Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Baba ana tamaa yule ila sijaimalizia kila nikipata chance naangalia episode moja moja,ipo vizuri na nimependa ina ka scene kangu pendwa
😛 😛 😛 kila la kheri na ka scene chako pendwa.
halafu yule ahjussi nishaangalia drama zake mbili za historical na zote ameigiza uhusika wa kupenda totoz.

gu family book baadae alikutana na dhoruba ya mzimu kang chil
1111081
 
Weka ushabiki pembeni yupi ni mkali na drama za nani kali kati ya Choi soo jong Vs Song il gook
Choi soo jong:
Dae Joyong
King's Dream of Empire
Emperor of Sea
Taejo Wang(Emperor Wang)

Legend of Patriots
Imjin War 1592
The President n.k

Song il Gook:
Legend of Prince(Jumong)
A man called god
Lobbyist

Kingdom of the wind
Jang Yeong sil
Detective trouble n.k

Kazi ni kwako.

View attachment 1111077View attachment 1111078
Wote wakali ila choi soo jong hua namuelewa zaidi!!!
 
Weka ushabiki pembeni yupi ni mkali na drama za nani kali kati ya Choi soo jong Vs Song il gook
Choi soo jong:
Dae Joyong
King's Dream of Empire
Emperor of Sea
Taejo Wang(Emperor Wang)

Legend of Patriots
Imjin War 1592
The President n.k

Song il Gook:
Legend of Prince(Jumong)
A man called god
Lobbyist

Kingdom of the wind
Jang Yeong sil
Detective trouble n.k

Kazi ni kwako.

View attachment 1111077View attachment 1111078
unazikumbuka zile ngumi za utotoni?
utamsikia mmoja anamwambia mwenzake "nianze basi kama mbabe"

hivyo basi na hapa anza wewe kujenga hoja zako yupi ni bora kwa uoni wako, hata ukirusha ngumi za uso sisi tutavumilia bwanaaa
 
Hahah kasema tuweke ushabiki pembeni ati
 
unazikumbuka zile ngumi za utotoni?
utamsikia mmoja anamwambia mwenzake "nianze basi kama mbabe"

hivyo basi na hapa anza wewe kujenga hoja zako yupi ni bora kwa uoni wako, hata ukirusha ngumi za uso sisi tutavumilia bwanaaa
Nitakuja na majibu baadaye, wacha niwafanyie upembuzi yakinifu, maana hawa jamaa ni kama mzani umelingana.
I'm looking for the weakness point.
 
Mimi sina uzoefu na series za kikorea kama kuna mtu alishaiangalia series ya Baekje anijuze kama Jang alifanikiwa kwenye harakati zake za crown prince
 
inaitwa ballad of seo dong or song of prince drama na si baekje drama.
i
naonekana unaiangalia hii drama kwa njia ya kutafsiriwa kwa kiswahili
sijawahi kuiangalia hii drama lakini kwa mujibu wa asian wiki baadae anakuja kuwa mfalme wa 30 wa taifa la baekje na alipewa jina la king moo.​
 
Hiyo hiyo mkuu kama ni hivyo basi naendelea kuitazama maana nimiipenda sana kupita maelezo
inaitwa ballad of seo dong or song of prince drama na si baekje drama.
i
naonekana unaiangalia hii drama kwa njia ya kutafsiriwa kwa kiswahili
sijawahi kuiangalia hii drama lakini kwa mujibu wa asian wiki baadae anakuja kuwa mfalme wa 30 wa taifa la baekje na alipewa jina la king moo.​

View attachment 1111100
 
Back
Top Bottom