Nimeangalia Episode 1 Nasubir Kuangalia Episode 2 Nikipata Wasaa, Ila Ukweli Watu Wanaiponda Sana.. Japo Kwangu Episode 1 Ni Nzuri Tu...upo sahihi shin hye sun yupo vizuri sana.
mwaka huu kidogo KBS wamerudisha ubora wao wa kutengeneza project zenye muelekeo mzuri.
arthdal chronicles unaifuatilia?
umechukua likizo mwezi mzima kwa nini upande wangu iwe vibaya?Kisa Chakutoweka Ni Nini!??
Wa Nane!? 😳
Sijaridhika!
Ninachoipendea 1 Spring Night Ni Vile Wanavyotuonyesha ni Jinsi Gani Watu Wanahangaika Kumuacha Mtu Ulokua Nae Kwa Muda Mrefu Japo Mapesi Yashaisha Siku Mingi!upo sahihi shin hye sun yupo vizuri sana.
mwaka huu kidogo KBS wamerudisha ubora wao wa kutengeneza project zenye muelekeo mzuri.
arthdal chronicles unaifuatilia?
Jamaniii 😔...Mi Sababu Ya Swaum Ndomna Nikapotea!umechukua likizo mwezi mzima kwa nini upande wangu iwe vibaya?
korean drama zinaelekea kunipotezea dira ya maisha yangu, nimeshakuwa addicted mpaka najionea aibu.
ndio maana nimepunguza dozi mwaka huu.
nimeanza kupunguza dozi ya kutembelea media zinazo ripoti korean entertainment.
kuna mwanadamu fulani alinambia siwezi kubadilika, kauli kama hizo nazichukulia ni kauli za kumkatisha adui yako tamaa.
nataka nijaribu kama naweza kuachana na ulevi wa thread hii.
pole sanaNinachoipendea 1 Spring Night Ni Vile Wanavyotuonyesha ni Jinsi Gani Watu Wanahangaika Kumuacha Mtu Ulokua Nae Kwa Muda Mrefu Japo Mapesi Yashaisha Siku Mingi!
Yaani Yule Dada Naenda Nae Maumivu Anayopitia (Kimaigizo) Naenda Nae Kabisaa..
Ila Mule Ndani Napo Muna Hisia Sana Lol!
mhhhhh hapanaJamaniii 😔...Mi Sababu Ya Swaum Ndomna Nikapotea!
Huyo Alokuambia Ivyo Niii Wiii...
Kupunguza Ni Sahihi Kabisaa Kabisaa Apo Wala Hatukinzani!
Ila Siyo Kupotea Umu Eti!?
EMPEROR WANG GUHN DRAMA
imenichukua miaka takribani mitatu kuiangalia hii drama and finally usiku wa jana nimeimaliza, drama kama hizi zinaangaliwa zaidi na wale binadamu wabishi, watemi na vichwa maji kama damushin ambao kwa kiasi kikubwa muda wao mkubwa huutumia kwa ajili ya kuangalia televisheni kuliko kufanya kazi mpaka anayaletea athari macho yake aliyopewa na muweza wa yote ulimwenguni.
jumla ya episode 200 na kila episode inachukua wastani wa dakika 48- 53, kilichonivutia ni kwamba 85% ya matukio yalioigizwa humu ndani yamerikodiwa kwenye vitabu vya historia na kwa kuwa washindi walikuwa ni goryeo basi kivyovyote maandishi ya kihistoria yaliorekodiwa yatakuwa upande wa kuisifu Goryeo.
Neno goryeo(koryeo) ndio msingi wa neno korea.
maisha ya emperor wang guhn na baadhi ya watoto wake pia yameelezewa kupitia drama zifuatazo
- wang gun amezaliwa na kufariki (31 January 877 – 4 July 943)
- ni mzaliwa wa shilla lakini chimbuko la ukoo wao ni watu kutoka goguryeo ya zamani, ukoo wao ulikuwa na heshima kubwa sana na utajiri uliotokana zaidi na biashara walizokuwa wakizifanya kwa njia ya bahari.
- kwa mujibu wa drama na maandishi ya kihistoria aliwahi kuwepo muhadhiri wa imani ya buddhism aliyeitwa dosun ambaye aliwahi kutabiri ya kwamba wang guhn atakuja kuwa mtawala mwenye nguvu kwenye hizi nchi tatu za baadae (laer goryeo+ later baekje +shilla)
- wang guhn alitawala goryeo kwa miaka 25,ndipo madaraka yake yakarithiwa na mtoto wake wa kwanza ambaye ni wang mu lakini alifariki baada ya miaka miwili ya kuwa madarakani
- wang guhn alioa wanawake takribani 30, kwa kiasi kikubwa alifunga ndoa zaidi za kisiasa kwa dhumuni la kuunganisha damu dhidi ya koo tofauti ambazo ziliamua kujisalimisha kwa wang guhn.
