halafu leo mchumba wangu aliyenikataa mara tatu ametimiza miaka 38 ya kuishi nje ya tumbo la mzazi wake.
happy birthday song hye kyo.
nilikupenda tokea ukiwa kigori
mimi nikiwa na miaka 10 lakini ukamchagua kizee lee byung hun aliyekuzidi kwa miaka takribani 10.
baadae nilikupenda tena cha ajabu ukamkimbilia hyun bin kwa sababu munalingana umri.
baadae nikakupenda tena kwa mara ya tatu, ukaendeleza unyambi wako na kumpa moyo wako mdogo wako song joong ki.
leo hii waja kwangu ukitaka tuanze upya mapenzi yetu ya ndotoni, aaaaahhhhh! wapi, umeitupa nafasi
tena ni nzuri,
humpati tena mfuasi
mimi sina haja nawe tenaa.
nina wa kwangu nimpendaye japokuwa amejaa mapengo kinywani kama bibi kizeee.
happy birthday hye kyooooo
natumia simu muda huu picha itakuja baadae.
nimeukumbuka huu wimbo wa taarabu asilia.wanaotamani uanguke acha waendelee kupata tabu.
mpewa hapokonyekiiiiiii
Khantwe upoooo