Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

series ambazo huyo mzee yupo naomba mzidondoshe humu kama vile kingdom of wind akijulikana kama boss stering muyool almahalufu kama jumong
Search Google Biograohy Yake Wikipedia Watakuletea Kazi Zake Zote.
 
Sorry wakuu ...naulizia series kaliiii ya kikorea iliyoigiziwa town yenye mambo ya ki inteligence.....nilshaziona iris 1&2 athena ,,3days city hunter, na Poseidon.....kwa anaeifaham Kali yenye mahadhi hayo anisaidie jina plz
 
Kwenye series ya god of war na Guam heo, namzungumzia main character, je Luna series zingine kacheza?, km a zip naombeni mnitajie maana Jamaa alicheza vzr sana.
 
Kuna moja mpya naiangalia hapa ni ya hongkong inaitwa "a fist within four walls" Kali Sana
 
Kwenye series ya god of war na Guam heo, namzungumzia main character, je Luna series zingine kacheza?, km a zip naombeni mnitajie maana Jamaa alicheza vzr sana.
Google Huyo Mtu Utaletewa Kazi Zake. Easy Like That.
 
series ambazo huyo mzee yupo naomba mzidondoshe humu kama vile kingdom of wind akijulikana kama boss stering muyool almahalufu kama jumong

Tafuta series inaitwa SWORD AND FLOWER... Huyo mzee yupo
 
mkuu unaweza kunisaidia kupata soft copy ya vitabu vya samguk sagi na yusa,pia unaweza kuniwekea link ya kuangalia tamthilia ya yeon gaesomun.pia mkuu umesahau yi bang won alikuwa mtawala wa tatu wa joseon hapa nilipo naangalia the great king sejong.
Mkuu nimepeta avatar yako umenikumbusha Boys before flowers
 
Niliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
Kali sana hiii
 
Six frying dragons nilisikitika alivyouwawa sambong ila nae alinibore alivyokua anampotezea lee bang won wakat alisaidia sana kwennye kuunda nchi mpya
 
Ila series yangu best of all tym ni IRIS season 1 kuna sehem nalia ....sehem nafurahi ...ikifuatiwa na Athena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…