Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu una kichwa cha kushika na kupenda historia?
Hahahahahahahaha.
Kwanza anza kwa kuingia google type the GoJoseon, anzia hapo utapata links nyingi sana.
Historia ya Korea imeanzia hapo haswa kuna mtu anaitwa DANGUN ndiye anayechukuliwa kama baba wa Korea. Ila inasemekana sio binadamu. Hizo sasa ndo myths na folklores zilizonifanya nikatafute ivyo vitabu vya SAMGUK SAGI SAMGUK YUSA na vinginevyo. Can you beleve according to the books JUMONG, KING GEUMWA, HAE MOSU, na maprince wengi wa GAYA confederacy pia PARK HYEOKGEOSE mwanzilishi wa Silla na KIM ALJI mwanzilishi wa ukoo maarufu wa KIM, hao wote wanasemekana kuzaliwa kwa kutotolewa toka kwenye mayai according to the books.
Then kila unapoangalia drama ya Kikorea jipe homework ya kuja kutafuta about events ama watu waliohusika humo.
Kwa mfano ukiangalia GENERAL GYE BAEK au Ukiangalia the GREAT KINGS DREAM ukimaliza nenda search kuhusu Gye Baek, Na Kim Yusin (greatest general in Korean History) pia search kuhusu the Battle at Hwangsanbeol ambapo ndio Baekje ilipoanguka baada ya Gye Baek Kupigwa na kuuwawa dhidi ya Kim Yushin.

To cut the long story short;
Gojoseon->Pre-three kingdoms era (Buyeo kwa kina Gimwa na Taeso/Daeso, Young Goguryeo, Okjeo, Samhan)->Three kingdoms Era (Baekje, Silla,Goguryeo, Gaya confederacy baadae ikawadiffused/submitted into Silla)->Unified Silla(pumbavu zao Silla waliungana na Wachina wa Tang wakaangusha Gogurye na Baekje) and Balhae->Later three kingdoms;Silla(iliyoanza kuanguka na kumeguka), Later Baekje (Hubaekje), Later Goguryeo (Hugoguryeo) NB; Hubaekje na Hugoguryeo zilijimega toka kwa Unified Silla->Goryeo/Koryo->Joseon->Korean Empire->Chini ya Japanese rule na Provisional government->Baada ya Japan na wenzao kina Germany na Italy kupigwa na kushindwa vita ya pili ya dunia ndipo marekani na Urusi wakagawana Urusi akakaa North na Marekani akakaa south(ilipotokea civil war ndo mgawanyiko ukawa rasmi mpaka sasa North na South Korea from 1948.

Kwaiyo Silla Kwa leo wangekuwa mostly South Korea kabla ya kuziangusha Baekje na Goguryeo ila baada ya kuziangusha angekuwa kote, Baekje wangekuwa kotekote,wakati Goguryeo angekuwa China, Korea Zote, Urusi hata Mongolia. Koryo na Joseon wao pia wangekuwa kote.

Mkuu Kazi kwako.
Call Me Kim Mo Jo San from Ansiseong fort under Yang Manchun.
Nimefurahi,kwa kukutana na mgogryeo mwenzangu.
 
Kwenye drama ya Dae Jo Yeong imeelezewa vizuri kabisa. Kuna vita moja ilipigwa pale ni hatari ndani ya miezi mitatu, kiongozi wa Tang alienda na jeshi lake la wanajeshi million moja walipigwa mpaka huruma.
yang manchun inasemekana alikuwa ndiye commander mkuu wa hiyo ngome inayoitwa ANSI ambayo ilikuwa inapakana kati ya taifa la goguryeo na tang china.
kwa ufupi kwenye hizo ngome za ANSI ilipigwa vita moja moja ya kibabe sana iliodumu kwa takribani miezi mitatu kati ya goguryeo na Tang dynasty mnamo mwaka 645.
 
kama unapika ugali kila siku basi nikupe hongera kwa kujishindia tunzo ya mwanamke bora wa mikoani.