- upande wa pili alikuwepo jamaa anayeitwa gong ye ambaye alizaliwa na mfalme wa shilla lakini kupitia kwa mwanamama amabye ni concubine, huyu jamaa alikutana na mitihani mingi sana uddogoni mwake alipokuwa shilla ikiwemo kupoteza jicho lake na alishuhudia kifo cha mama yake jambo lililopelekea aikimbie nchi yake na kuwa MONK.
- Gong yae baadae alipata nguvu kubwa sana na kufanikiwa kuanzisha taifa lake ni kulipa jina la Taebong, ukoo wa wang guhn waliamua kujisalimisha kwa gong yae na hatimaye akapewa cheo cha general, mfalme gong yae alivutiwa sana na wang guhn kiasi ambacho alifikia hatua ya kumtangaza wang guhn kama ni mdogo wake.
- miaka ilizidi kusogea huyu jamaa akawa na chembe chembe za kidikteta, miongoni mwa vitendo vyake vya ovyo ni kuisambaratisha familia yake mbele ya hadhara, baadae gong yae akamua kulibadilisha jina la taifa lake kutoka Taebong kuelekea Majin.
- mwaka 918 takribani wanajeshi wanne wenye nguvu nchini Taebong waliamua kumfuata wang guhn nyumbani kwake kwa dhumuni la kumshauri ashiriki kwenye kampeni yao ya kutaka kumpindua mfalme gong yae ambaye alikwisha vuka mipaka kwa matendo yake maovu, wang guhn alikataa mpango huo lakini baadae baada ya kubembelezwa na mke wake hatimaye akaongoza kampeni ya kumuondoa madarakani mfalme gong yae kwa njia ya mapinduzi.
- mfalme gong yae aliuawa pamoja na wafuasi wake na hatimaye wang guhn akabeba ufalme na kutangaza rasmi utawala wa goryeo(goguryeo mpya).
- alikuwepo general aliyeitwa kyu hwon kutoka shilla, huyu general nayeye alifanya mapinduzi kwa kuivamia shilla maeneo ya mujinju na hatimaye baadae akaanzisha taifa lake ambalo ni HUBAEKJE ( baekje mpya)
- wenye lugha yao wanadai ya kwamba kama utashindwa kuiongoza familia yako haijalishi wewe ni shujaa unayeogopeka basi pia utashindwa kuiongoza tawala yako kwa amani na ndicho kilichomkuta huyu mfalme.
- alitokezea kumpenda sana sana mtoto wake wa mwisho huku akimchukia mnoo mtoto wake wa mwanzoni kupitia kwa mke wa mwanzoni, jamaa aliipa mafanikio makubwa sana hubaekje ikiwemo kampeni yake ya kuivamia shilla na kumuua mfalme wa shilla huku akimweka mfalme mwengine aliyekuwa akiendana na maamuzi yake lakini vita ya familia ilipelekea anguko la nchi yake.
- mtoto wake wa kwanza aliitwa shin guhm ambaye aliamua kufanya mapinduzi kwa kumuondoa madarakani baba yake na pia aliamua kumuua ndugu yake wa kambo aliyeitwa keum gang na hatimaye akawa mfalme wa pili baekje.
- kyu hwon hatimaye akaamua kukimbilia goryeo ili apate hifadhi kutoka kwa wang guhn ambaye ni adui wake wa muda mfrefu ambaye wameshakutana mara kwa mara vitani, mzee aliona ni bora ajisalimishe kwa wang guhn kuliko kumuunga mtoto wake wa kumzaa awe mfalme.
- vita ya mwisho hatimaye hubaekje wakajisalimisha kwa goryeo na baadae shilla pia wakajisalimisha kwa goryeo, bila ya kusahau taifa la balhae ambalo lilianzishwa na general daejoyong kutoka goguryeo nao pia walijisalimisha kwa goryeo.
- hawa balhae utawala wao uliangushwa na wahuni wanaoitwa KHITAN, hatimaye goryeo wakafanikiwa kuziunganisha kingdom tatu na wang guhn kupewa heshima ya emperor.
- shilla waliziunganisha tawala tatu kwa kutumia msaada zaidi kutoka nchi za kigeni hususani Tang.
