Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Gu family
Gumiho
Giant
Hizo tu ndio nimeziona..
Hebu endeleza orodha
 
Nyingine nilizoona sikumbuki majina kwa kichwa [emoji28][emoji28] labda nitafute fuko la cd huko store maana zaman ni micd kwa kwenda mbele

1.The great seer.
2. The liar and his lover.
3. My sassy girl(2017)
4. Love affair.
5. Misty.
6. Mask.
7. Doctor stranger.
8. Yong pal.
9. The crownded clown.
 
Si vibaya nikazipiga zote 3 kwa wakati mmoja
Emperor Wang Gun 93/200

The Memorial Of Imjin War(The Book of Corrections {JingBirog) 23/50

Age Of Warriors 0/158



Daemusin aliniambia kwenye hiyo Age Of Warriors hakuna Handsome ni sura za kazi. Wacha leo nianze tuone shughuli ya wahuni hao.
 
Mkuu na ww unapiga 3 kwa wakati mmoja?? Me nipo na Dae JoYoung na Jing Birog,,,,,,,,,,,asante kwa kuniongezea Age of Warriors.....
 
Nimejitahidi niwe nafuatilia hizi ongoing lakini nimejaribu mara mbili nimeshindwa aisee,,,,,,,,,nilianza na Last Empress nikaishia njiani, hata sijui iliishaje maana stori yenyewe sikuipenda, nikahamia kwa Nokdu Flower nayo pia nikashindwa kusubiri muendelezo.........Ngoja nikomae tu na hizi zilizomalizika.
 
Hahahaah mimi drama za sampuli ile hata sizipendi.
Tatizo ni teknolojia inayotumika sio ya kivilile ndio maana nakosa mzuka wa kuangali,kuna nyengine kama hiyo inaitwa When the devil calls your name..nayo ipo hivyo hivyo inanishinda kuangalia na zipo nyengine zilinishinda kama Orange Marmalade na Circle.
 
Mie napenda ongoing naangalia online nikimaliza nimemaliza. Ikinivutia nadownload nahifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…