He he he nimetamani nimsikie ghafla, tafadhali suggest hata mbili za kianzio nianze nazo jioni...Baek ji young namkubali sana pia. Naplan nizicollect zote niweke kny external maana huwa naishia kusikiliza you-tube.
Hiyo Road #1. sikuimalizaga.Uwiiiiiii ninavyopenda OST za kikorea jamani basi tu.
Ninazo kwenye device basi watu hunishangaa!
Natamani nipate OST za Road #1.
Mkuu nakumbuka imetajwa,ni nzuri kweli.Kuna mtu ameangalia The moon that embraces the sun? Nzuri sana hii sioni ikitajwa
Hakunaaaaa kuna kipindi Jan Di alitokea kumpenda yeye kuliko Jun Pyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nifah acha kunivunja mbavu. Mi nilimpenda kwa kweli maana alikuwa anakuwa mfariji Gu Jun Pyo akibanwa na Old hag kama alivyokuwa anamuita mwenyewe
Mimi nilimalizaga mkuu,tena tulicheki na mdogo wangu.Hiyo Road #1. sikuimalizaga.
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanzo dogo alikuwa hanielewi kabisa.si peke yako hata mimi naonekana kituko kwa sababu sina nyimbo hata moja ya kiswahili
Unanifanya niirudie maana sikumbuki OST zake,ila OST za Heirs si mchezo.Mimi nilimalizaga mkuu,tena tulicheki na mdogo wangu.
Acha kabisa zile OST zake kiboko.
Hadi leo hazitukauki mdomoni sawa na OST za The Heirs.
Motroooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siku za mwanzo ndio. Sasa li Jun Pyo angelipendaje lilivyokuwa vile uwii ila pale hata mimi nilikerekaa. Ila chukulia bila Ji Hoo kule Macau Jan Di si angepata uchizi manake ile ilikuwa ni zaidi ya sapraiz kwakeHakunaaaaa kuna kipindi Jan Di alitokea kumpenda yeye kuliko Jun Pyo.
Sasa nikawa namchukiaje?
Acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Namkubali sana huyo demu,hasa mi nimependa alivyoigiza kwenye Yong Pal.huyu demu ingawa umri umeenda mpaka 36 amechukua nafasi ya kwanza katika serie ya IRIS kuliko actress mwingine yeyote,anapoki fulani hivi la kizembe mpaka nomaaa!
Hii Heirs niliianza tu mwanzo natafuta niiendeleze siipatiMimi nilimalizaga mkuu,tena tulicheki na mdogo wangu.
Acha kabisa zile OST zake kiboko.
Hadi leo hazitukauki mdomoni sawa na OST za The Heirs.
Motroooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
Wakorea ni nomaaaaa.huyu demu ingawa umri umeenda mpaka 36 amechukua nafasi ya kwanza katika serie ya IRIS kuliko actress mwingine yeyote,anapoki fulani hivi la kizembe mpaka nomaaa!
Yep niliikubali sana hii na huyu dogo Kim Soo-hyun.Kuna mtu ameangalia The moon that embraces the sun? Nzuri sana hii sioni ikitajwa
Asante rafikifate (king and the clown ost historical movies)
fox rain (my girlfriend is gumiho ost)
meet him among them
i always miss you
i want to know
dear J
Girl's Prayer
Where the Love Falls
When Lilac is Falling
Turning the Pages of Memories
My Street
If You Love Me
I Don't Know Anything but Love
Goodbye
galbaram
Sasa mdogo wangu anakuambia hakuna movie/series/drama yoyote ya Kikorea anayopenda OST zake kama Road #1.Unanifanya niirudie maana sikumbuki OST zake,ila OST za Heirs si mchezo.
Hii King 2 heart ikoje, ninayo lkn siwezi kuiona format iko tofauti nafikiria niifute tu.mimi naipenda IF wa HONG GIL DONG na missing you like crazy wa KING 2 HEARTS
Uwiiiiiii ile surprise ilikuwa nomareeee [emoji119][emoji119][emoji119].[emoji23] [emoji23] [emoji23] siku za mwanzo ndio. Sasa li Jun Pyo angelipendaje lilivyokuwa vile uwii ila pale hata mimi nilikerekaa. Ila chukulia bila Ji Hoo kule Macau Jan Di si angepata uchizi manake ile ilikuwa ni zaidi ya sapraiz kwake
Weeee umefeli shoga,ile kitu ni noma.Hii Heirs niliianza tu mwanzo natafuta niiendeleze siipati