Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wapenzi wa arthdal chronicles wakorea walichotufanyia sijapenda kabisa[emoji51][emoji51]

tagon baada ya kupewa habari za kuwa na mtoto zitamfanya apunguze mapenzi kwa saya na hapo balaa ndipo litakapoanza.
kwa mujibu wa hadithi inaishingi hajawahi kuzidiwa na aramun haesulla ndio maana viongozi wa arthdal walikuwa wanawatengenezea migogoro ya wenyewe kwa wenyewe makabila ya AGO ili wasiwe pamoja.

inaishingi vs aramun haesulla
dah! tusubirie season 2 kama itakuja kweli.​
 
Mkuu naomba link yake maana hujawahi niangusha vitu unavyonipaga huwa vinahatarisha kibarua changu .......maana na sahau hadi kazi??!
 
yeon gaesomun alikuwa ni
  1. shujaa wa goguryeo
  2. dikteta wa goguryeo
historia ya bwana yeon gaesomun itaendelea kuleta mgawanyiko wa kifikra mpaka ulimwengu utakapokwisha
Majibu yote ni sahihi maana falme nyingi sana ziliogopa ziliposikia jina la jenerali huyu, na alifanikiwa kushinda vita zote zidi ya maadui lakini kwa upande mwingine huyu jenerali alikuwa na tamaa na madaraka
 
NETFLIX TO INTRODUCE ACTION-PACKED HISTORICAL K-DRAMA MY COUNTRY: THE NEW AGE

Netflix Inc., the world’s leading Internet entertainment service, announced that a new historical Korean drama My Country: The New Age will launch globally on October 4, 2019.

Set during the end of the Goryeo period to the early Joseon period. Two friends aim their swords against one another due to differences in opinion about "my country."

Seo Hwi, played by Yang Se-jong (Dr. Romantic, Temperature of Love, Still 17), is a warrior who does not compromise when it comes to injustice.

Seo Hwi’s friend Nam Seon-ho is played by Woo Do-hwan (Save Me, Mad Dog). Seon-ho works hard to pass the military examination, overcoming his social rank, but encounters conflict with Hwi over a misunderstanding.

Strong confrontation over the throne between father Yi Seong-gye and son Yi Bang-won, is portrayed by veteran actors Kim Yeong-cheol (Taejo Wang Geon, Iris) and Jang Hyuk (The Slave Hunters, Deep Rooted Tree), respectively.
=======================================================================================
jang hyuk hatokuwa muigizaji mkuu humu ndani na tafsiri yake ni kwamba atakuwa ni screen time ndogo sana.

six flying dragon, jang do jeon, treep with deep roots, jang yeong sil, great sejong drama.
hadithi za lee bang won na lee seong ye zimeshanichosha labda hii pengine itakuwa ni tofauti. Nimeshamfahamu anayekwenda kushinda pambano hili.
mshindi ni lee bang won bwanaaaa.
 
Nasubiria iishe nianze kuangalia maana rookie historian inanitesa hapa
 
Kwa jinsi ilivyoishia season2 lazima maana mambo mengi hatujajua hatma yake.
1. Yule farasi wa aramun haesula ameishia wap
2. Kama eunsom ndio inaishingi aliwezaje kumuendesha yule farasi wa aramun
3. Panga, kengere na kioo kuangusha arthdal
4. Neanathal nao wameishia wap

Yani km ndio imeisha wamebugi kweli
 
2. Kama eunsom ndio inaishingi aliwezaje kumuendesha yule farasi wa aramun
teh teh hayo maswali yako itabidi uyawasilishe kwa mwanamama kim young hyun ambaye ndiye muandishi wa hii drama.

sidhani kama eunseom ndiye inaishingi kwa sababu hajawahi kumuota na wala hana dalili za kuwa inaishingi, pia hakuwa akiifahamu historia yake kabla hajasimuliwa na ipsaeng, ukiangalia mtiririko wa tukio zima walikuwa wanadanganya ili wapate kuaminiwa na viongozi wa kabila la AGO.

kufaulu kwake mtihani ndio kumewafanya viongozi na wafuasi wa kabila la AGO wawe na imani ya kwamba eunseom ndiye reincarnation ya inaishingi na kwa hali ilivyokuwa hakuwa na budi kuikubali heshima hiyo kwa sababu aliambiwa na ipsaeng kama ataikataa heshima ya inaishingi basi atauliwa.

kama ilivyo tagon anavyotumia historia ya aramun haesulla kwa dhumuni la kujijenga kimadaraka ndivyo atakavyofanya eunseom kwa dhumuni kujijenga kinguvu.
 
Kwa jinsi ilivyoishia season2 lazima maana mambo mengi hatujajua hatma yake.
1. Yule farasi wa aramun haesula ameishia wap
2. Kama eunsom ndio inaishingi aliwezaje kumuendesha yule farasi wa aramun
Yani km ndio imeisha wamebugi kweli

kwa mujibu wa animation
  1. vita kati ya ago tribe wakishirikiana na momo tribe wakiongozwa na eunseom dhidi ya daekan army (arthdal)
  2. tagon anampeleka vitani saya japokuwa hana uzoefu wowote wa vita na huenda atakutana na eunseom.
  3. kwa mujibu wa animation huyo farasi anayemuendesha tanya ndiye kanmoreu, ushahidi wa hilo mwenyewe anamwita douri (helper) jina ambalo alimpa yeye mwenyewe episode 2.
tanya: Do you laugh while dying?
tanya: Is it funny?
eunseom / saya: Umm.. This funny
eunseom / saya: What's wrong, Tanya?
tanya: eunseom?

tanya: Douri, I've to go fast!
tanya: Quickly!

kuna comment fulani niliisoma wakati naiangalia hii video, jamaa ameeleza sababu iliomfanya tanya awe na dhana ya kwamba huyu aliyelala ni eunseom na si saya japokuwa wanafanana.

mwanzoni mwa episode ya 2 eunseom alikuwa anajiuliza amfanye nini yule farasi wa kanmoreu au douri a.k.a helper (amuue au amuendeshe)?
tanya akamuuliza: do you think your thought its funny?
eunseom akamjibu: ndio its funny.

na hapo juu amejibu hivyo hivyo sasa sijui kama ndiye eunseom mwenyewe au ni saya ameijifanya eunseom?
in short season 2 ni muhimu sana kama pilau na harusi ya kimasikini.
 
mkuu maneno hayo kama utayatamka mbele ya kaburi la wang guhn nakuhakikishia marehemu atafufuka kwa jinsi alivyojaa hasira.
sambong ndiye aliyeiangusha tawala ya goryeo kwa kushirikiana na yi seong ye halafu unamwita shujaa.​
Ahahah nimependa misimamo yake alikuwa hatetereki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…