Zote zipo vizuri sana zina historia nzuri na hasa nimependa kuona vita vimetawala, fitna na usaliti. Kwa mimi ambae nipo biased na series ambazo superheroes (staring) wanaonewa sana nimependa Gwanggaetto. Kwenye Dae Jo Young WaGoguryeo wameonewa sana usaliti ulikuwa mwingi, mfalme mzembe, halafu ma general wengi walikufa walikosa watu wenye akili mpaka walivyokuja kumpata Mimosa kidogo ikawa nzuri lakini ni nzuri kuangalia.Upi moto wa kuotea mbali kati ya hizo mbili? Mi nimetizama King Gwangaetto pekee nataka kushuka na Dae Jo Yeong baada ya kuisaka kwa mda mrefu sana bila mafanikio.
Zote zipo vizuri sana zina historia nzuri na hasa nimependa kuona vita vimetawala, fitna na usaliti. Kwa mimi ambae nipo biased na series ambazo superheroes (staring) wanaonewa sana nimependa Gwanggaetto. Kwenye Dae Jo Young WaGoguryeo wameonewa sana usaliti ulikuwa mwingi, mfalme mzembe, halafu ma general wengi walikufa walikosa watu wenye akili mpaka walivyokuja kumpata Mimosa kidogo ikawa nzuri lakini ni nzuri kuangalia.
Haja kosea ndio hivyo. Inaelezea jinsi Goguryeo ilivyoangushwa na Tang Chinese wakisaidiana na Khitans pamoja na shilla. Hivyo Dae Jo young akairudisha na kuleta new kingdom "Balhae". Mkuu unaposikia Anguko la Goguryeo ni Anguko kweli walipigwa Vizuri hadi Palace ikawa majivu.Kuna jamaa aliwahi nigusia kuwa hiyo drama inaelezea anguko la Goguryeo kisha huyo Dae Jo Yeong na kikundi chake ndio wakaleta heshima tena ndani ya Goguryeo. Kwako vipi kuna maoni tofauti?
Haja kosea ndio hivyo. Inaelezea jinsi Goguryeo ilivyoangushwa na Tang Chinese wakisaidiana na Khitans pamoja na shilla. Hivyo Dae Jo young akairudisha na kuleta new kingdom "Balhae". Mkuu unaposikia Anguko la Goguryeo ni Anguko kweli walipigwa Vizuri hadi Palace ikawa majivu.
Six Flying Dragon, inamuelezea zaidi Yi bangwon pia matukio mengine na washiriki wameongezwa na Director ili anogeshe kazi yake. Lakini huku kwenye Jeong Do Jeon mambo yanakwenda kama yalivyo kwenye vitabu, pia Sambong(Jeong Do-Jeon) ndiye muhusika mkuu, Yi bangwon anaanza kuonekana sehemu ya 13, yes he's good pia.Jeong Do jeon hivi ni nzuri Kama six flying dragons?? Maana nnmependa uhusika wa le bang won na tecnics zake kwenye six flying dragons sijui huko km kawapotrayed fresh
Duh! Hatari sana. Asingeandika hiyo "Goodbye" sijui ni nani angejua yupo kwenye hatari!Goo Hara Reported To Be Safe After Alleged Suicide Attempt
On May 26, YTN reported that Goo Hara attempted suicide in a room on the second floor of her house in Cheongdam neighborhood, Seoul.
On the previous night, she posted an image with the word “Goodbye” on her Instagram, leading her manager to be concerned about her safety and contact her. Goo Hara did not pick up, and her manager rushed to her house to find her unconscious in a room filled with smoke.
Her manager quickly put out the source of the smoke and called the 119 Rescue Center at approximately 12:40 a.m. KST. Goo Hara was then moved to a hospital.
According to Yonhap News, Goo Hara remains unconscious as of 11:30 a.m. KST, but her breathing and pulse are normal.
View attachment 1107923
tafadhali bidada wewe endelea kuwa hai kwa kupigana bila ya kuchoka huku ukimuomba unayemuabudu haijalishi ni nyoka akusaidie kwa ajili ya kuyaondoa matatizo yanayokukabili, kifo hakijawahi kuwa solution ya kusolve matatizo bali kifo cha kujitakia ni chanzo kikubwa cha kuwaachia maumivu watu wako wa karibu kwa kushindwa kwao kufahamu kipi kinamtatiza mwanafamilia mwenzao.
be healthy.
teh teh teh mtihani mzitoDae jo young hii drama ni moto aise utamu wake sijawahii pata leo nimelalaa 4asubuhi tangia jana saa mbili asubuhi
bahati yake, Mungu ameamua kuendelea kumpa nafasi ya kuishiDuh! Hatari sana. Asingeandika hiyo "Goodbye" sijui ni nani angejua yupo kwenye hatari!
Yanii hapa ndo naindeleza tena tukutane lunch time byeeeeteh teh teh mtihani mzito
Naungana na ww,Dae jo young hii drama ni moto aise utamu wake sijawahii pata leo nimelalaa 4asubuhi tangia jana saa mbili asubuhi
Kang Ha Neul Discharged From Military
after successfully completing his mandatory military service and being discharged from the Gyeryongdae Service Support Corps in Daejeon, the actor greeted both fans and reporters as a civilian.
“This is my first time being discharged, so I don’t know what to say. I’m grateful that so many people have come to see me.” He added, “I’m embarrassed, but I’m also happy.”
When asked about his experience in the military, Kang Ha Neul commented, “I really learned a lot, and it was a very happy time for me. Lots of things happened, and I studied a lot and read a lot of books. I think it was a really meaningful two years.”
View attachment 1107471
He added, “Thank you so much to everyone who waited for me.”
na huyu wa kwako?Karibu uraiani oppa.
Hahaha hapana huyu sio, halafu nimegundua sio oppa huyuna huyu wa kwako?
hivi una laini ngapi za simu unazotumia kwa ajili ya kufanya mazungumzo na wachumba zako.
usiniambie kila mchumba na laini yake
View attachment 1110329
pole sana kwa hii aibu iliokukuta mchana wa leo, umejaza viserengeti boyi kiasi ambacho wengine umeshawasahau utadhani wachumba zako wote ni identical twin.Hahaha hapana huyu sio, halafu nimegundua sio oppa huyu