Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Upi moto wa kuotea mbali kati ya hizo mbili? Mi nimetizama King Gwangaetto pekee nataka kushuka na Dae Jo Yeong baada ya kuisaka kwa mda mrefu sana bila mafanikio.
Zote zipo vizuri sana zina historia nzuri na hasa nimependa kuona vita vimetawala, fitna na usaliti. Kwa mimi ambae nipo biased na series ambazo superheroes (staring) wanaonewa sana nimependa Gwanggaetto. Kwenye Dae Jo Young WaGoguryeo wameonewa sana usaliti ulikuwa mwingi, mfalme mzembe, halafu ma general wengi walikufa walikosa watu wenye akili mpaka walivyokuja kumpata Mimosa kidogo ikawa nzuri lakini ni nzuri kuangalia.
 
Kuna jamaa aliwahi nigusia kuwa hiyo drama inaelezea anguko la Goguryeo kisha huyo Dae Jo Yeong na kikundi chake ndio wakaleta heshima tena ndani ya Goguryeo. Kwako vipi kuna maoni tofauti?

Haja kosea ndio hivyo. Inaelezea jinsi Goguryeo ilivyoangushwa na Tang Chinese wakisaidiana na Khitans pamoja na shilla. Hivyo Dae Jo young akairudisha na kuleta new kingdom "Balhae". Mkuu unaposikia Anguko la Goguryeo ni Anguko kweli walipigwa Vizuri hadi Palace ikawa majivu.
 
SHINee’s Minho Looks Fierce In New Official Photos From Military Training
the official Marine Corps blog “Fly Marine Boy” released photos of the rookies receiving training at the education center.
In the photos, Minho looks focused as he undergoes training with other new recruits. During his third week of training, Minho learned how to wear a gas mask for chemical, biological, and radiological training.
1107449

Sporting his short hairstyle, the singer-actor appears determined as he jumps off of a 10 meter (approximately 32.8 feet) platform and runs while wearing military gear. Minho has completed about a month of training so far and has two more weeks to go.

Minho enlisted in the Marine Corps on April 15 and will be discharged on November 15, 2020.
1107447
 
Kang Ha Neul Discharged From Military
after successfully completing his mandatory military service and being discharged from the Gyeryongdae Service Support Corps in Daejeon, the actor greeted both fans and reporters as a civilian.

“This is my first time being discharged, so I don’t know what to say. I’m grateful that so many people have come to see me.” He added, “I’m embarrassed, but I’m also happy.”

When asked about his experience in the military, Kang Ha Neul commented, “I really learned a lot, and it was a very happy time for me. Lots of things happened, and I studied a lot and read a lot of books. I think it was a really meaningful two years.”
1107471

He added, “Thank you so much to everyone who waited for me.”
 
Naam hii drama niliisaka sana nikaishia kucheki vipande vyake tu huko YouTube. Shukrani kwa kuleta link yake, ngoja nianze kuishusha mdogo mdogo.
Haja kosea ndio hivyo. Inaelezea jinsi Goguryeo ilivyoangushwa na Tang Chinese wakisaidiana na Khitans pamoja na shilla. Hivyo Dae Jo young akairudisha na kuleta new kingdom "Balhae". Mkuu unaposikia Anguko la Goguryeo ni Anguko kweli walipigwa Vizuri hadi Palace ikawa majivu.
 
Goo Hara Reported To Be Safe After Alleged Suicide Attempt
On May 26, YTN reported that Goo Hara attempted suicide in a room on the second floor of her house in Cheongdam neighborhood, Seoul.

On the previous night, she posted an image with the word “Goodbye” on her Instagram, leading her manager to be concerned about her safety and contact her. Goo Hara did not pick up, and her manager rushed to her house to find her unconscious in a room filled with smoke.