- wang guhn hakutegemea nguvu za nchi za kigeni kuziunganisha three kingdom za baadae.
scarlet heart ryeo
shin or go crazy
huyu wang guhn kwa vipindi tofauti alizungukwa na wanadamu wenye akili zaidi kuliko binadamu wengineo kama mimi.
choi ung= aliingia madarakani akiwa na miaka 14 nyakati za utawala wa gong yae, alikuwa ni zaidi ya genius na alifariki akiwa na miaka 35
choi jimong = huyu jamaa alibobea mnoo kwenye elimu ya nyota
View attachment 1098969
Watch Emperor Wang Gun Episode 1 online at Dramanice
Watch Emperor Wang Gun Episode 1 online at Dramanicewww2.ondramanice.tv Watch Emperor Wang Gun Episode 200 online at Dramanice
Watch Emperor Wang Gun Episode 200 online at Dramanicewww2.ondramanice.tv
Ina bidi nikutafute unipe hizo series kaka
Pole Nawepole sana
unadhani yupo sahihi bidada kuomba kwake kuvunja mahusiano na boy friend wake?
episode ya 6 sijaiangalia hivyo basi sijui kilichoendelea mbeleni.
sijaona udhaifu wa yule mwanamume hata ifikie hatua bidada alazimishe kuvunja mahusiano kwa kutumia kigezo cha familia ya mwanamume.
halafu cha kuvutia baba yake binti ni muajiriwa wa shule ilio chini ya usimamizi wa baba yake mwanaume
😂😂😂😂mhhhhh hapana
mimi ni mfuasi wa imani ya buddha no love ni mwendo wa om mani padme hum muda wote
atakubali kulea mtoto wa mwanamke mwengine?Pole Nawe
Yupo Sahihi Kabisa! Unavyowaona Unahisi Wana Uhusiano Wakimahaba Wale!?
Kilichobakia kwao Ni Mazoea kwakua Wamekua Pamoja Mda Mrefu Lakini Hakuna Ile Hisia Yakuwafanya Wazidi Kua Pamoja Kwa Muda Mrefu Zaidi.
Yule Bint Kapata Mtu Wa Tofauti (Apa Wanaume Mnafeli Sana) Anamuonyesha Maisha Ya Tofauti Na Yale Ambayo Hayaoni kwa Mtu Wake! Lazima Dada Akili Iruke..
Iyo Familia ya Mwanaume, Dada Anatafuta Sababu Tu Ila Ukweli Dada Ana Hisia Na Jamaa
Mpaka Pale Tayari Kashakubariatakubali kulea mtoto wa mwanamke mwengine?
ikitokezea mama mtoto amerudi kitatokezea kitu gani?
Aigooooo nashukuru sana opah (sijui km nimepatia) yaaan apo nimeona moja tu ya Mr sunshine.zote mi naangalia siko selective Sana kwa Hawa ndugu zangu wakorea.Great Conqueror tafadhali kuja hapa mara moja my rafiki, hivi ile barua yangu niliyoiwasilisha kwako ya kuchukua likizo ya muda usiojulikana kuanzia mwezi JUNE ndani ya hii thread umeisambaza kwa wanachama wa hiki kijiwe na kama hujaisambaza labda ulidhani nipo kwenye utani?
gwenchanah gwenchanah nitachukulia kama umesahau ombi langu mwenyekiti mpya wa hiki kijiwe kwa upande wa jinsia ya meeee.
my dongsaeng chuma96 ukweli ni kwamba mwaka 2019 nimejiwekea malengo ya kupunguza kuangalia korean drama kwa takribani 45% ukilinganisha na mwaka uliopita, hivyo basi unaponiambia nikuwekee list ya top 5 korean drama zilizofanya vizuri za mwaka huu utakuwa umenipa adhabu nzito sana, kwa drama zilizokuwa compeleted mpaka muda huu nimeangalia sita tu.
drama sita bora za kwangu mimi ambazo ndio nimeziangalia kwa mwaka huu ni hizi hapa:-
her private life drama sikubahatika kuiangalia lakini majorities ya walioiangalia wameisifia sana hususani love chemistry kati ya park min young noona pamoja na kim jae wook sunbaenim.
