Actress Jeon Mi Sun Passes Away
kwa mujibu wa repoti mwili wake umeonakana akiwa kwenye bathroom ndani ya chumba cha hoteli maeneo ya Jeonju, North Jeolla province.
kwa mujibu wa idara ya uzimaji moto ni kwamba walipokea taarifa nyakati za saa 5:43 usiku kwa saa za korea na hatimaye wakaelekea sehemu husika na walipofika walimuona marehemu akiwa hajitambui na moyo wake haufanyi tena kazi.
mwili wake umepelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi na inasemekana marehemu amejitoa uhai wake (suicide).
he is psychometric kwa upande wa drama ndio project yake ya mwisho kushiriki.
kama kuna mdau hajawahi kuziona angalau project tatu za huyu mwanamama basi anapaswa aripiti mwaka wa masomo, hatuwezi kuwa na darasa la wanafunzi vilaza wa kuangalia korean drama.
basi hata C tatu zinakushinda kwenye project takribani 30 alizoigiza,ngoja niweke za kwangu mzee wa division 4.
six flying dragons
the moon that embrace the sun
moonlight drawn
chicago type writer
king of baking
emperor wang gun
pumzika kwa amani ahjummaa uliyezaliwa miaka 48 iliopita, nilidhani huu mwaka utamaliza kwa amani kumbe nilikuwa najidanganya.
aminas amonike
Nifah amonike
Khantwe amonike
Prishaz amonike
Numbisa amonike
Great Conqueror pyongyang
steven nyerere amonike