Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naona Unaleta Jeuri Ya Kiunguja Etii Eeeh!!

Ugali Unaleta Nguvu Haujui Ama!?
nilipokuwa darasa la kwanza miaka 40 iliopita nilisomeshwa.

sura ya 3.
babu yake ali ni mkulima, analo shamba kubwa la mpunga maeneo ya cheju.

wala sikusomeshwa babu yake ali ni mkulima, analo shamba kubwa la mahindi maeneo ya cheju.
 
yes
daemusin amekuwa ni member wa 13 kujiunga ndani ya channel.
huko kwa Prime minister foleni za mara kwa mara hazitokukera?
niemefurahi kuikuta drama yangu pendwa ya secret forest season 1.
naisubiria season 2 yake inshaallah mnamo mwaka 2020.

nimeanza na hii muda huu.
View attachment 1228369

Na nimeshakufanya admin kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo drama umekuwa ukiisifia sana, ndio nataka niupakue wote niucheki na nikawawekea na wengine kule tufaidi wote maana sio kwa sifa zile ulizoipa.

Jana uliuliza faida cha Channel japo umefuta lol ngoja nikujibu kwa kifupi.
Binafsi sipendi kubeba PC muda wote ni mzigo, mara nyingi huwa naiacha home sasa katika mihangaiko yangu kuna wakati napata nafasi ya kuangalia drama ila kwa aina ya devices zangu siwezi kudownload moja kwa moja kutoka ktk sites na kuzihifadhi, hivyo Telegram kwangu imekuwa suluhisho maana nikishadownload kule nazihifadhi kwa urahisi kabisa hivyo naweza kuangalia muda wowote ninaotaka mimi, utumwa wa kuangalia online umekwisha.
Yani sijui kwanini nilichelewa kulijua hili Wallah!

Mh. Admin, kila utakachoangalia tafadhali share na sisi, asante.
 
nilipokuwa darasa la kwanza miaka 40 iliopita nilisomeshwa.

sura ya 3.
babu yake ali ni mkulima, analo shamba kubwa la mpunga maeneo ya cheju.

wala sikusomeshwa babu yake ali ni mkulima, analo shamba kubwa la mahindi maeneo ya cheju.

Kwaiyo Sabbu Hukusomeshwa Ivyo Ndomana Unauchukia.

Ila Naona WaZanzibar Wengi Wao Hampendi Ugali,Kuna Mmoja Uyo Nae Anauchukia Ugali Hatari.
 
Na nimeshakufanya admin kabisaaaa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Hiyo drama umekuwa ukiisifia sana, ndio nataka niupakue wote niucheki na nikawawekea na wengine kule tufaidi wote maana sio kwa sifa zile ulizoipa.
huu wa kwako utakuwa ni umwambafy .
teh teh teh
Jana uliuliza faida cha Channel japo umefuta lol ngoja nikujibu kwa kifupi.
hapana sijaifuta mpaka muda huu.
hayo mambo ya telegram na whatsapp ni mgeni sana.
 
nitume kama album or kama files nimeulizwa swali
nasubiri jibu kabla sijatoka ofisini mwa watu kuelekea ibadani.
najua huko kwenu ndio kwanza asubuhi munajiandaa kupika sembe😎😎😎

Tuma kama Files
Si unaona zile nilizozituma? Ila uweke na description kidogo kabla ya kutushushia hizo files.
I mean kila episode iwe separate.
Vinginevyo itabidi uwe creative maana sote wageni, lol.
News na vinginevyo vyote utakavyoona vinafaa sisi kuvisoma.
 
ok naomba kwanza muniruhusu nitume japo short video nipate kuona responding yake baadae nitaifuta.
 
juzi tumepika sembe kwa ujinga wangu niliwaambia waniwekee mchuzi wa maharage na samaki tu, sembe lao watafune wenyewe.

kituko tupike sembe halafu mfukoni niwe sina mbwa.

mamaaaaaaaaaaa ni mwendo wa kulila huku nikitoa kashfa kwa mlimaji

Huna Mbwa Ndo Nini!??
 
Jamani eeee nisaidieni jina la series ya Korea ya porini I mean historical drama kutoka mwaka jana hizo zingine kina 6 flying dragon kwa sisi wa angaliaji tulisha iona zamani sanaaa tu zinapo toka so please nitajien kama kuna mtu anafahamu series kali toka mwaka 2018 mpaka leo ila iwe historical drama
 
Hebu tupe hizo za k ijapan tuzithaminishe
Alaf hizo za pori ndo ziliwatambulisha kwenye soko la dunia sasa sijui wame ishiwa stori mchana na mjapani anawapiga bao tu wao wanakazana kutoa za wa vaa suti
 
dah mbona hiyo sehemu sioni ya kutuma kama files, nimeamua kuzi attach sijui zinawafika?
natumia PC

Zinatufikia, si unaona kuna idadi pale ya waliotazama ulichopost? Well done [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Hii Vagabond uliyoweka naona inanivurugia mipango yangu ya kuanza kuangalia Secret Forest.
 
Na nimeshakufanya admin kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo drama umekuwa ukiisifia sana, ndio nataka niupakue wote niucheki na nikawawekea na wengine kule tufaidi wote maana sio kwa sifa zile ulizoipa.

Jana uliuliza faida cha Channel japo umefuta lol ngoja nikujibu kwa kifupi.
Binafsi sipendi kubeba PC muda wote ni mzigo, mara nyingi huwa naiacha home sasa katika mihangaiko yangu kuna wakati napata nafasi ya kuangalia drama ila kwa aina ya devices zangu siwezi kudownload moja kwa moja kutoka ktk sites na kuzihifadhi, hivyo Telegram kwangu imekuwa suluhisho maana nikishadownload kule nazihifadhi kwa urahisi kabisa hivyo naweza kuangalia muda wowote ninaotaka mimi, utumwa wa kuangalia online umekwisha.
Yani sijui kwanini nilichelewa kulijua hili Wallah!

Mh. Admin, kila utakachoangalia tafadhali share na sisi, asante.
Sisy Mnapata Burudani mwanitenga miye ati kisa natokea N. Korea je! Siye wanothi korea mmeetuwekea vikwazo mpaka huko.

Daemusin nakushangaa sana kwa hiyo roho yako ya wauza samaki ( Selfish ness)
 
huo uselifisherman wangu umetokea wapi jamani?
haya madai yako dhaifu ulioyawasilisha yananipa jibu tosha ya kwamba ukiingia humu ndani huwa husomi mara kwa mara comment za wachangiaji wengine

hiyo habari ya kutengenezwa group kupitia telegram mbona ilitrend dunia nzima siku ya jana
au macho yako muhuni wewe kutoka pyongyang yana makengeza?
tafuta miwani ya mbao bwanaaaaa
 
Alaf hizo za pori ndo ziliwatambulisha kwenye soko la dunia sasa sijui wame ishiwa stori mchana na mjapani anawapiga bao tu wao wanakazana kutoa za wa vaa suti
Hizi za wavaa suti na mahaba mahaba naona zina wafuasi wengi pengine kuliko sisi wa msituni.
 
Back
Top Bottom