Asante Sana nimekupata vizuri.Inaoneshwa jumatano na alhamis. Leo utaipata ikiwa haina subs. So jiwekee uwe unaangalia alhamis na ijumaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah!Mishil dah huyu mwamba alikuwa hatari
Yeah!Jang ok-jung & Mishil asee salute kwao! Ni maana halisi ya wanawake wa shoka
Waswahili wana kamsemo kao kanasema;Vagabond iko vipi nafikiria kuiangalia.
Ndio huyu? Huyu si ndio alikuwa mjomba wake Tal tal mbona alikuwa fa.la tu
HahaahaYeah!
Ana msemo wake, anakwambia;
"If you want to be Mishil, slay this Mishil! There can’t be two Mishils in the world."
Hahaha!
Japo sikuiangalia yote ila jamaa alinikosha kwa uaminifu wake kwa mfalme baba yake na Togon alipoamua kutomuua Togon kumruhusu atorokeNdio huyu? Huyu si ndio alikuwa mjomba wake Tal tal mbona alikuwa fa.la tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio huyo, Baghatur Bayan. Bwana wa vita.Ndio huyu? Huyu si ndio alikuwa mjomba wake Tal tal mbona alikuwa fa.la tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wapi mipango yote alikuwa anasuka Tal tal ye alikuwa anajua kupigana tuNdio huyo, Baghatur Bayan. Bwana wa vita.
Alikuwa shupavu, mwenye cheo kikubwa na mipango mingi mpaka akaanza kuhofiwa na ukoo wake mwenyewe.
Alikuwa kinara katika masuala mazima ya "Ufyatuaji".
Hahaha!Aah wapi mipango yote alikuwa anasuka Tal tal ye alikuwa anajua kupigana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tal tal alikuwa kichwa bwana, halafu nilikuwa nampenda jinsi alivyo siriaz muda woteHahaha!
Mipango yake binafsi ya kimadaraka na kiutawala ambayo haikuwa kwa maslahi ya nchi na ukoo wao kwa ujumla.
Alijimwambafy sana ndiyo maana alisukiwa mpango wa kumuangusha na kina Tal tal.
Yeah! Mwanahistoria aliyebobea na kiongozi mwenye hekima.Tal tal alikuwa kichwa bwana, halafu nilikuwa nampenda jinsi alivyo siriaz muda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwaje?kwangu mimi naweza nikasema hii ndo best Historical drama 2019 so far!!kuna ile scene bwana mdogo yule clown,kajifanya mfalme yupo na malkia nje palace wakaenda "kwa mama ntilie" malkia anashangaa mfalme kapajuaje hapa?wakati wanarudi usiku jamaa akapita sehemu wanauza zile compass,jamaa mfalme anajua ku negotiate bei vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imefika wamekubaliana kulipa jamaa hela hana anamcheki queen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!View attachment 1291381View attachment 1291382
Sent using Jamii Forums mobile app
clowned Crown kama sijakoseaInaitwaje?
Bila shaka hiyo ni 'Chocolate'.
The Crowned Clown yaani 'Mchekeshaji' aliyevikwa Taji.Inaitwaje?