FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Nadhani katika Drama ambazo huyo mzee ameigiza kama 'Binadamu Mnyonge" mojawapo ni Project moja iitwayo, Innocent Man.Sijawahi kumwona kwenye Drama aliyoigiza akiwa Zwazwa.
Atauawa kwa upanga.Hiv yule real king atakufa? Kwenye hiyo hiyo crowned clown
Drama yangu bora ni Healer na City hunter ni za mjini na zina action pamoja na mapenzi. napenda story zake zimepangika.Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
😂 Miye nilianza na "Jumong" mwaka 2007/08 Enzi hizo ITV. "LEE TAE GON" nadhani alinivutia hasa alivyocheza "KING GWANGGAETO THE GREAT CONQUEROR"Drama yangu bora ni Healer na City hunter ni za mjini na zina action pamoja na mapenzi. napenda story zake zimepangika.
msanii wangu wa kwanza ni Ji Chang-Wook (Seo Jung-Hoo) katika drama ya healer pia ameigiza K2, Empress Ki , Warrior Baek Dong-soo (2011) na City Hunter ya Lee Min hoo pia kaigiza "Boys Over Flowers", "The Heirs" and "The Legend of the Blue Sea".
sexiest Actor kwangu ni Ji Chang-Wook na Lee Min Hoo.
Drama yangu ya kwanza ya kikorea Yellow Boot.
Natafuta drama ya "you are a gift (you are my present)" pamoja na "my heart twinkle twinkle"
😂 Miye nilianza na "Jumong" mwaka 2007/08 Enzi hizo ITV. "LEE TAE GON" nadhani alinivutia hasa alivyocheza "KING GWANGGAETO THE GREAT CONQUEROR"
Zifuatazo ni Drama zangu 10 za awali kuzitazama.Nilianza A man called God hata sikuipenda hasa kale kajamaa kaliko ng'ang'ania jina la peter pan,ya pili city hunter hii iliniteka balaa kisha jewel in the palace ndani ya channel ya capital
Zifuatazo ni Drama zangu 10 za awali kuzitazama.
1. JUMONG
2. QUEEN SEON DEOK
3. IRIS
4. KINGDOM OF THE WIND
5. SWALLOW THE SUN
6. CITY HUNTER
7. A MAN CALLED GOD
8. THE LEGEND
9. CHUNO( THE SLAVE HUNTER)
10. KIM SURO
11. DONG YI
Sorry, hivi kuna Drama za Mjini ambazo sijaziona zenye Hadhi ya;
IRIS
CITY HUNTER
A MAN CALLED GOD
LOBBYST
FUGITIVE PLAN B
GOLDEN CROSS
TIME BETWEEN DOG AND WOLF.
kama zipo nipeni list.
Hiyo The K2 nimeshaiona, ngoja nitazitafuta hizo zingine.Two weeks
Vagabond
Healer
Three days(hii bado sijaiona ila naona inasifiwa)
The k2
Ni moja ya Drama ambazo hutojuta kuzitazama.Hio jumong nilikua naisikia tu watu wakihadithiana enzi hizo hata sina mpango wa movie zaidi ya vitabu.
1,2,4,10 bado sijaziona. Ila iris niliiona enzi sijakariri sura za actors na actress wa kikorea.
Korean drama nzuri sana.
Ni moja ya Drama ambazo hutojuta kuzitazama.