Great Conqueror tafadhali kuja hapa mara moja my rafiki, hivi ile barua yangu niliyoiwasilisha kwako ya kuchukua likizo ya muda usiojulikana kuanzia mwezi JUNE ndani ya hii thread umeisambaza kwa wanachama wa hiki kijiwe na kama hujaisambaza labda ulidhani nipo kwenye utani?
gwenchanah gwenchanah nitachukulia kama umesahau ombi langu mwenyekiti mpya wa hiki kijiwe kwa upande wa jinsia ya meeee.
my dongsaeng
chuma96 ukweli ni kwamba mwaka 2019 nimejiwekea malengo ya kupunguza kuangalia korean drama kwa takribani 45% ukilinganisha na mwaka uliopita, hivyo basi unaponiambia nikuwekee list ya top 5 korean drama zilizofanya vizuri za mwaka huu utakuwa umenipa adhabu nzito sana, kwa drama zilizokuwa compeleted mpaka muda huu nimeangalia sita tu.
drama sita bora za kwangu mimi ambazo ndio nimeziangalia kwa mwaka huu ni hizi hapa:-
- doctor prisoner drama
- the fiery priest drama
- touch your heart drama
- romance is a bonus book drama
- haechi drama
- the banker drama
her private life drama sikubahatika kuiangalia lakini majorities ya walioiangalia wameisifia sana hususani love chemistry kati ya park min young noona pamoja na kim jae wook sunbaenim.
View attachment 1121993
================================================================================================
================================================================================================
scalethat noona hujaniambia wewe ni mpenzi wa drama za aina gani na nimeshasahau ladha uzipendazo. lakini jaribu kuchagua kati ya drama zifuatazo kwa kusoma kwanza drama details:-
- money flower drama + bad papa drama = kwa heshima ya bae wako jang hyuk
- secret forest (best drama kwa mwaka 2017) = criminal, law, investigation
- because this is my first life (best drama kwa mwaka 2017)
- signal (best drama kwa mwaka 2015) = criminal, investigation, time travel
- tunnel drama = criminal, investigation, time travel
- my mister (best drama kwa mwaka 2018)
- mr sunshine (best drama kwa mwaka 2018)
- incomplete life drama or misaeng drama (best drama kwa mwaka 2014) = inanihusu kwenye maisha ninayoishi
- replay 1988 (best drama kwa mwaka 2016)
- misty drama
- sky castle (best drama kwa mwaka 2018)
- whats wrong with secretary kim drama
- prison playbook drama
- encounter drama
- lawless lawyer drama
- life on mars = criminal, investigation, time travel
- hwayugi
- the last empress drama
- the smile has left your eyes drama
- come and hug me drama
95% ya list ya hapo juu ni drama zilizoonyeshwa na cable tv, nimepunguza sana kufuatilia drama zinazoonyeshwa na public broadcasting kama
SBS, KBS na
MBC
View attachment 1121991