Ambayo Hujaangalia!?kabla hujalala nakupa mtihani mdogo aminas....
nina gb 3 hapa nilipo naomba unitajie drama yoyote utakayoipenda wewe lakini iwe ya miaka iliopita......
Historical Au Zakisasa!?kabla hujalala nakupa mtihani mdogo aminas....
nina gb 3 hapa nilipo naomba unitajie drama yoyote utakayoipenda wewe lakini iwe ya miaka iliopita......
lakini mbona baadae alitoa wazo zuri sana la kumsaidia hyun bin aongezewe cheo jeshini...Hakuna Anachosema Saeri Akakikubali Ye Muda Wote Anampingia Na Kubishana Nae tu.
Anamsema Mwenzie Anamaliza Vitu Vya Boss Wake Mbona Ye Zile Shampoo Kakataa Kurudisha.
wewe taja, jawabu litatoka kwanguAmbayo Hujaangalia!?
ahjummaaaaa una usingiziHistorical Au Zakisasa!?
Kuna Hii It's Okay, This is Love Ya 2014kabla hujalala nakupa mtihani mdogo aminas....
nina gb 3 hapa nilipo naomba unitajie drama yoyote utakayoipenda wewe lakini iwe ya miaka iliopita......
Si Baada Ya Kumuuliza Kama Anatka Saeri Azidi Kubakia NK.lakini mbona baadae alitoa wazo zuri sana la kumsaidia hyun bin aongezewe cheo jeshini...
si unakumbuka mwanzoni saeri alisema hatohudhuria happy birthday lakini baadae alihudhuria baada ya kupewa wazo na kaka yako
View attachment 1301856
Iatakua.ahjummaaaaa una usingizi
drama yoyote ya miaka iliopita lakini iwe nzuri
imeandikwa na mwanamama no hee kyung na sijawahi kuiangalia.Kuna Hii It's Okay, This is Love Ya 2014
binti akibaki north korea jamaa atapata kuzawadiwa shampoo na mafuta ya naziSi Baada Ya Kumuuliza Kama Anatka Saeri Azidi Kubakia NK.
unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako ila ni faida kwa serikali ya wanyongeYaan naanza kuzi
Yaaan nimejikuta nawaza kuzitazama zote,japo siku hizi nimekua mvivu hatari.yaaan nachagua most rated ndo naangalia au za vijijini tu......ila lazima nizitendee haki hizo ulizonitajia
Nashukuru sana
Hiyo series inaitwaje?Hahahahahaha,
Umenitoa Nilipo Chingu. Mpaka Kuona Hii Alert Nikaanza Nakusmile.
Yaani Napenda Jinsi Wanavyobishana, Wezake Wote Wanmkubali Shemeji Yao Yeye T.
Zile Zawadi Alizopewa Kakataa Kurudisha Hahaha!
Crash Landing On YouHiyo series inaitwaje?
Asante.Crash Landing On You
Nimeona Nominees Wa SBS Daesang Awards 2019unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako ila ni faida kwa serikali ya wanyonge
natabiri mwaka huu mshindi atakuwa ni kim nam gil kupitia the fiery priest drama.Nimeona Nominees Wa SBS Daesang Awards 2019
Kuna
Lee Seung Gi - Vagabond
Jang Nara - VIP
Kim Nam Gil - The Fiery Priest
Jisung - Doctor John
Apo Ni Jang Nara Na Boo Seung Gi.
Hahaha! Wadau katika tasnia wamechafukwa.Lee Sang Yoon says he's receiving a ton of hate for 'VIP' drama character
On the December 18th live stream 'To You Who Took the Trouble', Lee Sang Yoon commented on the popularity of 'VIP' and the hate he's receiving for playing the part of a cheating and conniving husband. He said,
I have never in my entire life been insulted so much. I expected it, but it exceeded my expectations. A lot of people came into the chatroom to curse me, and over 10,000 people have come in. Because people are getting sucked into the drama, I'm being cursed out a lot."
His co-star Shin Jae Ha then commented, "Hyung said that the more his character Park Sung Joon is cursed at, the better the drama is doing, and it's doing well."
Lee Sang Yoon added, "It's doing extremely well. I'm being criticized from across the globe. If being hated on is succeeding, it's really succeeding."
View attachment 1296497
Kwa mtazamo wangu, Dong Yi ni Project nzuri sana na yenye visa vingi vya kufurahisha na kufundisha ndani yake ila, Jewel in the Palace inapaswa kupewa sifa yake inayostahili bila "kupepesa macho".View attachment 1296791
Great Dae Jang Geum( Jewel in the Palace) 2003
View attachment 1296792
DONG YI 2010
CHAGUA DRAMA BORA ZAIDI, KATI YA HIZO👆 DRAMA MBILI. NA ZOTE NI MOJA KATI YA 'K'. HISTORICAL DRAMA BORA MUDA ZA MUDA WOTE.
Katika Projects zake ambazo nimepata kuzitazama na nyingine bado sijazimaliza, nadhani uhusika wake katika hizi Historical Drama tatu, alifanya vizuri sana;kutoka December 20, 1976 hadi December 20, 2019 ni takribani miaka 43 imetimia tokea kuzaliwa kwa Jung Yong-Joon a.k.a Jang Hyuk...
umeangalia project ngapi za huyu jamaa (mzee wa back to back)?
kiupande wangu nimeangalia project hizi:
project yake ya mwaka 2020 inaitwa tell me what you saw.
- slave hunter
- iris 2
- the merchant gaekju
- tree with deep roots
- money flower
- beautiful mind
- my country
- bad papa
- wok of love
- voice
- fated to love you
- shine or go crazy
View attachment 1298023