unque bin unuq
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 350
- 456
i 😘 her, mara ya mwisho nilimuona kwenye yong pal nadhan and she was great, can't wait to see hershe's back
Kim Tae Hee’s Upcoming Drama Holds First Script Reading
Hi Bye, Mama!” is a fantasy drama from tvN about a mother who returns to her family as a ghost after passing away in a tragic accident. Kim Tae Hee plays the titular character, Cha Yu Ri, and Lee Kyu Hyung plays her bereaved husband Jo Kang Hwa.
Hi Bye, Mama!” will premiere in February 2020 after the end of “Crash Landing on You.”
View attachment 1305811
Kukosekana kwa "The empress ki" na "innocent defendent" kwenye list yako basi kutakuwa na ulakini fulani.Zifuatazo ni Drama zangu 10 za awali kuzitazama.
1. JUMONG
2. QUEEN SEON DEOK
3. IRIS
4. KINGDOM OF THE WIND
5. SWALLOW THE SUN
6. CITY HUNTER
7. A MAN CALLED GOD
8. THE LEGEND
9. CHUNO( THE SLAVE HUNTER)
10. KIM SURO
11. DONG YI
Top 10 zangu BoraTwo weeks
Vagabond
Healer
Three days(hii bado sijaiona ila naona inasifiwa)
The k2
2Kukosekana kwa "The empress ki" na "innocent defendent" kwenye list yako basi kutakuwa na ulakini fulani.
So unaionaje The empress ki?Aah! Jamani, Empress Niliiona Mwaka 2014. Kumbuka nilianza na Jumong 2007/08, kisha nikaanza rasmi kuzifuatilia Korean Drama mwaka 2010/11. Kwahiyo mpaka Empress itoke nilikuwa nishaona Project nyingi mno.
2
🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️Tumeanza upyaaaaSo unaionaje The empress ki?
niliweka matarajio makubwa sana kwa one night spring drama kubeba tuzo ya best drama kwa mwaka 2019 lakini imekuwa kinyume chake.....Daemusin Naona Extra Ordinary Imekulu Shavu la Kutosha MBC Drama Awards 19
Kilichonishangaza Pia.niliweka matarajio makubwa sana kwa one night spring drama kubeba tuzo ya best drama kwa mwaka 2019 lakini imekuwa kinyume chake.....
extraordinary you drama iliangaliwa kwa wastani wa 4.5% nchini korea, ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na one night spring drama ambayo ilifikia kuangaliwa kwa 9% nation wide......
nimeiona nguvu ya wapiga kura ( huenda wengi wao waliopiga kura ni mashabiki walio nje ya korea kwa mtazamo wangu wa haraka)
kwa mara ya kwanza nimeshuhudia drama yenye rate ndogo kubeba tuzo ya best drama.
ila ushindi wao uzidi kuwaongezea hamasa yenye kuambatana na nidhamu ya kazi kwa vijana wote walioshiriki ndani ya drama ile, wana safari ndefu sana kufikia au kuzipita level za waigizaji wengineo mashuhuri nchini korea.... chonde chonde wasije wakabweteka kama walivyo wasanii wa nyumbani kwetu.
hakuna kazi ngumu kama sanaaa....haitaki ubishoo mwingi wala uchafu mwingi ndio maana wale wa nyumbani kwetu wameishia kuwa mabaradhuli wa kiume na hata wa kikee
MBC wajitathmini kama wanataka kurudisha ubora wao wa zamani, ni jambo la kustaajabisha sana, ukiangalia list ya celebrities maarufu walioshiriki kwenye project zao kwa mwaka 2019 ni wachache sana ukilinganisha na vituo vyenginevyo kama tvN, SBS na KBS.
Excellence Award for an Actress in a Wednesday-Thursday Drama: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”) Viewers’ Choice for Drama of the Year: “Extraordinary You” Best New Actress: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”) Best New Actor: Lee Jae Wook and SF9’s Rowoon (“Extaordinary You”)
mazingira bora ya kazi
malipo yenye kuridhisha
waajiri waandishi mashuhuri
waajiri madirector wazuri
pacha wangu lee taeri ( lee min ho) hajashinda tuzo hata moja.. sad
View attachment 1307778
Hawakurusha Live!?leo soompi wamezingua......
sijui kesho itakuwaje
ndio na si kawaida yaoHawakurusha Live!?
nje ya korea ilikuwa ni maarufu sana lakini ndani ya korea haikupewa kipaombele kikubwa sana na watazamaji wa live...Extra Wamekula Shavu La Best Drama Labda Ni Kuwapa Moyo tu Watazamji Maana Mwishon Ilikua Na Umaarufu Sana.
Mi Nimekuja Shtuka Jioni Hii Nikaja Gutuka Zishaisha Sikujua Kua MBC Wanawahi.ndio na si kawaida yao
natumai ni mzima popote alipo....
Kumbe Una Pacha.niliweka matarajio makubwa sana kwa one night spring drama kubeba tuzo ya best drama kwa mwaka 2019 lakini imekuwa kinyume chake.....
extraordinary you drama iliangaliwa kwa wastani wa 4.5% nchini korea, ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na one night spring drama ambayo ilifikia kuangaliwa kwa 9% nation wide......
nimeiona nguvu ya wapiga kura ( huenda wengi wao waliopiga kura ni mashabiki walio nje ya korea kwa mtazamo wangu wa haraka)
kwa mara ya kwanza nimeshuhudia drama yenye rate ndogo kubeba tuzo ya best drama.
ila ushindi wao uzidi kuwaongezea hamasa yenye kuambatana na nidhamu ya kazi kwa vijana wote walioshiriki ndani ya drama ile, wana safari ndefu sana kufikia au kuzipita level za waigizaji wengineo mashuhuri nchini korea.... chonde chonde wasije wakabweteka kama walivyo wasanii wa nyumbani kwetu.
hakuna kazi ngumu kama sanaaa....haitaki ubishoo mwingi wala uchafu mwingi ndio maana wale wa nyumbani kwetu wameishia kuwa mabaradhuli wa kiume na hata wa kikee
MBC wajitathmini kama wanataka kurudisha ubora wao wa zamani, ni jambo la kustaajabisha sana, ukiangalia list ya celebrities maarufu walioshiriki kwenye project zao kwa mwaka 2019 ni wachache sana ukilinganisha na vituo vyenginevyo kama tvN, SBS na KBS.
Excellence Award for an Actress in a Wednesday-Thursday Drama: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”) Viewers’ Choice for Drama of the Year: “Extraordinary You” Best New Actress: Kim Hye Yoon (“Extraordinary You”) Best New Actor: Lee Jae Wook and SF9’s Rowoon (“Extaordinary You”)
mazingira bora ya kazi
malipo yenye kuridhisha
waajiri waandishi mashuhuri
waajiri madirector wazuri
pacha wangu lee taeri ( lee min ho) hajashinda tuzo hata moja.. sad
View attachment 1307778
baba tofauti na mama tofauti....Kumbe Una Pacha.