Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bayan hivi alikuwa ndio yupi
Huyu hapa;

1576193929957.png
 
Hahaha!

Mipango yake binafsi ya kimadaraka na kiutawala ambayo haikuwa kwa maslahi ya nchi na ukoo wao kwa ujumla.

Alijimwambafy sana ndiyo maana alisukiwa mpango wa kumuangusha na kina Tal tal.
Tal tal alikuwa kichwa bwana, halafu nilikuwa nampenda jinsi alivyo siriaz muda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwangu mimi naweza nikasema hii ndo best Historical drama 2019 so far!!kuna ile scene bwana mdogo yule clown,kajifanya mfalme yupo na malkia nje palace wakaenda "kwa mama ntilie" malkia anashangaa mfalme kapajuaje hapa?wakati wanarudi usiku jamaa akapita sehemu wanauza zile compass,jamaa mfalme anajua ku negotiate bei vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imefika wamekubaliana kulipa jamaa hela hana anamcheki queen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
0874917ba3a2eab8a540328f94f9a773.jpeg
33b5e87dc8fc8957961c53359648eb4b.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwangu mimi naweza nikasema hii ndo best Historical drama 2019 so far!!kuna ile scene bwana mdogo yule clown,kajifanya mfalme yupo na malkia nje palace wakaenda "kwa mama ntilie" malkia anashangaa mfalme kapajuaje hapa?wakati wanarudi usiku jamaa akapita sehemu wanauza zile compass,jamaa mfalme anajua ku negotiate bei vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imefika wamekubaliana kulipa jamaa hela hana anamcheki queen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!View attachment 1291381View attachment 1291382

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwaje?
 
Back
Top Bottom