naamini utakuwa huna ukosefu wa nguvu za KIKE na utakuwa unaungana na kundi kubwa la wanaume wa mikoani wasiokuwa na ukosefu wa nguvu za kiume kwa mujibu wa tafiti uchwara za wadau wa JF MMU .🥇🥇

🏇🏇
 
teh teh teh (utani)
hivi wewe muhuni kutoka pyongyang tuseme ile barua yangu niliyoiwasilisha kwako tokea mwezi wa ramadhan ndio umeshindwa kuisoma na kuitolea maamuzi ya kibabe mpaka leo?

unataka kuniambia ya kwamba ndani ya thread hii nimekuwa thiery henry a.k.a kichogo maziwa yule wa arsenal isiyofungika, bila ya uwepo wangu hii thread itakuwa inapoteza mechi kila siku hata kama itakutana na yule mnyama aliyejeruhiwa na wanyamwezi kutoka msumbiji wasiojuwa kuvaa hata viatu?
😁😁 Mwenyewe umejionea tangu ulipotoweka wadau nao wametoweka. Kina aminas , Nifah FRANC THE GREAT n.k siwaoni humu ndani.
 
teh teh teh nimeona leo ndio siku nzuri kujibu hizi comment.
bwana davinci kwa mara nyengine tena umekalia ukuwadi juu yangu na aminas.

sidhani kama tunaendana kitabia kati yangu mimi babu mtarajiwa na huyu ahjumma mtarajiwa baada ya miaka 20 kwa sababu:
  1. anapenda simba sports club wakati mimi napenda ile timu kutoka mozambique a.k.a msumbiji inayoitwa UD Songo pamoja na yanga
  2. anapenda liverpool fc wakati mimi napenda man utd pamoja na everton fc.
  3. anampenda haji manara na maneno yake ya ovyo na hajiwezi kukaa bila ya kusoma comment zake wakati mimi nachukizwa na tabia zake anazoziwasilisha kwa njia ya uandishi (tabia za dharau na ujuaji mwingi)
  4. anajua kuzungumza kiingilishi wakati mimi hata kuandika barua rasmi kwa kiingilishi kunanipa tabu mpaka nitembelee gogoli.
Kwaiyo Kuanzia 1-4 Ndo Sababu Za Kutoendana Lol! 🙄

Iyo No.3 Hapana Kiukweli Na No.4 Ni Umenikosea Kwa Kiwango Cha Chura Vs Zesco
 
Apa Umenikosea Ni Bora Useme Lia Lia Wa Salah na Firmino au VVD na Robertson na TAA ila Si Huyo.
teh teh sielewi sababu ipi inayowafanya mashabiki wa majogoo muwe na chuki na captain wenu.
binadamu hawawezi kufanana ahjumma mtarajiwa.
henderson ana faida yake ndio maana klopp anapenda kumpa nafasi mara kwa mara
 
teh teh sielewi sababu ipi inayowafanya mashabiki wa majogoo muwe na chuki na captain wenu.
binadamu hawawezi kufanana ahjumma mtarajiwa.
henderson ana faida yake ndio maana klopp anapenda kumpa nafasi mara kwa mara
Kipendacho Roho..
 
Kwaiyo Kuanzia 1-4 Ndo Sababu Za Kutoendana Lol! 🙄

Iyo No.3 Hapana Kiukweli Na No.4 Ni Umenikosea Kwa Kiwango Cha Chura Vs Zesco
zipo nyingi ila nilizikumbuka hizo wakati naiandika hiyo comment,si unajua tena sisi wengine tuna ubongo wa ndege kuku.
anakatazwa sekunde moja then anafanya tena kile kile alichokatazwa
 
zipo nyingi ila nilizikumbuka hizo wakati naiandika hiyo comment,si unajua tena sisi wengine tuna ubongo wa ndege kuku.
anakatazwa sekunde moja then anafanya tena kile kile alichokatazwa
Sio Ubongo wa Kuku! Mbona huu ndo unakufaa.
 
Back
Top Bottom