Miye namisi drama zenye Episode nyingi.
Wivu ndo unanisumbua au Nina fikra zenye makengeza why hiyo Drama ya Empress Ki karibia kila mtu anaisifu, halafu miye naiona kama Historical Drama mbovu kuliko zote nilizowahi kuziona. SIJUI.
tumia window 10.Ok mkuu sasa naomba unielekeze jinsi ya kuset niwe naitumia telegram kwenye pc
kushasema una makengeza, kizuri utakiona kibaya, kibaya utakiona kizuri.Miye namisi drama zenye Episode nyingi.
Wivu ndo unanisumbua au Nina fikra zenye makengeza why hiyo Drama ya Empress Ki karibia kila mtu anaisifu, halafu miye naiona kama Historical Drama mbovu kuliko zote nilizowahi kuziona. SIJUI.
Ndio natumia. Ngoja nifanye right nowtumia window 10.
nenda kwenye playstore yao then itafute uidownload.
Ahahah na mimi iliniboa sana aiseeeeMiye namisi drama zenye Episode nyingi.
Wivu ndo unanisumbua au Nina fikra zenye makengeza why hiyo Drama ya Empress Ki karibia kila mtu anaisifu, halafu miye naiona kama Historical Drama mbovu kuliko zote nilizowahi kuziona. SIJUI.
Hata miye, kha! Drama gani ile!!!!!!!!Ahahah na mimi iliniboa sana aiseeee
kwa sababu umeandika hadithi ya kijinga isiyonihusu kwa nyakati hizi.
hiyo drama nimeiangalia miaka mitatu iliopita.
Nimebakiza Episode 7 niimalize.kwa sababu umeandika hadithi ya kijinga isiyonihusu kwa nyakati hizi.
hiyo drama nimeiangalia miaka mitatu iliopita.
Empress ki ilikuwa ni bonge la series aisee ilikuwa Ina ubunifu mkubwa Sana.Once again MB zangu zimepotea
Hii Golden garden ilitakiwa iwe na episode 16 tu zikizidi sana 20 sio mpaka 60 huko wakati hata haina mwanga mzuri,story mbovu
When the camellia blooms ipo slow inafaa muda ambao upo eneo lisilo na network porin huko umeboreka weee halafu movie unayo hio hio moja.
Empress KI nzuri ila ilifaa ipunguzwe episode basi tu enzi hizo ilikua mwendo wa episode nyingi
Labda ukuielewa itakuwa ni moja ya series yenye ubunifu mkubwa alafu ni unpredictable uwezi kutabiri episode inayofuata itakuwaje matukio yanazaliwa.story yake tamu upande wangu nilikuwa na angalia episode 8 sometime mpaka episode 10 kwa siku kutokana na ubora wake.Kwangu the empress ki ni top 3 ya series yangu Bora duniani nilizowahi kuangalia all in all lady ki ambaye ni star wa hiyo series alicheza hiyo series kwa ufundi mkubwa ndo akanifanya nianze kufuatilia series zingine alizocheza huyu dada ni Moto wakuotea mbali.Miye namisi drama zenye Episode nyingi.
Wivu ndo unanisumbua au Nina fikra zenye makengeza why hiyo Drama ya Empress Ki karibia kila mtu anaisifu, halafu miye naiona kama Historical Drama mbovu kuliko zote nilizowahi kuziona. SIJUI.
Empress ki ilikuwa ni bonge la series aisee ilikuwa Ina ubunifu mkubwa Sana.
Golden gardeni nimeilewa episode za mwanzo nikajua itakuwa nzuri huko mbele imeniuzi so nimeishia episode ya 10 tu na Sina mzuka nayo Tena ila the empress ki ni habari nyingine Kama uliaangalia kwa umakini na ukaielewa usingehoji hivyo hii series yakiufundi inaitaji utulivu kuelewa. mtunzi wa hii series nimemvulia kofia anatisha na yule dada lady ki ambaye ndio Star hii series amenivutia ile mbaya sijaona star wa kike alicheza series yoyote ikanivutia Kama huyu ongera zake.Me binafsi sipendi historical drama na wewe unajua ila kwa hii series ilivutia ile mbaya tangu tu niangalie episode ya kwanza na Wala nilikuwa Sina mpango wakuangalia hii series rafiki yangu ndo alinilazimisha ila inavyozidi kwenda ndo utamu unazidi kuongezeka mwisho wa siku nikajikuta nimeimaliza yote.Nakumbuka nilimtoa rafiki yangu buku ya vocha Kama Asante ya hii series.Kila kitu huwa unasifia. Ukaisifia hadi golden garedn wakati mbaya ya kawaida mno
Empress ki haina ubunifu inaenda mbele inarudi nyuma ili mradi wafikishe ep 51
Ubunifu upo kwenye flower in prison japo nayo ilirefushwa mno
Golden gardeni nimeilewa episode za mwanzo nikajua itakuwa nzuri huko mbele imeniuzi so nimeishia episode ya 10 tu na Sina mzuka nayo Tena ila the empress ki ni habari nyingine Kama uliaangalia kwa umakini na ukaielewa usingehoji hivyo hii series yakiufundi inaitaji utulivu kuelewa. mtunzi wa hii series nimemvulia kofia anatisha na yule dada lady ki ambaye ndio Star hii series amenivutia ile mbaya sijaona star wa kike alicheza series yoyote ikanivutia Kama huyu ongera zake.Me binafsi sipendi historical drama na wewe unajua ila kwa hii series ilivutia ile mbaya tangu tu niangalie episode ya kwanza na Wala nilikuwa Sina mpango wakuangalia hii series rafiki yangu ndo alinilazimisha ila inavyozidi kwenda ndo utamu unazidi kuongezeka mwisho wa siku nikajikuta nimeimaliza yote.Nakumbuka nilimtoa rafiki yangu buku ya vocha Kama Asante ya hii series.
Weeh!!!..... wakati nilipokuwa naitazama ilikuwa nyakati(2014) sawa na nilizokuwa nairudia The Great King Gwanggaeto.Labda ukuielewa itakuwa ni moja ya series yenye ubunifu mkubwa alafu ni unpredictable uwezi kutabiri episode inayofuata itakuwaje matukio yanazaliwa.story yake tamu upande wangu nilikuwa na angalia episode 8 sometime mpaka episode 10 kwa siku kutokana na ubora wake.Kwangu the empress ki ni top 3 ya series yangu Bora duniani nilizowahi kuangalia all in all lady ki ambaye ni star wa hiyo series alicheza hiyo series kwa ufundi mkubwa ndo akanifanya nianze kufuatilia series zingine alizocheza huyu dada ni Moto wakuotea mbali.