

Sherehe zilizofanyika huko kwenye Jumba la Kifalme la Gaya.
Pichani ni Mfalme Kim Suro na Malkia Heo Hwang Ok au Surritiana ambaye pia alikuwa Princess katika Nchi ya Adhiiya Huko India.
 
Back
Top Bottom