liverpool wenyewe wameanza kuchoka na hii imetokana zaidi na nguvu kubwa waliotumia msimu uliopita.Hahahahaha Nilimisi Hichi Yaani.
Maamuzi Ya Hekima Kabisaa. Karibu Sana Hata Liver Unakaribishwa
babu yupi tena?Utafikisha tu, Babu Anawangapi!?
Watajitahd Lakin.liverpool wenyewe wameanza kuchoka na hii imetokana zaidi na nguvu kubwa waliotumia msimu uliopita.
Nilitaka Jua Uyo Alooa Wawili Nice Nawe Utaelekea Uko Uko.babu yupi tena?
babu yangu ameoa wake wawili mpaka muda huu.
baba yangu ameoa mke mmoja mpaka muda huu ndiye ninayemfahamu (sijui kama kuna mwengine anamfuga kijanja?)
yupo vizuri ila nisikudanganye binafsi sivutiwi kabisa na beki anayekaa nyuma nyuma muda wote kama makalio ya paka.Watajitahd Lakin.
Maana si Kwa Gharama Mlotumia Ila Kwa Wan Bissaka Mmepata Pale (Sijuh ndo Jina Lake Ilo)
tufanye unaongoza moja.Nilitaka Jua Uyo Alooa Wawili Nice Nawe Utaelekea Uko Uko.
Nyuma Nyuma Kama..... Dah!! Apa Sitiii Nenoyupo vizuri ila nisikudanganye binafsi sivutiwi kabisa na beki anayekaa nyuma nyuma muda wote kama makalio ya paka.
napenda mlinzi mwenye sifa za dani alves, robertson, walker, arnold trent, marcelo n.k
Nafanyaje!? 🤭tufanye unaongoza moja.
teh teh teh
Ok hiyo muvi inahusu Ansi.. je unaweza kunipa overview ya Ansi..?
The Great Battle (Korean: 안시성; Hanja: 安市城; RR: Ansi-seong; lit. Ansi Fortress) is a 2018 South Korean historical action film[1] directed by Kim Kwang-sik. It stars Jo In-sung, Nam Joo-hyuk, and Park Sung-woong. The film was released in South Korea on September 19, 2018.[5]
bora ufumbe mdomo.Nafanyaje!? 🤭
Sita Mbona Umepitiliza.bora ufumbe mdomo.
umeanza kuniombea dua nioe wake wawili kwa hasira za bwana kuombwa anaweza kunijaalia nikaoa wake 6 kama nguzo za imani
Nilitaka Jua Uyo Alooa Wawili Nice Nawe Utaelekea Uko Uko.
Kapo yenu iko lit mno.. Mwaendana!! Hope hayataishia humuyupo vizuri ila nisikudanganye binafsi sivutiwi kabisa na beki anayekaa nyuma nyuma muda wote kama makalio ya paka.
napenda mlinzi mwenye sifa za dani alves, robertson, walker, arnold trent, marcelo n.k
Wooow! !! Nadhani mwenyewe anatamani mpige hatua
Loo! Wakati King Goonyae( Sujong) yeye alilazimishwa na kwa nguvu mno kuoa, Jamaa alikuwa hapendi wanawake yule, alikuwa anahisi ni kama watu ambao wametanguliZa hisia badala ya mantiki.wewe muhuni kutoka pyongyang unadhani ubongo wangu ni mwepesi sana kiasi ambacho iwe ni rahisi kuwahifadhi wake wa bwana wang guhn kwa mtiririko?
uyo mjinga alikuwa na wanawake takribani 30 mpaka wengine alikuwa anawatongoza mara mbili
Msimulizi anadai huyo binti wa mfanyabiashara wa Geumsung ndiye aliyemzaa mrithi wa Wang guhn.wake wa bwana wang guhn kwa mtiririko?
Msituletee mambo ya Liver huku ninyiliverpool wenyewe wameanza kuchoka na hii imetokana zaidi na nguvu kubwa waliotumia msimu uliopita.
Hahaha waache ndiyo bado wageni kwenye Uefa Supa cup.Msituletee mambo ya Liver huku ninyi
Pia yupo kwenye ongoing inaitwa dr johnHapa unamzungumzia Ji Sung.
Kazi alizofanya Ji Sung hususani Drama zipo nyingi tu na zifuatazo ni baadhi tu:
- Defendant (2017)
- Kim Su-Ro, The Iron King (2010)
- Kill Me, Heal Me (2015)
- Royal Family (2011)
- The Great Seer (2012)
- Swallow the Sun (2009)
- Protect The Boss (2011)
- Secret Love (2013)
- Entertainer (2016)
- Doctor John (2019)
- Familiar Wife (2018) n.k.