Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 897
- 1,929
Hivi kuna drama inayomuhusu Dangun Wanggeom?!, Nasikia alikuwa si Binadamu.Arthdal chronicles ep 7
Tagon ni mwanadamu mwenye tabia na mipango ya kishetani ndio maana si ajabu kukuta baba yake alitamani kumuua ili jinamizi la kumzaa muhuni atakayeleta mtafaruku kwenye ardhi ya arthdal limuondokee, kinyume chake tagon kwa mara nyengine alimaliza uhai wa mzee wake mwengine baada ya kumuua mama yake hapo mwanzoni.
moja kati ya sifa kubwa ya igutu ni uwezo wao wa kujifunza kwa haraka sana pamoja na kuyazoea mazingira mageni kwa muda mfupi ndio maana si ajabu kumuona eunseom (song joong ki) anaweza kupigana kwa kutumia zana zilizotengenezwa kwa chuma eg panga, shoka haliyakuwa kwa miaka 20 ya kuzaliwa kwake hajawahi kuzishuhudia machoni mwake, si hivyo tu eunseom pia ana uwezo mkubwa wa kuendesha farasi haliyakuwa watu wa kabila la wahan kiupande wao wanamchukulia farasi kama ni kiumbe mfano wa kuku (hawamtumii kwa usafiri).
View attachment 1136289
ndio maana pia si ajabu kumshuhudia saya (song joong ki) na yeye akiwa na chembe chembe za ukatili ambazo amejifunzia kutoka kwa Tagon anayemchukulia kama ni baba yake pamoja na Tanya ambaye anamchukulia ni kama mlezi wake (mama)
wote wawili hawaoni tabia kutoa uhai wa mtu anayewaekea kikwazo kwenye njia zao za kuyatafuta mafanikio yao ya kuitawala ardhi ya arthdal.
ninachokiona ni kitendo cha sanya kutaka kumtumia mwanadada tanya ili atimize malengo yake kama ilivyo tagon anavyomtumia taelha, na wakati huo huo tanya atataka kumtumia sanya kwa sababu tanya anamfahamu sanya kupitia ndoto alizokuwa anaziota eunseom (sijajua kama sanya na yeye ana uwezo wa kuona matukio ya mbeleni kwa njia ya ndoto kama ilivyo kwa mdogo wake eunseom)
sanya ndio kikoo kilichotabiriwa so that sijui kioo hicho kitatumika vipi:
je atakuwa kioo kwa kumsaidia tagon atimize ndoto yake ya kuiendesha dunia atakavyo huku akimsubiria baba yake amrithishe madaraka pindi tagon atakapochoka au kioo hicho kitabeba sifa ya mapinduzi ya kumuondoa nguvuni tagon na hatimaye sanya kujimilikisha madaraka ya arthdal.
si tunafahamu karma is bitch,kama ilivyo tagon alivyomtoa uhai baba yake je na sanya atamtoa uhai bwana tagon?
tusisahau tagon ndiye aliongoza kampeni ya kumuua ragaz ambaye ni baba mzazi wa eunseom na sanya pamoja na mauaji ya kizazi kizima cha neandthal species.
sifikirii kama mapacha eunseom na sanya wataungana kwa pamoja kwa sababu ni watu waliokuzwa mazingira tofauti ya kitabia, mmoja anawajali wananchi wanaonyanyaswa na mmoja amekulia nyumba ya shetani mwenye kupenda harufu ya damu ya wanaonyanyaswa.
kongole kwa song joong ki kwa kutuonyesha sura mbili zenye kutofautiana kimatendo kwenye kiwiliwili kimoja.
View attachment 1136291
simulizi yake ipo kama hadithi za watotoHivi kuna drama inayomuhusu Dangun Wanggeom?!, Nasikia alikuwa si Binadamu.
Kwahiyo hakuna taarifa rasmi kuhusu uwepo wake sio?!simulizi yake ipo kama hadithi za watoto
taarifa zake zipo lakini ukisoma habari za chimbuko lake zinataka fikra pana kuzielewa,Kwahiyo hakuna taarifa rasmi kuhusu uwepo wake sio?!
Daah! Ipo dramanice?!taarifa zake zipo lakini ukisoma habari za chimbuko lake zinataka fikra pana kuzielewa,
mara mtoto wa mungu upepo
mara mama yake ni bibi mbweha
ukiangalia arthdal chronicles inafanana kwa asilimia fulani na mythical historia ya gojoseon.
mythical historia asadal ndio mji mkuu wa kwanza wa gojoseon.
drama inaitwa arthdal ambayo pia ni ardhi ya kusadikika kuwepo kwake.
ndioDaah! Ipo dramanice?!
Hello. This is Song Joong Ki.
First, I’d like to apologize for delivering this unfortunate news to the many fans who love and care for me.
I have begun the process of filing for divorce from Song Hye Kyo.
Rather than denouncing one another and arguing over who is to blame, I hope that the divorce process can be wrapped up amicably.
I ask for your understanding in regards to the fact that it is difficult to discuss the details of my personal life, and I will recover from my current wounds and do my utmost as an actor to repay you through great productions in the future.
Thank you.
hello jennieMy favourite actor
Ji Chang Wook
Ameigiza drama nyingi na nzuri mno za genre tofauti tofauti
Drama
Empress Ki
Worrior Baek Dong Su
Whirlind girl 2
The k2
Suspicious Patner
Ipi drama unayoikubali mimi ni The k2 na Suspicious partner
yes hii project ondramanice wameshindwa kuiweka subtitle mpaka muda huu hivyo basi imenishinda kuiangalia.@Daemushin hiyo drama ni nzuri inaitwa Tears of the Dragon, ilitoka mwaka 1996. Inaelezea kuanzishwa kwa Joseon mpaka kwa mfalme Sejong.
unaweza kukuta ni ishu za kazi zao binafsi ndio chanzo kikuu.Jamani couple changa namna hii! Personality difference dah!
teh teh avatar imefanyaje tena?Yawezekana pia!
Nataka niandae maandamano kwa ajili ya avator mpya ya Daemusin
jamani nilikuwa nje ya ulimwengu wa korean entertainment kwa takribani siku nne, nilipoingia soompi muda huu nimekutana na habari zinazoendelea kutrend tokea jana.
sijui hata nimlaumu nani
Breaking: Song Joong Ki Files For Divorce From Song Hye Kyo
Song Joong Ki has officially filed for divorce from Song Hye Kyo.
On June 27, Song Joong Ki’s attorney Park Jae Hyun officially announced, “Our law firm filed for divorce on behalf of Song Joong Ki at the Seoul Family Court on June 26. Additionally, we would like to convey Song Joong Ki’s official statement.”
In his statement, Song Joong Ki apologized to his fans and explained that he hoped for an amicable divorce.
The actor’s full statement is as follows:
hii habari inawahusu wadau wote wa korean drama haijalishi wamekuwa bize humu ndani kwa sababu ya majukumu.
aminas
Nifah
Khantwe
Prishaz
talnam
scalethat
Numbisa
Great Conqueror
View attachment 1139959