niliweka matarajio makubwa sana kwa
one night spring drama kubeba tuzo ya best drama kwa mwaka 2019 lakini imekuwa kinyume chake.....
extraordinary you drama iliangaliwa kwa wastani wa 4.5% nchini korea, ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na
one night spring drama ambayo ilifikia kuangaliwa kwa 9% nation wide......
nimeiona nguvu ya wapiga kura ( huenda wengi wao waliopiga kura ni mashabiki walio nje ya korea kwa mtazamo wangu wa haraka)
kwa mara ya kwanza nimeshuhudia drama yenye rate ndogo kubeba tuzo ya best drama.
ila ushindi wao uzidi kuwaongezea hamasa yenye kuambatana na nidhamu ya kazi kwa vijana wote walioshiriki ndani ya drama ile, wana safari ndefu sana kufikia au kuzipita level za waigizaji wengineo mashuhuri nchini korea.... chonde chonde wasije wakabweteka kama walivyo wasanii wa nyumbani kwetu.
hakuna kazi ngumu kama sanaaa....haitaki ubishoo mwingi wala uchafu mwingi ndio maana wale wa nyumbani kwetu wameishia kuwa mabaradhuli wa kiume na hata wa kikee
Excellence Award for an Actress in a Wednesday-Thursday Drama: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”)
Viewers’ Choice for Drama of the Year: “Extraordinary You”
Best New Actress: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”)
Best New Actor: Lee Jae Wook and SF9’s Rowoon (“Extaordinary You”)
MBC wajitathmini kama wanataka kurudisha ubora wao wa zamani, ni jambo la kustaajabisha sana, ukiangalia list ya celebrities maarufu walioshiriki kwenye project zao kwa mwaka 2019 ni wachache sana ukilinganisha na vituo vyenginevyo kama tvN, SBS na KBS.
mazingira bora ya kazi
malipo yenye kuridhisha
waajiri waandishi mashuhuri
waajiri madirector wazuri
pacha wangu
lee taeri (
lee min ho) hajashinda tuzo hata moja.. sad
View attachment 1307778