Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

  1. Huyo muhuni gung ye alikuwa anaichukia shilla na watu wake kuliko mabwana wale wanavyochukia sauti mbaya ya tundu lissu mahasira na sauti ya maalim seif ndevu nyingi kama muanzilishi wa ukomunisti
  2. jamaa alizaliwa ndani ya royal family ya shilla lakini watabiri uchwara wakamwambia mfalme ya kwamba huyu mtoto wako aliezaliwa (ilikuwa dano day) atakuja kuleta majanga kwa taifa hili la shilla hivyo basi kuna njia moja tu ya kuepusha balaa litakalotokezea mbeleni (kuanguka kwa shilla) na njia hiyo ni kumsambaratisha mtoto wako.
  3. mfalme ndio akatoa amri ya kuuliwa mtoto wake asiyekuwa na hatia yoyote ndipo mama yake akashitukizia mchezo akaamua kuandaa mipango ya kukimbia na mtoto wake, inasemekana mama yake mzazi ili kumuokoa mtoto wake ilimlazimu amrushe gung ye kutoka ghorofa ya pili ya ikulu hadi nje alipokuwepo mtumishi wake.
  4. ndipo bwana mdogo akaanguka na hatimaye jicho lake likapata madhara na kuishia kuwa na jicho moja kwa maisha yake yote.court lady akaendelea kumlea gung ye mpaka alipofariki dunia ndipo gung yae akachukua uamuzi wa kujiunga na ibada za kibudha (aliamua kuwa monk).
  5. baadae shilla ilikuja kutawaliwa na msichana aliyepewa heshima ya queen jinseong (dada yake gung yae), nyakati hizo ndipo zikazidi kuongezeka harakati za uasi ndani ya taifa hilo na pia kuzidi kushuhudiwa kuongezeka kwa matendo ya rushwa na ufisadi yakiongozwa na member wa royal family. Kihistoria taifa la shilla kwa nyakati tofauti liliwahi kuongozwa na wanawake watatu ambao ni queen seondeok, queen jindeok na queen jinseong.
  6. chini ya utawala wa mwanamama huyo ndipo walipoanza kujitokeza mabwana ngome tofauti akiwemo gi hwon na huyo bwana yangil ambao walianzisha harakati za kupambana na ufisadi kwa njia ya vita huku dhamira yao kuu ilikuwa ni kuangusha tawala hiyo iliokwisha poteza muelekeo na si kuondoa huo ufisadi.
  7. hatua ya mwanzo aliyoichukua gung ye baada ya kuachana na harakati za kibudha ni kwenda kujiunga na waendeshaji kampeni hizo za kivita (gihwon na yangil), huyu yangil alitokezea kumuamini sana bwana gung ye kiasi ambacho alifikia hatua ya kumpa cheo cha general, kwa kuwa gung ye alikuwa tayari ana utaalamu wa vitani pamoja na elimu yake ya kiroho (dini) aliyoipata ubudhhani ilimwia rahisi zaidi kuwacontrol wananchi waliokwisha katishwa tamaa na maisha na hatimaye mwishoni gung aye akamsaliti yangil kwa kumpokonya nguvu zote za kimaamuzi alizokuwa nazo.
  8. mwanzoni mwa karne ya 9 baada kushuhudia nguvu zake zikiongezeka hususan kujisalimisha kwa mabwana wanaotokea kwenye makabila yenye nguvu mfano ukoo wa wang ukiongozwa na wangun na baba yake jamaa akaamua kuanzisha taifa la hugoguryeo, miaka mitatu baadae taifa hilo akalipa jina la majin na hatimaye aliamua kuhamisha makaazi yake kuelekea sehemu nyengine badala ya gaesong, si hivyo tu jamaa akaianzisha kampeni ya kuikomboa pyongyang kutoka kwenye mikono ya shilla iliokuwa inapumulia mashine.
  9. miaka saba baadae akalibadilisha tena taifa lake jina kwa kuliita taebong na balaa lake likaanzia hapo kwani aliamua kuongoza taifa hilo kwa misingi ya kidini ya buddha, akajipa heshima ya maitreya buddha ( mwanadamu aliyekuja duniani kwa lengo kuu la kuwaokoa wanadamu dhidi ya mateso na kuwaongoza katika njia sahihi, kwa imani ya kikristo labda itakuwa ni kama amejipa cheo cha yesu kristo na kama nitakuwa nimekosea mutanisahihisha, kwa imani nyengine atakuwa ndiye masihi awe wa ukweli au wa uongo kama itakuwa nipo sahihi au wale wengineo wanamwita ahmadiyya).
  10. ikafika nyakati jamaa akawa anawaaminisha wafuasi wake ya kwamba ana uwezo wa kuzisoma fikra zao kwa kufahamu kila wanachokipanga kwa kutumia fikra zake (alianza kuonyesha dalili za paranoia), waandishi wengine walifika kusema ya kwamba jamaa alikuwa anasumbuliwa na mental illnes.
  11. Hapo ndipo akaanza kufanya mauaji ya watumishi wasiokuwa na hatia kwa kutumia mahakama kuu ya kichwa chake(mzee wa meditation), akatoa hukumu ya kuuliwa kwa mke wake na watoto wake wawili hadharani kwa kisingizio cha kutaka kumpindua.

