Na nimeshakufanya admin kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo drama umekuwa ukiisifia sana, ndio nataka niupakue wote niucheki na nikawawekea na wengine kule tufaidi wote maana sio kwa sifa zile ulizoipa.
Jana uliuliza faida cha Channel japo umefuta lol ngoja nikujibu kwa kifupi.
Binafsi sipendi kubeba PC muda wote ni mzigo, mara nyingi huwa naiacha home sasa katika mihangaiko yangu kuna wakati napata nafasi ya kuangalia drama ila kwa aina ya devices zangu siwezi kudownload moja kwa moja kutoka ktk sites na kuzihifadhi, hivyo Telegram kwangu imekuwa suluhisho maana nikishadownload kule nazihifadhi kwa urahisi kabisa hivyo naweza kuangalia muda wowote ninaotaka mimi, utumwa wa kuangalia online umekwisha.
Yani sijui kwanini nilichelewa kulijua hili Wallah!
Mh. Admin, kila utakachoangalia tafadhali share na sisi, asante.