Her manager quickly put out the source of the smoke and called the 119 Rescue Center at approximately 12:40 a.m. KST. Goo Hara was then moved to a hospital.
According to Yonhap News, Goo Hara remains unconscious as of 11:30 a.m. KST, but her breathing and pulse are normal.
1107923

tafadhali bidada wewe endelea kuwa hai kwa kupigana bila ya kuchoka huku ukimuomba unayemuabudu haijalishi ni nyoka akusaidie kwa ajili ya kuyaondoa matatizo yanayokukabili, kifo hakijawahi kuwa solution ya kusolve matatizo bali kifo cha kujitakia ni chanzo kikubwa cha kuwaachia maumivu watu wako wa karibu kwa kushindwa kwao kufahamu kipi kinamtatiza mwanafamilia mwenzao.
be healthy.

Jeong Do jeon hivi ni nzuri Kama six flying dragons?? Maana nnmependa uhusika wa le bang won na tecnics zake kwenye six flying dragons sijui huko km kawapotrayed fresh
 
Six Flying Dragon, inamuelezea zaidi Yi bangwon pia matukio mengine na washiriki wameongezwa na Director ili anogeshe kazi yake. Lakini huku kwenye Jeong Do Jeon mambo yanakwenda kama yalivyo kwenye vitabu, pia Sambong(Jeong Do-Jeon) ndiye muhusika mkuu, Yi bangwon anaanza kuonekana sehemu ya 13, yes he's good pia.
But hata Lee songgye wa Jeong Do-Jeon yupo vizuri kuliko wa six Flying Dragon, kifupi Jeong Do-Jeon ipo vizuri mno kuliko six Flying Dragon.
 
Goo Hara Reported To Be Safe After Alleged Suicide Attempt
On May 26, YTN reported that Goo Hara attempted suicide in a room on the second floor of her house in Cheongdam neighborhood, Seoul.

On the previous night, she posted an image with the word “Goodbye” on her Instagram, leading her manager to be concerned about her safety and contact her. Goo Hara did not pick up, and her manager rushed to her house to find her unconscious in a room filled with smoke.

Her manager quickly put out the source of the smoke and called the 119 Rescue Center at approximately 12:40 a.m. KST. Goo Hara was then moved to a hospital.
According to Yonhap News, Goo Hara remains unconscious as of 11:30 a.m. KST, but her breathing and pulse are normal.
View attachment 1107923

tafadhali bidada wewe endelea kuwa hai kwa kupigana bila ya kuchoka huku ukimuomba unayemuabudu haijalishi ni nyoka akusaidie kwa ajili ya kuyaondoa matatizo yanayokukabili, kifo hakijawahi kuwa solution ya kusolve matatizo bali kifo cha kujitakia ni chanzo kikubwa cha kuwaachia maumivu watu wako wa karibu kwa kushindwa kwao kufahamu kipi kinamtatiza mwanafamilia mwenzao.
be healthy.

Duh! Hatari sana. Asingeandika hiyo "Goodbye" sijui ni nani angejua yupo kwenye hatari!
 
Karibu uraiani oppa.
Kang Ha Neul Discharged From Military
after successfully completing his mandatory military service and being discharged from the Gyeryongdae Service Support Corps in Daejeon, the actor greeted both fans and reporters as a civilian.

“This is my first time being discharged, so I don’t know what to say. I’m grateful that so many people have come to see me.” He added, “I’m embarrassed, but I’m also happy.”

When asked about his experience in the military, Kang Ha Neul commented, “I really learned a lot, and it was a very happy time for me. Lots of things happened, and I studied a lot and read a lot of books. I think it was a really meaningful two years.”
View attachment 1107471
He added, “Thank you so much to everyone who waited for me.”
 
Hahaha hapana huyu sio, halafu nimegundua sio oppa huyu
pole sana kwa hii aibu iliokukuta mchana wa leo, umejaza viserengeti boyi kiasi ambacho wengine umeshawasahau utadhani wachumba zako wote ni identical twin.
nakuonea huruma dada yangu, kuna siku wataamua kujikusanya kwa pamoja then waje nyumbani kwenu wakuulize
hivi unampenda nani kati yetu?
umeamua kutufanya sisi mafala kwa kutudanganya kwa nyakati tofauti..
leo utatoa tu ukitaka usitake (nimekusudia jawabu)
 
Back
Top Bottom