si mpya tena kwa sababu huku kwetu joseon inamalizika kesho.Kuna mpya imetoka sasa hivi ni nzuri sana, inaitwa my country... New age
nilikuwa nachochea kuni ili moto upate kuwaka zaidi na bahati nzuri moto umekolea na urojo umechemka.Kwani Kuna kosa kumshabikia mondi.
Hapa tumezungumza Mimi na wewe hayo mambo ya wasafi yamekujaje
halafu leo mchumba wangu aliyenikataa mara tatu ametimiza miaka 38 ya kuishi nje ya tumbo la mzazi wake.Heee msituchanganyie habari, ukitaka kuchamba huku mchambe Song Hye Kyo, Song Jong Ki, Lee Min Ho and the like
Khaaa hizi ni pongezi au kichambo?halafu leo mchumba wangu aliyenikataa mara tatu ametimiza miaka 38 ya kuishi nje ya tumbo la mzazi wake.
happy birthday song hye kyo.
nilikupenda tokea ukiwa kigori
mimi nikiwa na miaka 10 lakini ukamchagua kizee lee byung hun aliyekuzidi kwa miaka takribani 10.
baadae nilikupenda tena cha ajabu ukamkimbilia hyun bin kwa sababu munalingana umri.
baadae nikakupenda tena kwa mara ya tatu, ukaendeleza unyambi wako na kumpa moyo wako mdogo wako song joong ki.
leo hii waja kwangu ukitaka tuanze upya mapenzi yetu ya ndotoni, aaaaahhhhh! wapi, umeitupa nafasi
tena ni nzuri,
humpati tena mfuasi
mimi sina haja nawe tenaa.
nina wa kwangu nimpendaye japokuwa amejaa mapengo kinywani kama bibi kizeee.
happy birthday hye kyooooo
natumia simu muda huu picha itakuja baadae.
nimeukumbuka huu wimbo wa taarabu asilia.wanaotamani uanguke acha waendelee kupata tabu.
mpewa hapokonyekiiiiiii
Khantwe upoooo
ulishawahi kusoma gazeti lenye kuandika habari mchanganyiko?Khaaa hizi ni pongezi au kichambo?
Sijawahiulishawahi kusoma gazeti lenye kuandika habari mchanganyiko?
siasa
kimataifa
afya
kilimo
michezo
Haya bidada nimekupata vizuri.Mkuu hapa ukiuliza swali ukapewa jibu basi uwe unaridhika bila kumkwaza aliyekujibu. Just imagine siku hizi wengi wanakwepa kukujibu sababu mwisho wa siku utachomeka empress k.
Hivyo suluhisho tunaanza chat masuala mengine kukwepa mada mpya(ya kila siku)unayotaka kuianzisha
Mfano umejibiwa ukauliza nzuri kama empress k angekujibu hajawahi angalia ungeanza kuipamba na hadithi juu huku ukilazimisha kiaina aangalie
Naiomba na mimi madamNimekutumia link, itumie kujiunga pls.
Vagabond imeanza kunoga huku
DRAMA ZOTE MBILI ZIMEMALIZA JANA.Sambamba na my country moto ndio kwanza unakolea
Bora hata Vagabond imeisha nianze kuiangalia.DRAMA ZOTE MBILI ZIMEMALIZA JANA.
daemusin hatokei familia ya wachawi.zimebaki episode 4 ili hii drama imalizike na sijajua kama kutakuwepo na uwezekano wa seson 2 japokuwa ningelipenda uwepo muendelezo wake kwa sababu nahisi stori ndio kwanza inachangamka, binafsi nimezoea episode 16 zenye kubeba wastani wa dakika 70 - 90 kupitia tvN tofauti na hiki kituko wanachotufanyia SBS cha kutuonuyesha lisali moja lilisilotimia kwa kila episode kana kwamba hii drama imebeba episode 20.
imeisha lakini kiuhalisia stori yake ndio kwanza imeanza kuchipua.Bora hata Vagabond imeisha nianze kuiangalia.
Lol!K-Pop artist Goo Hara found dead at home aged 28
According to Seoul Gangnam Police Station, Goo Hara was found dead at her home in Cheongdam neighborhood of Seoul on November 24 at approximately 6 p.m. KST.
Police say the cause of death is still under investigation. She appeared at a series of comeback performances last week after being hospitalised in May following an alleged suicide attempt.
The singer later apologised for causing "concerns and a commotion" among her fans over the incident. Reports said her manager had, at the time, found her unconscious.
Her death comes just over a month since another former K-Pop girl band member, Sulli, was also found dead in a suspected suicide.
View attachment 1271260