Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimefurahi,kwa kukutana na mgogryeo mwenzangu.
 
Kwenye drama ya Dae Jo Yeong imeelezewa vizuri kabisa. Kuna vita moja ilipigwa pale ni hatari ndani ya miezi mitatu, kiongozi wa Tang alienda na jeshi lake la wanajeshi million moja walipigwa mpaka huruma.
 
kama unapika ugali kila siku basi nikupe hongera kwa kujishindia tunzo ya mwanamke bora wa mikoani.

naamini utakuwa huna ukosefu wa nguvu za KIKE na utakuwa unaungana na kundi kubwa la wanaume wa mikoani wasiokuwa na ukosefu wa nguvu za kiume kwa mujibu wa tafiti uchwara za wadau wa JF MMU .πŸ₯‡πŸ₯‡

πŸ‡πŸ‡
 
😁😁 Mwenyewe umejionea tangu ulipotoweka wadau nao wametoweka. Kina aminas , Nifah FRANC THE GREAT n.k siwaoni humu ndani.
 
Kwaiyo Kuanzia 1-4 Ndo Sababu Za Kutoendana Lol! πŸ™„

Iyo No.3 Hapana Kiukweli Na No.4 Ni Umenikosea Kwa Kiwango Cha Chura Vs Zesco
 
Apa Umenikosea Ni Bora Useme Lia Lia Wa Salah na Firmino au VVD na Robertson na TAA ila Si Huyo.
teh teh sielewi sababu ipi inayowafanya mashabiki wa majogoo muwe na chuki na captain wenu.
binadamu hawawezi kufanana ahjumma mtarajiwa.
henderson ana faida yake ndio maana klopp anapenda kumpa nafasi mara kwa mara
 
Kipendacho Roho..
 
Kwaiyo Kuanzia 1-4 Ndo Sababu Za Kutoendana Lol! πŸ™„

Iyo No.3 Hapana Kiukweli Na No.4 Ni Umenikosea Kwa Kiwango Cha Chura Vs Zesco
zipo nyingi ila nilizikumbuka hizo wakati naiandika hiyo comment,si unajua tena sisi wengine tuna ubongo wa ndege kuku.
anakatazwa sekunde moja then anafanya tena kile kile alichokatazwa
 
zipo nyingi ila nilizikumbuka hizo wakati naiandika hiyo comment,si unajua tena sisi wengine tuna ubongo wa ndege kuku.
anakatazwa sekunde moja then anafanya tena kile kile alichokatazwa
Sio Ubongo wa Kuku! Mbona huu ndo unakufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…