Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sijui Ninampenda Tu Hyun Bin au Ni Nini!? Najikuta nasmile Kwa Kila Scene Yake.

Ila Izi Episode Mbili Zimeleta Uhai Kidogo.

Nilichopenda Zaidi Wakionyesha Kule NK Wamejitahid Kueka Utofauti Wa Mazingira Na Ata Rafudhi Zao Ziko Tofauti Na SK.

Kuna Scene Moja Se-ri (Ye Jin) Alikua Anabishana Na Yule Msaidizi wa Hyun Akamuuliza Jina Lake Kumtajia Akamwambia "Ntalikumbuka Jina Lako Hili Tutakapoungana Utafute Uraia Kwenye Nchi Nyengine"
Tvn Apa Wamecheza Ni Kama Mr. Sunshine.
 
Nilimis Haya Maandishi/Maneno

Kwaiyo Hutaki Niwe Kama Ahjumma Huyo Ulimsifia, Mbona Nimekamribia.

Mi Ntakudekeza Kama Mtoto Wa Ndege..
 
Kwenye Chocolate Script iliseme Ji Won Aende Greece Kumkimbia Mzee Baba na Kweli Alipanda ndege Kwenda Greece na Scene Zilizotakiwa Kurekodiwa Kule Zimerekodiwa Kule Kweli.

Script Inhitaji Mkarekod Ziwa Vict Nyie Mnaenda Coco.
fanya ulale tena....
umeshaanza kutukana sanaa ya nyumbani
 
Nilikuwa bize Na Empress Chunchu.

Na sasa nakwenda na Drama inayoitwa "Hwarang The Poet Youth". Mpaka sasa nipo Episode ya 5 ila ina mabishoo(🤣 Warembo wa Kiume) wengi mno.
 
Zifuatazo ni List ya Drama nilizozitazama mwaka huu;

Yi San( Wind OF the Palace) ep.77

Great Dae Jang Geum( Jewel In the Palace) ep. 54

Emperor Of the Sea ep.51

Joseon Gunman ep.22

Princess Jamyung Go ep. 39

(Kiporo 2012)

Great King Sejong ep. 86

Joeng Do Jeon ep. 50

Memoir Of Imjin War( JingBirog) ep. 50

Empress Chun Chu ep. 78

(Kiporo 2011)

Age Of WARRIORS 158
( Pending)

Soldier - God of War(The Military Official) ep. 56
(Kiporo 2012)

Jang Yeong Sil ep. 24

Emperor Wang Gun ep. 200
( Inaendelea...)

Hwarang Poet Youth ep. 20+ 4
(Inaendelea...)

King Geuchoggo ep. 60
(Kiporo 2012)

Kabla ya mwisho mwezi huu lazima nianze Drama nyingine. Kasi yangu mnaionaje??, Mapendekezo ya Drama nyingine pia naomba.


Kati ya Hizo zote Great Dae Jang Geum( Jewel In the Palace), ndio iliyonivutia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…