Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Pole, Upate Nafuu InshaAllah

Nikajua Ushapona
nimeanza mazoezi lakini sitaki kuyatesa macho kwa kiwango kikubwa, maybe jumamosi nitakusanya viporo vyote kuanzia final episode ya the fiery priest
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah hao wa ibadani , sokoni, kazini sijui bombani wapenyeze hapo kwenye TV na Jf. Usimuuzie kesi aminas hizo takwimu umeingia jikoni mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah hao wa ibadani , sokoni, kazini sijui bombani wapenyeze hapo kwenye TV na Jf. Usimuuzie kesi aminas hizo takwimu umeingia jikoni mwenyewe
nilijua hutoniamini lakini sawa.
nimeshanuna.
mimi nipo upande wa pili wa muungano sasa nimejuaje takwimu za IMF wakati wizara yangu ya fedha haitambulikani?
 
Sunbae usinune jamani basi tufanye data zako ni za twaweza sio za IMF
nilijua hutoniamini lakini sawa.
nimeshanuna.
mimi nipo upande wa pili wa muungano sasa nimejuaje takwimu za IMF wakati wizara yangu ya fedha haitambulikani?
 
ahsante sana kwa kunipandisha kiwango.
Twaweza si ndio walikuja na utafiti wa 1:4.
kila watu wanne mmoja na kichaa.

rais + makamo + waziri mkuu + spika = mmoja ni kichaa
Khaa mimi simo, nakwambia mimi simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…