Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwani Kuna kosa kumshabikia mondi.
nilikuwa nachochea kuni ili moto upate kuwaka zaidi na bahati nzuri moto umekolea na urojo umechemka.

mkuu mimi ni muumini wa demokrasia ile yenye kufungamana na uwepo wa uhuru wa kimaamuzi kwa kila kiumbe.

huo muziki wa kitanzania wala sina khabari nao kiupande wangu, hivyo basi jisikie huru kushabikia upendacho bila ya kuwaza wapinzani wako uchwara wanasemaje dhidi yako.
 
Mkuu hapa ukiuliza swali ukapewa jibu basi uwe unaridhika bila kumkwaza aliyekujibu. Just imagine siku hizi wengi wanakwepa kukujibu sababu mwisho wa siku utachomeka empress k.

Hivyo suluhisho tunaanza chat masuala mengine kukwepa mada mpya(ya kila siku)unayotaka kuianzisha

Mfano umejibiwa ukauliza nzuri kama empress k angekujibu hajawahi angalia ungeanza kuipamba na hadithi juu huku ukilazimisha kiaina aangalie

Hapa tumezungumza Mimi na wewe hayo mambo ya wasafi yamekujaje
 
Heee msituchanganyie habari, ukitaka kuchamba huku mchambe Song Hye Kyo, Song Jong Ki, Lee Min Ho and the like
halafu leo mchumba wangu aliyenikataa mara tatu ametimiza miaka 38 ya kuishi nje ya tumbo la mzazi wake.

happy birthday song hye kyo.
nilikupenda tokea ukiwa kigori

mimi nikiwa na miaka 10 lakini ukamchagua kizee lee byung hun aliyekuzidi kwa miaka takribani 10.

baadae nilikupenda tena cha ajabu ukamkimbilia hyun bin kwa sababu munalingana umri.

baadae nikakupenda tena kwa mara ya tatu, ukaendeleza unyambi wako na kumpa moyo wako mdogo wako song joong ki.

leo hii waja kwangu ukitaka tuanze upya mapenzi yetu ya ndotoni, aaaaahhhhh! wapi, umeitupa nafasi
tena ni nzuri,
humpati tena mfuasi
mimi sina haja nawe tenaa.

nina wa kwangu nimpendaye japokuwa amejaa mapengo kinywani kama bibi kizeee.

happy birthday hye kyooooo
natumia simu muda huu picha itakuja baadae.

nimeukumbuka huu wimbo wa taarabu asilia.wanaotamani uanguke acha waendelee kupata tabu.
mpewa hapokonyekiiiiiii

1574466407531.png
 
Khantwe upoooo
Khaaa hizi ni pongezi au kichambo?
 
Nimeicheki hadi episode kama ya 7,
The tale of nokdu ni drama kali sana,ngoja nione mwisho wake.

Na kwa Korean actors,naona yule mshikaji crown prince chun soo ambae alipona kufa Mara 3 kwenye ile drama ya the emperor:ruler of the mask,
Na pia kacheza kama star kwenye high school drama ya Master of study.

currently I guess ni the best actor kwa upande wa kule Korea,
Jamaa anajua sana,kina Lee min hoo wako kimya na wajiangalie na kujishikilia.
 
Mkuu hapa ukiuliza swali ukapewa jibu basi uwe unaridhika bila kumkwaza aliyekujibu. Just imagine siku hizi wengi wanakwepa kukujibu sababu mwisho wa siku utachomeka empress k.

Hivyo suluhisho tunaanza chat masuala mengine kukwepa mada mpya(ya kila siku)unayotaka kuianzisha

Mfano umejibiwa ukauliza nzuri kama empress k angekujibu hajawahi angalia ungeanza kuipamba na hadithi juu huku ukilazimisha kiaina aangalie
Haya bidada nimekupata vizuri.
 
Naaam,
mpaka sasa Emperor Wang Gun Drama nimefika Episode ya 150/200, safari hii ndefu niliianza mwezi wa 6, na bado nasonga mpaka mwisho. Drama ambazo nimenisindika na zinanisindikiza ni;
God Of War( Military Official) episode 56✅,
JingBirog The Memoir Of Imjin War Episode 45/50
Empress Chun Chu ( Princess Iron) Episode 22/ 70+.
 
zimebaki episode 4 ili hii drama imalizike na sijajua kama kutakuwepo na uwezekano wa seson 2 japokuwa ningelipenda uwepo muendelezo wake kwa sababu nahisi stori ndio kwanza inachangamka, binafsi nimezoea episode 16 zenye kubeba wastani wa dakika 70 - 90 kupitia tvN tofauti na hiki kituko wanachotufanyia SBS cha kutuonuyesha lisali moja lilisilotimia kwa kila episode kana kwamba hii drama imebeba episode 20.
daemusin hatokei familia ya wachawi.

Vagabond” Staff Addresses Possibility Of Season 2
On November 24, a source from Celltrion Entertainment, the production company behind the drama, shared during an interview with OSEN, “The production period was very long, so everyone’s feeling both relieved and sad. The production process took 11 months, and if you count the planning period, it’s a lot longer than that.”

“Vagabond” came to a close with an open ending and made viewers hope for a second season. The source revealed, “It was planned and produced with a second season in mind. However, season two has not been confirmed, and it’s currently being reviewed. We are reviewing the schedules of the actors, writers, and directors.”

The source also shared their gratitude for the actors and staff. They said, “The lead actors were tied to the project for 11 months. During the 40 days or so spent filming overseas, they all stayed together well. It was fun because no one was unsociable and everyone filmed harmoniously. I’m thankful to all of the staff members and actors.”

1574601441809.png
 
K-Pop artist Goo Hara found dead at home aged 28
According to Seoul Gangnam Police Station, Goo Hara was found dead at her home in Cheongdam neighborhood of Seoul on November 24 at approximately 6 p.m. KST.

Police say the cause of death is still under investigation. She appeared at a series of comeback performances last week after being hospitalised in May following an alleged suicide attempt.
The singer later apologised for causing "concerns and a commotion" among her fans over the incident. Reports said her manager had, at the time, found her unconscious.

Her death comes just over a month since another former K-Pop girl band member, Sulli, was also found dead in a suspected suicide.

1574602580581.png
 
View attachment 1271260
Lol!

Jamii Ya Kikorea Itawamaliza Hawa Vijana.

Inawapa Msongo Sana. Dooh! Akafikie Anapostahili Binti.. Ilo Jina Limenishtua Kidogo Ikabidi Nishuke Kwenye Picha.
 
Back
Top Bottom