Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mamma mia
umeangalia drama 15 kwa miezi 12 lakini ni sawa sawa na kuangalia drama 30 - 40 kwa miezi hiyo 12.
 
Bado sijaichek, vp ni kal?

地那天刚才妇产科☆
Ni kali kuliko 'jua la utosi'.

Nisiongeze chumvi, Ila ni vizuri nawe ukaitazama mwenyewe.

Huko utakutana na mtu mmoja kipindi hicho cha Joseon aitwaye Hong Gil Dong.

Mwizi maarufu wa kuiba mali za matajiri na kuwapatia masikini ama wengine wana msemo wao wa kuwaita "wanyonge".
 
happy 18th Debut anniversary to seo hyun jin...
episode 1 ya black dog nimeiangalia mchana wa leo, natumai bidada ataifurahia kazi yake ya uwalimu licha ya changamoto kubwa alioanza kukumbana nayo siku yake ya kwanza kuhudhuria ofisini.

nepotism ni ugonjwa mbaya sana unaopaswa kupingwa kwa nguvu zote na jamii husika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…