- doctor prisoner drama
- the fiery priest drama
- touch your heart drama
- romance is a bonus book drama
- haechi drama
- the banker drama
View attachment 1121993
================================================================================================
================================================================================================
scalethat noona hujaniambia wewe ni mpenzi wa drama za aina gani na nimeshasahau ladha uzipendazo. lakini jaribu kuchagua kati ya drama zifuatazo kwa kusoma kwanza drama details:-
95% ya list ya hapo juu ni drama zilizoonyeshwa na cable tv, nimepunguza sana kufuatilia drama zinazoonyeshwa na public broadcasting kama SBS, KBS na MBC
- money flower drama + bad papa drama = kwa heshima ya bae wako jang hyuk
- secret forest (best drama kwa mwaka 2017) = criminal, law, investigation
- because this is my first life (best drama kwa mwaka 2017)
- signal (best drama kwa mwaka 2015) = criminal, investigation, time travel
- tunnel drama = criminal, investigation, time travel
- my mister (best drama kwa mwaka 2018)
- mr sunshine (best drama kwa mwaka 2018)
- incomplete life drama or misaeng drama (best drama kwa mwaka 2014) = inanihusu kwenye maisha ninayoishi
- replay 1988 (best drama kwa mwaka 2016)
- misty drama
- sky castle (best drama kwa mwaka 2018)
- whats wrong with secretary kim drama
- prison playbook drama
- encounter drama
- lawless lawyer drama
- life on mars = criminal, investigation, time travel
- hwayugi
- the last empress drama
- the smile has left your eyes drama
- come and hug me drama
View attachment 1121991
hamuna tatizo wala hujanisumbua kihivyo, ni makosa yangu nimeshindwa kuweka taarifa rasmi kwa muda mrefu.Aigooooo nashukuru sana opah (sijui km nimepatia) yaaan apo nimeona moja tu ya Mr sunshine.zote mi naangalia siko selective Sana kwa Hawa ndugu zangu wakorea.
asante sanaaaa ngoja nianze na za bae wng then nije moja baada ya nyingine.........uzidi kubarikiwa na sorry kwa usumbufu kumbe umejipa likizo.
jeongin ameshajifunza kupitia kwa dada yake ambaye ameolewa kwa ndoa ya kulazimishwa na baba yake (ndoa za siasa), angalia matatizo anayoyapitia dada yake ndani ya ndoa yake, tuachane na maigizo kwenye dunia hii tunayoishi wapo wengi sana wanaopitia maisha ya ndoa yenye manyanyaso makubwa sana kutoka kwa wenza wao lakini wakashindwa kutoa taarifa kwa sababu tofauti ikiwemo kuogopa kudhihakiwa na kuitwa wahuni wanaokimbia ndoa kwa visingizio dhaifu.Pole Nawe
Yupo Sahihi Kabisa! Unavyowaona Unahisi Wana Uhusiano Wakimahaba Wale!?
Kilichobakia kwao Ni Mazoea kwakua Wamekua Pamoja Mda Mrefu Lakini Hakuna Ile Hisia Yakuwafanya Wazidi Kua Pamoja Kwa Muda Mrefu Zaidi.
Yule Bint Kapata Mtu Wa Tofauti (Apa Wanaume Mnafeli Sana) Anamuonyesha Maisha Ya Tofauti Na Yale Ambayo Hayaoni kwa Mtu Wake! Lazima Dada Akili Iruke..
Iyo Familia ya Mwanaume, Dada Anatafuta Sababu Tu Ila Ukweli Dada Ana Hisia Na Jamaa
4-D visual, Ong-(da)vid.
Unbelievably perfect, tall body proportions.
— Sporbiz
Dicaprio doppelgänger.
Visual member of SEVENTEEN, Ver-caprio.
— Sporbiz
His nickname is literally Jun-chael (Junmyeon and Saint Michael).
Are you human or an angel?
— Sporbiz
Visuals fit for the SM standard.
The ideal SM visual.
— Sporbiz
YG’s most handsome visual idol.
God-sent visuals.
Ina ep ngapi?Dae jo young hii drama ni moto aise utamu wake sijawahii pata leo nimelalaa 4asubuhi tangia jana saa mbili asubuhi
Huyu no moja kabla sijaona uko juu nikajua ni demu.daaah wakorea hatari sanaKwa bahati mbaya siwafahamu hata mmoja maana miye ni mzee wa Historical drama.
TOP 7 Male Idols With The Best Visuals, As Chosen By Korean Press
Here are the top 7 chosen “face geniuses”!
STORIES
Yesterday
Korean media named the 7 male idols as the most handsome “face geniuses”, thanks to their deep gazes, perfect proportions, sweep-you-off-your-feet smiles and more!
7. Ong Seongwoo
6. Vernon (SEVENTEEN)
5. Suho (EXO)
1111
4. Jaehyun (NCT)
3. Kim Jinwoo (WINNER)