Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Watajitahd Lakin.

Maana si Kwa Gharama Mlotumia Ila Kwa Wan Bissaka Mmepata Pale (Sijuh ndo Jina Lake Ilo)
yupo vizuri ila nisikudanganye binafsi sivutiwi kabisa na beki anayekaa nyuma nyuma muda wote kama makalio ya paka.
napenda mlinzi mwenye sifa za dani alves, robertson, walker, arnold trent, marcelo n.k
 
Nyuma Nyuma Kama..... Dah!! Apa Sitiii Neno
 
Ok hiyo muvi inahusu Ansi.. je unaweza kunipa overview ya Ansi..?
The Great Battle (Korean: 안시성; Hanja: 安市城; RR: Ansi-seong; lit. Ansi Fortress) is a 2018 South Korean historical action film[1] directed by Kim Kwang-sik. It stars Jo In-sung, Nam Joo-hyuk, and Park Sung-woong. The film was released in South Korea on September 19, 2018.[5]

yang manchun inasemekana alikuwa ndiye commander mkuu wa hiyo ngome inayoitwa ANSI ambayo ilikuwa inapakana kati ya taifa la goguryeo na tang china.
kwa ufupi kwenye hizo ngome za ANSI ilipigwa vita moja moja ya kibabe sana iliodumu kwa takribani miezi mitatu kati ya goguryeo na Tang dynasty mnamo mwaka 645.
 
Nilitaka Jua Uyo Alooa Wawili Nice Nawe Utaelekea Uko Uko.
yupo vizuri ila nisikudanganye binafsi sivutiwi kabisa na beki anayekaa nyuma nyuma muda wote kama makalio ya paka.
napenda mlinzi mwenye sifa za dani alves, robertson, walker, arnold trent, marcelo n.k
Kapo yenu iko lit mno.. Mwaendana!! Hope hayataishia humu
 
wewe muhuni kutoka pyongyang unadhani ubongo wangu ni mwepesi sana kiasi ambacho iwe ni rahisi kuwahifadhi wake wa bwana wang guhn kwa mtiririko?

uyo mjinga alikuwa na wanawake takribani 30 mpaka wengine alikuwa anawatongoza mara mbili
Loo! Wakati King Goonyae( Sujong) yeye alilazimishwa na kwa nguvu mno kuoa, Jamaa alikuwa hapendi wanawake yule, alikuwa anahisi ni kama watu ambao wametanguliZa hisia badala ya mantiki.
 
Hapa unamzungumzia Ji Sung.

Kazi alizofanya Ji Sung hususani Drama zipo nyingi tu na zifuatazo ni baadhi tu:
  • Defendant (2017)
  • Kim Su-Ro, The Iron King (2010)
  • Kill Me, Heal Me (2015)
  • Royal Family (2011)
  • The Great Seer (2012)
  • Swallow the Sun (2009)
  • Protect The Boss (2011)
  • Secret Love (2013)
  • Entertainer (2016)
  • Doctor John (2019)
  • Familiar Wife (2018) n.k.
Pia yupo kwenye ongoing inaitwa dr john
 
Back
Top Bottom