Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu endelea kuangalia utauona moto wake ni balaa
baadae ya yule dogo kutoka na kuingia yule jamaa kama gangmo nimeboleka sana sizan jamaa atafanya vzur kama gangmo.... naona hanishawish kabiisa
 
T
wadau mbona kimya saaana humu
my favorite series hadi sasa
slave hunter
tree with deep root
the merchant gaekju
land of wind
jackpot

hatari hatari hizoo
Tree with deep root story yake ni muendelezo wa SIX FLYING DRAGONS
 
Kwenye six flying dragon nilisikitika sana sambog alipouwawa, Ni stor lkn jamaa nilimkubali sana
 
baadae ya yule dogo kutoka na kuingia yule jamaa kama gangmo nimeboleka sana sizan jamaa atafanya vzur kama gangmo.... naona hanishawish kabiisa
Unaongelea tamthilia ipi?
 
Hiyo dr jin hapana ila kwa alie iona ingekuwa vzur angetupa mwongozo jinsi ilvyo ya vitu kama martial arts
 
six flying dragon hyo bado ila baada ya kuimaliza hii flower in prison nahis ntaanza na hyo
 
jamani nimeona series nyingi lakini hii ya king gwangaeto co mchezo kama hujaicheki kaitupie jicho humo kuna vichwa vimevurugwa wahusika wengine ni wale wa kwenye jumong, hii kitu ni balaa wakuu.
 
three kingdom nzuri
nampenda teacher
cao cao simpendi[emoji24][emoji24]
namkubali sana yule zilong zou general na lord wake, liu bei
nmeiangalia mpaka ep55
sijapata mwendelezo..
sound track yao nzuri pia
Correction My Dear. Three Kingdoms Era Zipo Za China Na Korea Nahisi Umechanganya Kidogo. Za China Ambayo Ndo Zinahusisha Tamthilia Unayoongea. Kingdoms Izo Zilikua Ni Wei,Shu Na Wu Ambazo Zote Zilikua Zinatamba Kusema Ndo Mrithi Wa Han Dynasty Ambayo Kama Uliangalia Jumong Ndio Ilikua Inawatesa.
Three Kingdoms Anayoiongelea Bro Hapo Ni Ya Korea. Silla,Baekje And My Favourite Goguryeo.
A Lil Bit Of History If You Are Interested.
Regards!
 
Alafu Mnaolalamika Sambong Kuuaw Mnajua History Hata Kidogo? He Was Killed By Second King Of Joseon YI/LEE BANG WON. Mlitaka Aendelee Kuishi Wakati History Iko Straight...
Research A Little So Msipatwe Na Feelings Zingine Unreasonable.
 
Mkuu hapo nimeangalia katika six flying dragons namna alivyouawa Sambong. Lakini bado sijapata kisa haswa maana zile episodes za mwisho sikupata zilizo Na sub titles hivyo nilikuwa naangalia tu bila kuelewa lugha.!
 
Kim_Sang-Ho.jpg
Kim_Sang-Ho.jpg
 
series ambazo huyo mzee yupo naomba mzidondoshe humu kama vile kingdom of wind akijulikana kama boss stering muyool almahalufu kama jumong
 
Back
Top Bottom