karma is bitch
jamaa mwisho wake ulikuwa ni mbaya sana.

  • upande mwengine wa historia wanasema ya kwamba gung ye asili yake ni kutoka kizazi cha go Anseung kinachotokea goguryeo (usisahau muanzilishi wa huu ukoo wa go ni sheikh jumong a.k.a go jumong).
  • Anseung inasemekena alikuwa ni mtoto wa nje ya ndoa au alikuwa ni mpwa wa mfalme bojang wa goguryeo ambaye ndiye mtawala wa mwisho wa goguryeo kabla haijaangushwa na ushirikiano wa tang na shilla.
  • nyakati ambazo goguryeo ilikuwa inasambaratishwa huyu bwana mdogo Anseong alikuwa ameshikiliwa mateka nchini shilla (kushikilia mateka ulikuwa ni miongoni mwa utaratibu wa kudumisha ushirikiano wa pande mbili zisizoaminiana),baadae akarudi goguryeo kwa lengo la kurudisha tena mipaka ya taifa hilo kwa msaada wa general geom mojam (ukiangalia dae jo yeong drama uhusika wake ulizungumzwa vizuri sana)
  • lakini baade huyu dogo akaamua kumsaliti general geom mojam kwa kumtengenezea mipango ya kumuua na hatimaye akachukua uamuzi wa kujisalimisha kwa shilla ambapo alipewa heshima kama ni miongoni mwa royal family member na alipewa heshima ya jina lake lianze na kim.

kwa kuwa mshindi mwenye haki ya kuandika historia atakavyo tumelamika tuamini ya kwamba wang guhn ndiye muanzilishi halisi wa taifa la goryeo na si gung ye, ukiachana na mafanikio yake alichokifanya wang guhn ni kulibadilisha jina la taifa kutoka taebong hadi goryeo.

View attachment 1194109
Unaandika Na Simu au PC!?
 
😂😂😂

Umeona kukosea kwako ni Matusi tu!?
ndio maneno mabaya zaidi kusomeka mbele ya hadhira ya wanaokuheshimu.
ulishakutana na balaa zaidi ya hilo?
maybe kukusudia kutuma ujumbe wa siri kwenda kwa boyfriend kutoka kolomijee na hatimaye ujumbe huo ukaelekea kwa motherfriend from chato district dubai
 
Una Drama Zipi unazoaangalii Sa Ivi.
 
Haya 👏👏👏
Pia jamaa nabii Dosun anadaj kuwa Goonyae alikuwa kama msafisha njia kwa ajili ya Mtawala halisi( Wang Guhn), mshikaji wake( Advisor atamgeuka?!) Halafu kuna muhuni anaitwa Ajitae naona ndiye aliyekuja kumvuruga mfalme mpaka kumwambia. Wahame Songok.
 
Historical ndefu niliangalia moja tu (jewel in the palace)napo niliibahatisha chanel moja hivi. Hii kama ni ndefu episode 50 na kuendelea sidhan kama nitaiweza
Ukiangalia hii hautaichoka maana Ina matukio mengi yenye kusisimua pia inafundisha Mambo ambayo yapo ktk maisha yetu ebu ijaribu kuicheki utafurahi Sana.
 
IMG_20190822_195157_813.jpg

Hawa watu walikuwa waoga kweli kweli.
 
Back
Top Bottom